system

  1. Hapana What

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa usagaji plastic na usafishaji (PET) system plant

    Kwa mawasiliano +255 689 859167
  2. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji system ya Microfinance

    Habari Wakuu! Nahitaji system ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye kampuni ya mkopo. Ya kununua moja kwa moja sio kulipia kwa mwezi.Tuwasiliane basi PM iko wazi.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Survey, Supply, Installation, and Commissioning of Back-up Battery Bank and inverter System at The School of St Jude – Moshono Campus

    Interested parties are hereby invited to tender for the Survey, Supply, Installation, and Commissioning of Battery Bank and Inverter System at the School of St Jude – Moshono Campus. For more details, see the attached document.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Business managing system (POS)

    Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako kidigitali? Business management Systems inakupa uwezo wa kusimamia biashara yako kwa kutengeneza Invoice, Proforma, na Delivery Notes kwa urahisi. Mfumo huu unatumika kwenye computer na simu pia, hivyo unaweza kutumia popote ulipo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ujinga wetu ni wa Kiutamaduni na Kimfumo. Mfumo wa nchi una wajibu wa kutengeneza uelekeo wa fikra za watu wake

    Mfumo wa Jimbo una jukumu la kuunda mwelekeo wa fikra wa watu wake Kwanza nakubaliana na mtoa hoja wa Jamii forum kwamba "uzezeta wetu, ujinga wetu, umbumbumbu wetu ni wa Kiutamaduni, ila ningependa niongezee kwamba ni systematic pia, sio by chance!!!!" Kwa nini nasema ni wajibu wa system ya...
  6. HYDROVENTURE

    JamiiForums Tanzania Solar Water Pumping System

  7. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Fundi simu nisaidie namna ya kubadilisha system file ya Tecno T301

    Shikamoo fundi. Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji. Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware. Na sio kutoa password wala ku Format. Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160. Nimejaribu sana...
  8. Codehood

    JamiiForums Tanzania The BRICS Trading System Is Arleady Wiping Out US Dollar.

    The BRICS trading system is already wiping out US farmers, as global price discovery is destroyed (2024.08.29) Millions of tons of annual agricultural trade is now being conducted OUTSIDE the US dollar, and within the new BRICS framework.
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  10. B

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal wapo kweli ofisini? Dawati la msaada ambalo halisaidii kitu

    Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata. Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia...
  11. Kitotole

    JamiiForums Tanzania Wimbo: Blessure D'amour {jeraha La Mapenzi} Mwimbaji: Madilu System :1993 Tafsiri: Sule Mkandarasi

    𝙒𝙄𝙈𝘽𝙊 : BLESSURE D'AMOUR {𝙅𝙚𝙧𝙖𝙝𝙖 𝙡𝙖 𝙢𝙖𝙥𝙚𝙣𝙯𝙞} 𝙈𝙒𝙄𝙈𝘽𝘼𝙅𝙄 : MADILU SYSTEM :1993 𝙏𝘼𝙁𝙎𝙄𝙍𝙄 : SULE MKANDARASI ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 𝙒𝙞𝙫𝙞...𝙒𝙞𝙫𝙪...𝙒𝙞𝙫𝙪...𝙋𝙞𝙣𝙙𝙞 𝙬𝙞𝙫𝙪 𝙪𝙣𝙖𝙥𝙤𝙥𝙞𝙩𝙞𝙡𝙞𝙯𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙟𝙞𝙠𝙪𝙩𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙜𝙤𝙢𝙗𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙢𝙬𝙖𝙖𝙣𝙖𝙪𝙢𝙚/𝙢𝙬𝙖𝙣𝙖𝙢𝙠𝙚 𝙪𝙩𝙖𝙠𝙖𝙮𝙚𝙢𝙪𝙤𝙣𝙖 𝙖𝙢𝙚𝙨𝙞𝙢𝙖𝙢𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙬𝙚𝙣𝙯𝙖 𝙬𝙖𝙠𝙤. 𝙈𝙗𝙖𝙮𝙖 𝙯𝙖𝙞𝙙𝙞 𝙪𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖...
  12. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Mkazi gani wa Dar kaimbwa na Madilu system

    Kwema wakuu ? Ninasikia Madilu system aliwahi kufika Dar miaka hiyo. Kwenye wimbo wake unaitwa Djaffar amemtaja mtu mmoja anaitwa Anielo (sina hakika na spelling) kwamba mtu huyu ni mkazi wa Dar es salaam Lengo la uzi huu ni kumfahamu huyo bwana alikuwa nani na alikuwa na ukaribu gani na Madilu...
  13. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya field Bsc in Science in Information System

    Wakuu kijana wenu hapa... bado napuyanga tuu sehemu nilizoomba zote wamesema zimejaa sasa naimani hapa naweza pata connection.. Tena nipate huko dasalam wakuu 🙏 🙏 DR HAYA LAND BICHWA KOMWE - Mbaga Jr
  14. Paul Alex

    JamiiForums Tanzania System iingilie kati nchi isonge, CCM imepasuka na tukicheza waliojigawa + upinzani wataharubu nchi!

    Salaam! Nchi lazima iende mbele na huu ni wakati wa system kuwa makini na wakati wote kuwa kazini. Unajua tuambiane ukweli, Kuna watu wengi ndani ya CCM na nje ya CCM wanaomdharau mama.. Matendo yao na maneno yao yako wazi sana! Na nyuma ya picha inaonekana Kuna muunganiko. Mama hawezi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Proposal:Smart Nutrition Monitoring and Advisory System (SNMAS)

    Tanzania faces significant nutritional challenges, including high rates of malnutrition, micronutrient deficiencies, and diet-related non-communicable diseases. Rural areas, in particular, suffer from limited access to nutritional information and healthcare services. The lack of real-time...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 A New Dawn for Tanzania's Education System: Charting a path to Quality and Development

    In a visionary move to address the pressing need for improvement in Tanzania's education system, extensive plans should be taken to unveil, revamp and elevate the quality of education from primary to university level over the next decade. Recognizing the vital role that education plays in...
  17. M

    JamiiForums Tanzania The Igbo Apprenticeship System

    Habari wana jamvi. Twende kwenye Mada yetu, Igbo ni kabila linalo patikana Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria na nchi nyingine jirani. Kabila hili limesambaa nchi nzima ya Nigeria hasa kwenye majiji makubwa kama Lagos. Lakini sio hivyo tuu wamesambaa ulimwenguni pote wakifanya biashara...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma ya kujaziwa zabuni zako kwenye mfumo wa NeST ‘National e-Procurement System of Tanzania’?

    Je, wewe ni mkandarasi, mzabuni wa kusambaza vifaa, au mshauri elekezi wa miradi mbalimbali ya ujenzi na unahitaji huduma ya kujaziwa zabuni zako kwenye mfumo wa NeST ‘Nationale-Procurement System of Tanzania’? For more info: freelancer3518@gmail.com
  19. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ya chuo wabadilishe system ya kufundisha

    Ninaguswa sana na jinsi ya elimu yetu Tanzania, vitu tunavyofundishwa darasani sio vitu unavyokutana navyo kazini. Kuna umuhimu wa kuboresha ufundishaji wa elimu ya chuo kikuu. Ninaamini elimu tunayopewa chuo inatupa maarifa lakini tukiangalia baadhi ya vitu nadhani kuna haja ya kubadilisha...
  20. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania we want, the one with effective and functional pre hospital care system leading to minimal lives loss due road traffic accidents

    INTRODUCTION. In Tanzania road traffic injuries causes almost 42% of all death due road traft accident ( TPF, 2016). Apart from deaths also leads to high burden of disability adjusted life years. Many of injuries and deaths are preventable. Many road traffic death occurs in pre hospital...
Back
Top Bottom