swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa Rais hadi umauti ulipomkuta Samia akashika uraisi kwa ile miaka 5, Si bado miaka kumi

    Wakuu Magufuli alikuwa Rais hadi umauti ulipomkuta Samia akashika uraisi kwa ile miaka 5 iliyobaki na je kama alimalizia ile miaka 5 ya Magufuli. Si bado miaka kumi tena ya kwake kwa manaa ile mitano alisukuma durumu na haikuwa miaka yake kama raisi wa Tanzania naomba Muongozo
  2. Username 20

    JamiiForums Tanzania Kuna mKenya kaniuliza swali hapa naomba mnisaidie kujibu

    Baada ya kukamtwa na kurudishwa kwa baadhi ya wanaharakati wa Kenya na baadhi yao kuripotiwa kuteswa na kutupwa mipakani (Tanga na Kagera) Kisha kauli ya Rais kuwa hatakubali chokochoko, na kuwa katiba yetu haiingiliwi na mtu, jamaa kanikomalia kuwa ni kweli nchi yoyote ile duniani ina...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa et al, ebu nijibu swali hili, be honest!

    Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST 1. Lema 2. Mbowe 3. Boni Yai 4. Mnyika 5. Heche 6. Martin maranje masese 7. Brenda 8. Erythrocyte 9. Retired to mention but a few .
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu wakifuga ndevu wanaonekana ni watu kutoka Asia na Waarabu?

    Hiki kitu nimeona sana nchi ambazo majasusi waliobobea wameweza kujiweka na ndevu ambazo si rahisi kujua huyu ni asia au mwarabu wakiwa na lengo lao. Ina maana wazungu wanaweza kubadilika kwa ngozi nyeupe za asia na waarabu.
  5. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania G55 ninalo swali muhimu sana kwenu mlijibu, nalo ni moja tu.

    Aliyewahi kuwa mgombea urais na kufanikiwa kushinda uchaguzi mihula miwili yenye jumla ya miaka 10 alisema kwa mdomo wake kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi huku naye ni mnufaika wa irais bila ushindi na CCM ilitishia kumfukuza uanachama lakini ikashindwa kumfukuza. Swali kwenu, nyie msiotaka...
  6. excel

    JamiiForums Tanzania Bila kuweka siasa na Ujanja Ujanja, Hakuna Mkristo wa Kujibu hili Swali

    Iko wazi kabisa hakuna Jibu la kueleweka.. Hapa tutapuyanga sana kutafuta wakwe Halisi wa Adam na Eva ni kina nani 👇👇👇👇👇
  7. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Swali la Kiimani & Sayansi:- Kwanini watu hawapati stroke (kupigwa na majini) kwenye vyoo vya umma?

    Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao. Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma. Kwanini Hali hii utokea hivi?
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi; Je, Tanzania imedhibitiwa na Zanzibar?

    Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar? Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!! Je, Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari? Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Freelancer mstaafu: Niuze swali lolote kuhusu Freelancing na Remote work

    Kwa uzoefu wangu ya miaka mitatu, 1. Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 400 2. Nimetumia platform zote za freelancing 3. Nimefanya kazi zaidi ya masaa 10,000 4. Nimetengeneza chain ya clients wa kudumu 5. Nafahamiana na kila freelancer hapa Tz 6. Nimejifunza skills zaidi ya 20 7...
  10. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wachambuzi wa siasa za maharibi!

    Tarehe 7 May Bunge la Umoja wa Ulaya litasimamisha bunge la kawaida kwa muda masaa 12 kujadili Tatizo Antipas Tundu Lisu kama mkutano wa dharula!Je hii inamadhara yoyote kwa Tanzania au wanaongea yanaisha na Maisha yanaendelea Tanzania?Na je kama kuna madhara ni madhara gani kiuchumi kisisa...
  11. Kindred Spirit

    JamiiForums Tanzania Football: Swali la Uelewa

    Nakuwaga tu curious na kujifunza vitu randomly. Hivi karibuni nimekuwa nikijiulaza nani anahusika na kuwavalisha marefa wa mpira wa miguu? Nimefanya quick search lakini naona tu habari za brand zinazozalisha hizi nguo zao, but nani analipia?, zinakuwa wapi? Nani anahakikisha kila mmoja ana nguo...
  12. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Nina swali

    Kwanini vyombo vya ulinzi hapa Tz havitakiwi kujihusisha na siasa?
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnakumbuka lile tukio la Zakaria alivyowatandika risasi? Basi ndio mnataka kuwa hivi kwa mtindo wenu

    Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima. Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu. Kwa...
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

    Habarini, Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider: 1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaenda ngazi moja ya elimu au hujampeleka mtoto kwenye ngazi mpya ya Elimu jiulize swali hili

    Si kwamba elimu ni useless, hapana. Elimu ni very potential asset lakini inapokaa kichwani mwa mtu na haina impact hiyo elimu ni useless. Kupoteza muda na fedha tu. Sasa una degree ya miaka 3 au 4 then unakuja kulowea kwenye bodaboda hiyo elimu ni useless. Umeitia serikali hasara kwa...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Swali: Je huyu ni mchezaji gani?

    Wewe ni nguli wa kufatilia soka, twende kazi. Ni mchezaji gani amecheza na wachezaji hawa kwa nyakati tofauti, iwe kwenye vilabu au timu ya taifa. Mchezaji gani huyo kacheza na Messi, Cristiano Ronaldo, Neymar, Zidane, Beckham, Mbappe, Ronaldo de Lima, Kaka, Xavi na Iniesta? Weka jibu lako hapa…
  17. SweetyCandy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume wote

    Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe . Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa...
  18. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Mungu (Allah)

    Swali la kwanza: Kwenye kitabu chako cha Qur-an, unasifia kuwa ni kitabu ambacho hakiwezi kubadilishwa maneno yake na maudhui yake Abadan Abadan, je ilikuwaje ukaanza na kushusha kitabu chako cha INJILI ambacho kiliweza kubadilishwa kiurahisi? Swali la pili: Kwanini katika kitabu chako...
  19. T

    JamiiForums Tanzania ChatGPT ameshindwa hili swali: Tuwaone wanafunzi wa siku hizi mnaweza ?

    An irregular hexagon with all sides of equal length is placed inside a square of side length 1, as shown below (not to scale). What is the length of one of the hexagon sides?
  20. Brown Nyanja

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu combination

    Jaman,mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka 2024,naomba kuuliz je ukiwa na matokeo haya nisomee comb gani ili nipagie coz y radiology chuo Math B Bios B Chem C Phy D Geog c sielew ,nahitaji kusoma PCB lkn sijui kama nitakubaliwa,,,naomben maoni yenu
Back
Top Bottom