Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,213
- 1,911
Habari zenu wanawake na warembo wa jamiiforums?
Swali kwenu
" Kwanini hampendi kuwa kwenye mahusiano na wanaume wafupi"?
Je, shida yao kuu ni nini? nipo kwenye utafiti fulani, naombeni maoni yenu.