swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Knock life

    Je haya ni majibu sahihi kumjibu Mbunge aliyeuliza swali Bungeni ?

    Ufafanuzi. https://www.facebook.com/share/r/189pYZfp5v/
  2. DELETED ACCOUNT

    Uzi maalumu wa kuuliza swali lolote kuhusu football ulilokuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza

    Huu uzi ni uzi wa kufunguka kuhusu mambo yanayohusu football ambayo umekuwa unajiuliza mwenyewe kichwani bila kupata majibu na umekuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza wengine ili wasije kukuone mjinga au hauna ufahamu na football. Kwenye uzi huu hakuna mjinga wala mjuaji. Uliza chochote na...
  3. Dogoli kinyamkela

    SWALI: Kwanini watu wenye ibada pasipo na ukristo na Uislamu. Mbona dini zao ziko na pesa ?

    SWALI : kwa nini watu wenye ibada pasipo na ukristo na uislamu.mbona dini zao ziko na pesa ? Naomba wasomi mtupe jibu je Kuna Siri Gani hapa . Atotoa jibu zuri Kuna zawadi ya group kuingizwa free la kulipia ili kuchota marifa zaidi na Utambuzi zaidi na zaidi . Swali la kwanza ameshinda...
  4. Age 17

    Swali langu kwa CHAT GPT endapo dunia itafikisha miaka Bilioni Moja

  5. Fbn

    Wachambuzi wa vita swali : Wakudri na Vita ya Iran vs Israel/Marekani — Je, Wana Nafasi?

    Wakudri ni Nani na Wapo Wapi? Wakudri ni kundi la kikabila linalokadiriwa kuwa na watu milioni 30–40, wanaoishi hasa katika maeneo ya: Kaskazini mwa Iraq (Kurdistan ya Iraq), Kaskazini-magharibi mwa Iran,Mashariki mwa Uturuki na Kaskazini mwa Syria. WAKUDRI (Kurds), ambao kwa miongo mingi...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Niulize swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu

    For those who want to know deep or more about angelic beings you are welcome. Uliza swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu. Nalogout sasa, someni kwanza hayo ya chini. Nitakuja kuendelea kujibu maswali yenu mengine jioni. Mungu awabariki sana.
  7. G

    Nina swali kwa Wanaomaliza form four na kuchaguliwa au kwenda vyuo vya kati

    Je, hawa wanafunzi wanaomaliza form four na kwenda vyuo vya kati, huwa wako entitled kupata mikopo kama vyuo vya elimu ya juu (HESLB)? Au ni mzazi anaendelea kupambana kama sekondari.
  8. SweetyCandy

    Nauliza swali tu niambieni

    Mimi nimkristo all in all kunakipindi na kipindi muazini akiazini na hamu ya kwenda kujumuika nao nakusali . Na asilimia kubwa wanaume wa kislaam wananipendaga , sana. Wengi hutamka ndoa . Wakristo asilimia 10 ndio wanajilazimisha,. Mie mwenyewe sana napenda kuvaa mahijab yale yakung'aa na...
  9. Subira the princess

    Swali fikirishi: je ni kweli waziri wa fedha yuko juu ya mteule wake?

    Wasalaam. Kuna ushahidi kwamba rais anamlalamikia waziri wa fedha kwa ubadhirifu badala ya kumchukulia hatua. Mawaziri wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibu wa sheria. Wabunge wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibbu wa kanuni za bunge. Hii...
  10. akatiwanya

    Ni yupi kati ya mwanaume na mwanamke anaitamani ndoa zaidi kuliko mwingine?

    Ni yupi kati ya mwanaume na mwanamke anaitamani ndoa zaidi kuliko mwingine, na kwa nini huyo mwenye matamanio zaidi iwe hivo? Karibuni.
  11. S

    Swali kwa wanawake wa JamiiForums?

    Habari zenu wanawake na warembo wa jamiiforums? Swali kwenu " Kwanini hampendi kuwa kwenye mahusiano na wanaume wafupi"? Je, shida yao kuu ni nini? nipo kwenye utafiti fulani, naombeni maoni yenu.
  12. article

    SWALI KWA DEEP SEEK:Serikali inaweza kupata madhara gani ikifunga Kanisa ikiwa kisheria inakubalika?

    JIBU LA DEEP SEEK:Kufunga Kanisa kisheria kunaweza kuleta madhara kadhaa kwa serikali, hasa ikiwa hatua hiyo inapingwa na sehemu kubwa ya wananchi au inaonekana kukiuka haki za kimsingi za kidini. Kwa kuzingatia mazingira ya kisiasa, kijamii, na kiuchumi, baadhi ya madhara yanayoweza kutokea ni...
  13. Prof_Adventure_guide

    PreGE2025 Utapeli wa haki mahakamani: Askari kuvaa mask ni ujambazi wa kisheria!

    Katika historia ya mihimili ya dola, mahakama ndiyo taasisi ya mwisho ya utoaji wa haki—lakini leo tunaishuhudia ikigeuzwa jukwaa la uonevu na maigizo ya kisiasa. Ni jambo la kusikitisha na la kuaibisha kuona askari wa serikali wakivamia mahakama wakiwa wamevalia mask kana kwamba wanakwenda...
  14. Mwachiluwi

    Mabro na swali

    Mfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?
  15. B

    Swali mafundi naomba mnieleweshe tafadhali

    Nini kinasababisha hadi speed meter ya usafiri inasoma
  16. ngara23

    Mbunge wangu hajawahi kuongea wala kutuliza swali lolote Bungeni Kwa miaka yote

    Mbunge wetu kutoka Jimbo la Kyerwa, Innocent Bilakwate,amekuwa bungeni Kwa mihula miwili, Vipindi vyote hajawahi kuchangia hoja au mawazo yoyote bungeni, Mbunge wetu hajawahi kutuliza swali la msingi wala la nyongeza bungeni, Tukimuuliza vipi mbona bungeni hatukusikii na bunge liko live...
  17. 4

    Nini kifanyike ili Taifa letu litoke kwenye mkwamo huu?

    Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake wana jf popote mlipo. Rejea mada tajwa hapo juu. Taifa kwanza Mengine badae wakuu. Mambo yamekuwa mengi kwa muda mchache katika Taifa letu, bila kujali itikadi zetu za vyama, tufanye nini ili taifa letu kutoka katika mkwamo huu...
  18. SweetyCandy

    Magufuli alikuwa Rais hadi umauti ulipomkuta Samia akashika uraisi kwa ile miaka 5, Si bado miaka kumi

    Wakuu Magufuli alikuwa Rais hadi umauti ulipomkuta Samia akashika uraisi kwa ile miaka 5 iliyobaki na je kama alimalizia ile miaka 5 ya Magufuli. Si bado miaka kumi tena ya kwake kwa manaa ile mitano alisukuma durumu na haikuwa miaka yake kama raisi wa Tanzania naomba Muongozo
  19. Username 20

    Kuna mKenya kaniuliza swali hapa naomba mnisaidie kujibu

    Baada ya kukamtwa na kurudishwa kwa baadhi ya wanaharakati wa Kenya na baadhi yao kuripotiwa kuteswa na kutupwa mipakani (Tanga na Kagera) Kisha kauli ya Rais kuwa hatakubali chokochoko, na kuwa katiba yetu haiingiliwi na mtu, jamaa kanikomalia kuwa ni kweli nchi yoyote ile duniani ina...
  20. R

    Lucas Mwashambwa et al, ebu nijibu swali hili, be honest!

    Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST 1. Lema 2. Mbowe 3. Boni Yai 4. Mnyika 5. Heche 6. Martin maranje masese 7. Brenda 8. Erythrocyte 9. Retired to mention but a few .
Back
Top Bottom