JIBU LA DEEP SEEK:Kufunga Kanisa kisheria kunaweza kuleta madhara kadhaa kwa serikali, hasa ikiwa hatua hiyo inapingwa na sehemu kubwa ya wananchi au inaonekana kukiuka haki za kimsingi za kidini. Kwa kuzingatia mazingira ya kisiasa, kijamii, na kiuchumi, baadhi ya madhara yanayoweza kutokea ni...
Katika historia ya mihimili ya dola, mahakama ndiyo taasisi ya mwisho ya utoaji wa haki—lakini leo tunaishuhudia ikigeuzwa jukwaa la uonevu na maigizo ya kisiasa. Ni jambo la kusikitisha na la kuaibisha kuona askari wa serikali wakivamia mahakama wakiwa wamevalia mask kana kwamba wanakwenda...
Mfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?
Mbunge wetu kutoka Jimbo la Kyerwa, Innocent Bilakwate,amekuwa bungeni Kwa mihula miwili, Vipindi vyote hajawahi kuchangia hoja au mawazo yoyote bungeni,
Mbunge wetu hajawahi kutuliza swali la msingi wala la nyongeza bungeni,
Tukimuuliza vipi mbona bungeni hatukusikii na bunge liko live...
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake wana jf popote mlipo.
Rejea mada tajwa hapo juu.
Taifa kwanza Mengine badae wakuu.
Mambo yamekuwa mengi kwa muda mchache katika Taifa letu, bila kujali itikadi zetu za vyama, tufanye nini ili taifa letu kutoka katika mkwamo huu...
Wakuu Magufuli alikuwa Rais hadi umauti ulipomkuta Samia akashika uraisi kwa ile miaka 5 iliyobaki na je kama alimalizia ile miaka 5 ya Magufuli.
Si bado miaka kumi tena ya kwake kwa manaa ile mitano alisukuma durumu na haikuwa miaka yake kama raisi wa Tanzania naomba Muongozo
Baada ya kukamtwa na kurudishwa kwa baadhi ya wanaharakati wa Kenya na baadhi yao kuripotiwa kuteswa na kutupwa mipakani (Tanga na Kagera)
Kisha kauli ya Rais kuwa hatakubali chokochoko, na kuwa katiba yetu haiingiliwi na mtu, jamaa kanikomalia kuwa ni kweli nchi yoyote ile duniani ina...
Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired
to mention but a few
.
Hiki kitu nimeona sana nchi ambazo majasusi waliobobea wameweza kujiweka na ndevu ambazo si rahisi kujua huyu ni asia au mwarabu wakiwa na lengo lao.
Ina maana wazungu wanaweza kubadilika kwa ngozi nyeupe za asia na waarabu.
Aliyewahi kuwa mgombea urais na kufanikiwa kushinda uchaguzi mihula miwili yenye jumla ya miaka 10 alisema kwa mdomo wake kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi huku naye ni mnufaika wa irais bila ushindi na CCM ilitishia kumfukuza uanachama lakini ikashindwa kumfukuza.
Swali kwenu, nyie msiotaka...
Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao.
Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma.
Kwanini Hali hii utokea hivi?
Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar?
Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!!
Je, Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari?
Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini...
Kwa uzoefu wangu ya miaka mitatu,
1. Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 400
2. Nimetumia platform zote za freelancing
3. Nimefanya kazi zaidi ya masaa 10,000
4. Nimetengeneza chain ya clients wa kudumu
5. Nafahamiana na kila freelancer hapa Tz
6. Nimejifunza skills zaidi ya 20
7...
Tarehe 7 May Bunge la Umoja wa Ulaya litasimamisha bunge la kawaida kwa muda masaa 12 kujadili Tatizo Antipas Tundu Lisu kama mkutano wa dharula!Je hii inamadhara yoyote kwa Tanzania au wanaongea yanaisha na Maisha yanaendelea Tanzania?Na je kama kuna madhara ni madhara gani kiuchumi kisisa...
Nakuwaga tu curious na kujifunza vitu randomly. Hivi karibuni nimekuwa nikijiulaza nani anahusika na kuwavalisha marefa wa mpira wa miguu?
Nimefanya quick search lakini naona tu habari za brand zinazozalisha hizi nguo zao, but nani analipia?, zinakuwa wapi? Nani anahakikisha kila mmoja ana nguo...
Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima.
Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu.
Kwa...
Habarini,
Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider:
1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.