Niulize swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu

Niulize swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu

1. Naomba majina ya malaika watatu waliongooza vita mbinguni dhidi ya shetani

2. Nitajie jina la malaika aliepgana na yakobo!
Ninaweza kukujibu maswali yako lakini namna ya uulizaji wako ni kama vile mwalimu anamuuliza mwanafunzi. Hata nikikujibu haitakusaidia. Soma post #7 nawe upate kitu kidogo
Nenda google watakujibu.
Malaika ni viumbe muhimu sana kwa ustawi wa mwanadamu. Kama utataka kuwajua zaidi na namna ya kuwaona na kuongea nao kwa faida takuelekeza . Kwa hayo maswali yako nenda google kapate majibu
 
Naomba namna bora ya kutumia na kuwatuma malaika kunisaidia katoka mambo mbalimbali kila siku....
Unapozaliwa automatically Mungu hukuwekea malaika. Yaani malaika wako special mpaka siku unakufa nao huondoka. Malaika wako wapo wa makundi 2 . 1.Secretary, huyu kazi yake kubwa ni kuandika kila unalolisema, kufikiri au kufanya na siku ya hukumu ndiye atapeleka kitabu mbele za Mungu. That's why dhambi ziko za kutenda, kufikiri na kuongea.
Kundi lingine huwa kwako ni malaika wa kukuhudumia , hawa watakulinda, kukupatia mahitaji inapobidi, kukupa info yaani habari n.k.
Ni vyema umjue malaika wako mkuu yaani mkuu wa msafara wako. Yeye ndiye kapewa jukumu kubwa kwako kama vile mkuu wa hospital, kambi ya jeshi n.k.
Malaika wanaweza kutumika kwa faida zaidi endapo tayari akiwa visible kwako. Atakupa direction ya kimungu kwenye kazi ya Mungu, biashara, kazi za kuajiriwa n.k.
Unabii third level yaani wa maono ya wazi unasaidiwa na malaika yeye anakupa habari kamili ya mtu na kukupa habari kamili juu ya mpango wa Mungu kwa mtu unayemtolea unabii.
Kwa hatua ya awali kama mwanamaombi ukiomba kwa lugha hasa lugha za kimalaika (angelic tongues) wanakuja lakini si rahisi kujionyesha kwako kwakuwa u mchanga, ila watakupa ishara kuwa wapo tayari kwa kukusaidia.
Ishara hizo ni pamoja na nywele au vinyweleo kusimama , joto mwilini, mikono kuwa milaini as if kuna dhahabu n.k.
Unaweza kuwatumia vivyo hivyo hata kama hujawaona ilà tu ukijua wameshakuja.
Ninaweza kukufundisha zaidi bure kabisa ukihitaji
 
Mkuu nina maswali machache:

1•Utajuaje aina ya malaika uliye nae?
2•Naomba majina ya malaika na kazi zao - mimi nawafahamu watatu tu: Mikaeli, Gabrieli, Rafaeli.
3•Je, tuna mamlaka ya kuwaamuru malaika watusaidie?
 
Yangu ni haya kwa Neema na Rehema.

1. Malaika wanasikia mtu akiongea?
2. Malaika wanaishi wapi?
3. Malaika wangapi wanakuwa na mtu?
4. Inasemwa wanatulinda kila mmoja na Malaika wake, je ni kweli?
5. Malaika wakiona kitu kibaya kinamjia mtu kama kutokwa uhai, kwanini hawamkomboi kila mtu?
6. Je, ni lazima kuomba ndio wanatokea? Kwanini muda mwingine hawatokei? Utajuaje wapo nawe? Na hawapo nawe?
7. Je, mtu unaomba Mwenyezi Mungu ndio atume Malaika tu walinde au ni kuwaita wao moja kwa moja?
8. Ni kweli kila anayefariki anakuwa Malaika au Malaika wanao Linda duniani wanaondoka nae alifariki?
9. Malaika wa nachagua mtu au wana hamahama?
10. Malaika wanazaa?
11.......

Aminaaa
 
Swali no. 1.
Kuna malaika automatically unakuwa nao kipindi kile unatoka tumboni kwa mama yako . Hao wataambatana na wewe mpaka siku ya kifo chako.
Katika hao kuna mwandishi wa habari wako, yeye kazi yake kubwa ni kuandika kila unalolisema, kufikiri au kufanya na siku ya hukumu ndiye atapeleka kitabu mbele za Mungu kama shahidi. Ndiye maana Biblia inasema kila neno aroalo mtu atalitolea hesabu.
Wengine ni kwaajili ya ulinzi na wengine ni kwaajili ya kukupa elimu (information muhimu) na wengine kukupa mahitaji.
Ila kuna chief of camp huyo ndiye huitwa MALAIKA WA Gunst na siku akijitambulisha kwako atataja jina lake. Au kupitia mtu wa Mungu kama Mimi naweza nikakutajia jina lake.
Hao akina Raphael, Gabriel, Mikael, gadiel ni chief Angels wanaokaa karibu na Mungu ambao Kila mmoja ana jukumu lake kuu na yeye huwa na wasaidizi wake.
Swali no. 2 na 3 nitakujibu. Nina kazi kidogo mda huu
 
Yangu ni haya kwa Neema na Rehema.

1. Malaika wanasikia mtu akiongea?
2. Malaika wanaishi wapi?
3. Malaika wangapi wanakuwa na mtu?
4. Inasemwa wanatulinda kila mmoja na Malaika wake, je ni kweli?
5. Malaika wakiona kitu kibaya kinamjia mtu kama kutokwa uhai, kwanini hawamkomboi kila mtu?
6. Je, ni lazima kuomba ndio wanatokea? Kwanini muda mwingine hawatokei? Utajuaje wapo nawe? Na hawapo nawe?
7. Je, mtu unaomba Mwenyezi Mungu ndio atume Malaika tu walinde au ni kuwaita wao moja kwa moja?
8. Ni kweli kila anayefariki anakuwa Malaika au Malaika wanao Linda duniani wanaondoka nae alifariki?
9. Malaika wa nachagua mtu au wana hamahama?
10. Malaika wanazaa?
11.......

Aminaaa
Maswali mazuri. Ila umeuliza mengi . Nitakujibu yote. Ubarikiwe. But nitajibu mawili mawili kwanza
 
Yangu ni haya kwa Neema na Rehema.

1. Malaika wanasikia mtu akiongea?
2. Malaika wanaishi wapi?
3. Malaika wangapi wanakuwa na mtu?
4. Inasemwa wanatulinda kila mmoja na Malaika wake, je ni kweli?
5. Malaika wakiona kitu kibaya kinamjia mtu kama kutokwa uhai, kwanini hawamkomboi kila mtu?
6. Je, ni lazima kuomba ndio wanatokea? Kwanini muda mwingine hawatokei? Utajuaje wapo nawe? Na hawapo nawe?
7. Je, mtu unaomba Mwenyezi Mungu ndio atume Malaika tu walinde au ni kuwaita wao moja kwa moja?
8. Ni kweli kila anayefariki anakuwa Malaika au Malaika wanao Linda duniani wanaondoka nae alifariki?
9. Malaika wa nachagua mtu au wana hamahama?
10. Malaika wanazaa?
11.......

Aminaaa
1.Malaika wanasikia mtu anapoongea na wanaona unapofanya jambo.
2. Kuna malaika, chief Angels kundi la Maserafi wanaishi mbingu ya 3 pamoja na Mungu.
Makerubi mbingu ya pili , wengine mbingu ya 1 na wengine hawaishi mbingu. Wako duniani tu.
 
Mkuu shukrani kwa majibu, ila itapendeza kama utaweka rejea kutoka kwenye biblia ili kuhalalisha majibu yako.
 
Back
Top Bottom