swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

    Habari Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare...
  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Ni kweli wana-Mbeya ni wasahaulifu kiasi hiki.?

    Wasalaam. Yuko wapi Mdude Nyangali? Ni kweli mmesahau yaliomkuta au mmeamua kujizima data na kuungana na wadhalimu? Au ndo ile slogan kifo ni kifo tuu.?
  3. KAOROGOMA

    JamiiForums Tanzania Hivi Jamaa uwa ni mod hapa JF anajieditia nyuzi au ? Swali kwa mello

    Huyo Dogo britanicca uwa ni mod au ? Maana Kuna threads yapata mbili napita naona amegonga Kuna na Hii hapa kando https://www.jamiiforums.com/threads/ni-maono-yangu-2030-january-makamba-mgombea-ccm-wakati-polepole-akiungana-na-bashite-kwenda-upinzani.1915073/page-6
  4. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Popote ulipo, naomba jibu la swali hili ukija kwenye press ya tarehe 3/9/2025 kama ulivyoahidi

    1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi. 2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Swali la wakubwa (ukakasi/staha)

    Je wanawake Kwa siku mizunguko na kazini toka asubuhi mpaka jioni chupi moja inatosha? Au awe na mbili? Je akiwa na moja Kuanzia asubuhi mpaka jioni itatoa ule mstari wa uke (discharges) na je anaweza kufanya mapenzi bila harufu? Ya uke bila kunawa?
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

    Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe?? Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
  7. Daby

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuulizwa swali gani na mwanao ukakosa jibu?

    Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana. Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au dada bila shaka ushawahi kuulizwa swali na mtoto mdogo. Je ni swali gani? Ulijibuje? Wataalam...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Je Serikali inaweza kuwafanyia Wananchi Uhaini? Maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi

    Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi! Kama serikali inafanya uhaini dhidi ya wananchi, kwanini wananchi nao wasifanye uhaini dhidi ya serikali ambayo...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kuna swali hapa kwa waliooa au kuolewa na kufanya sherehe: Hivi uwa mrudi kuangalia video za shughuli yenu?

    Katika heka heka za kupunguza gharama za uendeshaji wa harusi, kuna hii budget ya videography. Hii sekta inaongeza sana gharama na inaweza kufika Mil 2-3 kizembe sana. Mara nyingi ukienda kwenye harusi utaona TV kadhaa zinaonesha live, macamera man kadhaa, drones na mataa ya picha. Hao ndigo...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania Imani kali :malesia kuanza kufangua jela watu wasio swali ijumaa ,hii imekaaje wakuu?

    Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa . Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu wasio swali nchini humu katika taifa hilo lenye waislamu wengi zaidi duniani USSR
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mtag na Umuulize Mwana JF yeyote Swali Lolote Mahala Hapa

    Poor Brain hii harakati yako ya mishangazi ipo fueled na uraibu ulionao juu yao au basi tu ni hobby? 🤣 Lucas Mwashambwa weka siasa pembeni, sema tu kitu kimoja ambacho unachokikubali kuhusu Tundu Lisu
  12. haszu

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: mwanaume mwenzio akipitiwa na usingizi kwenye usafiri akakuegemea begani, utamuacha?

    Najua wanaume wengi hutulia hata kufurahia wakiegemewa na mwanamke kwenye usafiri wa umma, ila je ikiwa ni mwanaume mwenzio, utamuacha?
  13. Harmful

    JamiiForums Tanzania Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

    Habari wanajf Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE" Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa...
  14. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum "Fei Toto" kachemka hili swali, wewe ungeweza?

  15. C

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wasabato na wakatoliki kuhusu kuja kwa Yesu

    Katika waraka wa kitabu cha wathesalonike wa pili,sura ya pili msitari wa kwanza hadi wa nne,Paulo anazungumzia tukio linalotangula kuja kwa Yesu . Imesemwa siku hiyo haitakuja hadi yule mwasi ajiinuaye juu ya kila kitu kiitwacho Mungu afunuliwe.Naye ataketi katika hekalu la Bwana. Swali hapa ni...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Waifu Material pokea hii mantiki kama majibu ya swali lako la "kama mwanamke haumpendi kwa nini unaingia kwenye maisha yake?"

    Mwanamke huyu huyu anayeweza kukubali kuolewa kuwa mke wa pili kwenda kujaribu kushare mapenzi na mwanamke mwenzake au kuwa mchepuko ili hali anajua awala yake ana mke, ndio huyu huyu anaulizia integrity ya mapenzi yangu kwake???? Haileti sensi Mwanamke huyu huyu ukiwa na rasili mali za kutosha...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Joshua Nassari aingia kwenye full panic mode baada ya kuulizwa swali hili na wajumbe

    Wakuu, Naona wajumbe wameendelea kuwashika pabaya wanasiasa. Yaani swali dogo tu hivi kama amepanic hivi Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025 Source: Bongo Mixed
  18. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Swali Kwa wanaume kama una mbususu usijibu🚫?

    TUKIACHANA NA Tabia ya mwanamke mmoja mmoja ni wanawake wa kabila gani ni wachapakazi, wanajua mchezo mtamu vizuri, wanajua ku care, alafu watulivu wakikupenda kweli? Jibu direct usilete ungese🚫😎✌️😎
  19. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa maswali: uliza swali lolote hapo chini utajibiwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Uliza swali lolote hapo chini utapata jibu kutoka kwa wataalam wetu Asante sana LONDON BOY
  20. K

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu elimu

    Je Kuna uwezekano wa mtu kusoma kozi mbili ndani ya intake moja chini ya NACTE!?
Back
Top Bottom