Nimeulizwa hili Swali nikashindwa kujibu. Wamenishangaa sana

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Nipo Canada baada ya kutoka Sweden na Switzerland. Sasa nlikuwa naongea na mdogo wangu na familia yake. Wao wamekuja nyumba yao ya huku Canada maana wanasema walikaa sana nyumba yao ya Dubai wakaona wapite Sweden kukagua nyumba yao ya huko then waje pumzika hapa hata week mbili.

Mdogo wangu yeye ameoa Mzungu wana watoto wawili. So wakawa wananihoji na Mkewe kuhusu hali ya hewa ya Dar. Kipi ni kipindi cha Baridi na Kipindi cha Joto.

Ninejikuta sijui niwajibu nini. Mimi toka nimeanza kuja Dar sijui ni kipindi gani cha Joto.maana kwenye gari ni FULLTIME AC, HOME FULL TIME AC,OFISINI FULL TIME AC. pale home Kibarazani ni Full time AC.

Na hizi ni zile za kisasa ambazo ukisema kuwa ziwe zinaji regulate lets say 25C basi hiyo ndo inabaki hivyo miaka yote joto likishuka yenyewe inapandisha hadi hapo. Likipanda inashusha mpaka hapo. Au unaweza set iendane na joto standard la mwili. Ni auto.

Hivyo najikuta sielewi ni kipindi gani Dar kuna joto au baridi. Najua tu mvua maana huwa naona inanyesha. But joto na baridi? Hapana.

Labda mnisaidie huwa kipindi gani mnasikia sana joto au kipindi gani mnasikia sana baridi. Kwa miezi. Like kwa huu mwezi (nadhani hata huko Tz huu utakuwa mwezi wa pili kama huku mi sijui sana mambo ya Tanzania) je hiki kipindi ni joto au baridi? Wanataka kujua waje watembee kidogo kama hali itaruhusu angalau watoto nao waione Tanzania ilivyo.

Nliwaonesha nyumba za Kijitonyama,Masaki,Mikocheni na Msasani wakashangaa kuwa kuna nchi ni maskini sana. Nikawaambia huku ndo watu wanaishi maisha magumu. Wanakula milo mitatu tu kwa siku. Mmoja alishtuka mpaka akapoteza fahamu. Amekuja amka analia sana kuwa Africa ijitahidi kuondokana na maisha ya namna hii.
 
Salute kwako kiduku.

We jamaa bhana.

Hongera for good life
 
Wa kishua
 
Mwanangu umezingua kinyama yaani, kwamba hauijui Tanzania au vipi? Sasa hicho Kiswahili umekitoa wapi pumbavu!
Halafu Kama huko ulaya unafugana Kama pimbi na hakuna dhiki Kama Tz naomba mtukaushie...Jinga kabisa.
Eti ooh AC Mwaka mzimaaa!!!

Watu tunapambana na mitano tena halafu unaleta Uzi wa kutia hasira hapa!
 
Mkuu sa iv huku ni kipindi cha jotoridi inategemea tu unakaa wapi huku kwetu kwa tumbo ,vingunguti ,tandale na mbagaoa hatunaga msim wa baridi joto juu ya joto anyway wat wengi wanashindwa kujibu maswali wanaenda nje ya mada wape hi ndugu zako wa swiden

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Asante ndugu yangu. Nashukuru umenisaidia. Joto upande wa Oysterbay linaweza kuwaje? Ndo napoishi nikija TZ. Je ni wakati gani wa baridi na wakati wa joto? Na je huko Vingutinguti ,tadale na mbagoa naweza enda tembelea nikija? Gari zinafika bila shida? Kuna sehemu za vivutio mbalimbali? Nashukuru umekuwa mstaraabu sana ndugu yangu.
 
Katika ubora wake Kiduku wa Lilo.
Nipo Canada baada ya kutoka Sweden na Switzerland. Sasa nlikuwa naongea na mdogo wangu na familia yake. Wao wamekuja nyumba yao ya huku Canada maana wanasema walikaa sana nyumba yao ya Dubai wakaona wapite Sweden kukagua nyumba yao ya huko then waje pumzika hapa hata week mbili.

Mdogo wangu yeye ameoa Mzungu wana watoto wawili. So wakawa wananihoji na Mkewe kuhusu hali ya hewa ya Dar. Kipi ni kipindi cha Baridi na Kipindi cha Joto.

Ninejikuta sijui niwajibu nini. Mimi toka nimeanza kuja Dar sijui ni kipindi gani cha Joto.maana kwenye gari ni FULLTIME AC, HOME FULL TIME AC,OFISINI FULL TIME AC. pale home Kibarazani ni Full time AC.

Na hizi ni zile za kisasa ambazo ukisema kuwa ziwe zinaji regulate lets say 25C basi hiyo ndo inabaki hivyo miaka yote joto likishuka yenyewe inapandisha hadi hapo. Likipanda inashusha mpaka hapo. Au unaweza set iendane na joto standard la mwili. Ni auto.

Hivyo najikuta sielewi ni kipindi gani Dar kuna joto au baridi. Najua tu mvua maana huwa naona inanyesha. But joto na baridi? Hapana.

Labda mnisaidie huwa kipindi gani mnasikia sana joto au kipindi gani mnasikia sana baridi. Kwa miezi. Like kwa huu mwezi (nadhani hata huko Tz huu utakuwa mwezi wa pili kama huku mi sijui sana mambo ya Tanzania) je hiki kipindi ni joto au baridi? Wanataka kujua waje watembee kidogo kama hali itaruhusu angalau watoto nao waione Tanzania ilivyo.

Nliwaonesha nyumba za Kijitonyama,Masaki,Mikocheni na Msasani wakashangaa kuwa kuna nchi ni maskini sana. Nikawaambia huku ndo watu wanaishi maisha magumu. Wanakula milo mitatu tu kwa siku. Mmoja alishtuka mpaka akapoteza fahamu. Amekuja amka analia sana kuwa Africa ijitahidi kuondokana na maisha ya namna hii.
Nikawaambia "huku ndo watu wanaishi maisha magumu, wanakula milo mitatu tu kwa siku. Mmoja alishtuka hadi akapoteza fahamu. Alivokua amka akalia Sana"
 
Nliwaonesha nyumba za Kijitonyama,Masaki,Mikocheni na Msasani wakashangaa kuwa kuna nchi ni maskini sana. Nikawaambia huku ndo watu wanaishi maisha magumu. Wanakula milo mitatu tu kwa siku. Mmoja alishtuka mpaka akapoteza fahamu. Amekuja amka analia sana kuwa Africa ijitahidi kuondokana na maisha ya namna hii.
 
"Nliwaonesha nyumba za Kijitonyama,Masaki,Mikocheni na Msasani wakashangaa kuwa kuna nchi ni maskini sana. Nikawaambia huku ndo watu wanaishi maisha magumu. Wanakula milo mitatu tu kwa siku. Mmoja alishtuka mpaka akapoteza fahamu. Amekuja amka analia sana kuwa Africa ijitahidi kuondokana na maisha ya namna hii".

Dah nimecheka sana ,,,wee jamani fala sana
 
Back
Top Bottom