Swali: Mimba iliyoingia terehe 4-18 inaweza kuonesha dalili zozote?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Swali dogo tu,

Eti mimba iliyoingia terehe 4 mwezi mpaka terehe 18 mwezi huu inaweza kuonesha dalili zozote kama kichefuchefu au kutapika? Je, ujauzito unaweza kupimwa wakati huu?

Kuna dogo ameniuliza haya maswali sasa hivi, msaidieni.

Natanguliza shukrani.
 
Naona wadau wameamua wakushambulie, ni kweli mimba ya tarehe hizo inaweza kabisa kuonesha dalili ila kuhusu kupimwa atleast iwe imeingia kati ya tarehe 4_10 ili kufikia leo iwe imekamilisha wiki 2(siku 14) ambazo kwa kipimo cha UPT inaweza kuonekana,

Kuongezea tu, jina la "Mitano tena" liko poa unaweza kuanza kuliwazia, na karibu katika ulimwengu wa kuitwa baba ingawa unaweza kuwa baba wa bandia pia
 
Anaharaka gani huyo, di asubiri kitu kitajionyesha tu! Wakati mnachakachuana hatukuwepo sasa mmepata matokeo yanayoelekea kuwa chanya mnaanza kutusumbua embu uko ebo!

Kwa sasa mwambue akapime malaria au dengua😂😂😂! Mimba aipe muda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom