swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Swali kwa waliokomaa kwenye mapenzi

    Hili ni swali la watu waliokomaa kinapenzi na wenye experience na wenye ndoa. Kama haupo kwenye Hayo niliyotaja usijibu Hivi ni Kwa nini utakuta mwanamke amesoma ana kazi nzuri na anaheshimika sana anakuwa na mume ambaye hajiheshimu na Huyu Mke wake anatumia kila jinsi kumtetea na kupenda Mume...
  2. JamiiForums Tanzania Swali: Je, ni kweli binadamu tuna (free will) chaguzo huru kama tunavyo aminishwa?

    Free will is the capacity for agents to choose between different possible courses of action unimpeded. Free will is closely linked to the concepts of moral responsibility, praise, guilt, sin, and other judgements which apply only to actions that are freely chosen.
  3. JamiiForums Tanzania Nimependa hili swali, Programmers embu mtoe idea hapa

    Take the following IPv4 address: 128.32.10.1 This address has 4 octets where each octet is a single byte (or 8 bits). 1st octet 128 has the binary representation: 10000000 2nd octet 32 has the binary representation: 00100000 3rd octet 10 has the binary representation: 00001010 4th octet 1 has...
  4. JamiiForums Tanzania Swali kwa Ayubu Rioba: Siku hizi sera ya Taifa inaruhusu taasisi za kidini kunufaika na fedha za walipa kodi kupitia TBC?

    Dk. Ayub Chacha Rioba, Mkrugenzi Mtendaji wa TBC Kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Tanzania, swali hapo juu linatokana na bonde la ufa lililopo kati ya yale ninayoyaona, na yale ninayoyatarajia kuhusiana na uendeshaji wa TBC. Kwa hiyo, kwa kuzingatia mfumo wa hoja yenye muundo wa OPHETAR...
  5. N

    JamiiForums Tanzania "Siku hizi uko wapi?" ni swali linalonikera. Chini ya Rais Samia, huenda nikapata jibu lake

    Baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo miaka 3 iliyopita, nilibahatika kwenda kufanya mafunzo kwa vitendo kwenye taasisi moja. Wakati wa hayo mafunzo nilizoeana vyema na watumishi wa pale hasa wale wa kwenye Idara niliyokuwamo. Ukaribu, maelewano, ushirikiano katika kazi ulikuwa ni wa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake

    Eid mubarak wana JF! Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake mwenyewe. Siku ya siku mwanaume huyo vuuup akaja kwako ndo mpo nae sebuleni sasa wewe nayeye! Awali...
  7. JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

    Mimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa). Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

    Habari wanajukwaa, ni utaratibu wa kawaida wa kila Alhamisi Wabunge hupata nafasi ya kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu na kupatiwa majibu ya moja kwa moja hasa kuhusu mambo nyeti yanayopaswa kupatiwa majibu ya haraka toka serikalini. Ila hali imekuwa tofauti katika Bunge hili na hali hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Swali: hivi wabunge wanalipa kodi?

    Habari wadau, Nimekaa nikatafakari income gap ya wabunge na sisi makanjanja. Naomba kujua mbunge anakatwa kodi kwenye mshahara wake m 12 kwa mwezi? Kama hakatwi why? mfanyakazi wa mshahara wa 280000 iweje alipe kodi na anayepokea zaidi ya 10M asilipe kodi? Karibu mnijuze.
  10. JamiiForums Tanzania Swali Tegeshi: Ikitokea Hivi, Itaendelea kuwa Vile?

    Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza...
  11. JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Kwanini Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipenda sana wimbo wa "Baba" wa Stamina na Prof. Jay?

    Habari wanajamvi..! Leo nimejiuliza hivi kwa nini hayati alipenda sana wimbo wa baba ,kiasi ambacho hata kwenye uzinduzi wa studio za Channel ten akaomba apigiwe wimbo wa "Baba "wa Stamina na Prof Jay aliyekuwa mbunge wa Mikumi??
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa mwenye kulijua hili swali la kitakwimu.

    Wadau naombeni msaada mwenye kujua au idea yeyote juu ya hili swali la kitakwimu mawazo yenu tafadhali. "Identify and Explain two aspects that official statistics addresses."
  13. JamiiForums Tanzania Swali: Nioe au niolewe wapi?

    NIMEULIZWA: NIOE AU NIOLEWE WAPI? Kwa Mkono wa Robert Heriel Watu kadhaa wameniuliza swali hili Baada ya kusoma Makala yangu inayomhusu Kaka Mkubwa PFunk Majani. Wameniuliza; NIOE wapi? Kwa upande wa wanaume. Wanawake nao wakaniuliza; TUOLEWE wapi? Kwenye kuoa na kuolewa kuna maswali Makuu...
  14. JamiiForums Tanzania Swali Fikirishi: Hivi wabunge ni Viongozi au Wawakilishi wa Wananchi?

    Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wabunge walio wengi wakichangia hoja mbali mbali Bungeni na hata nje ya Bunge huku wakijitanabaisha kuwa wao ni viongozi waliopewa dhamana na kuaminiwa na wananchi. (most recently January Makamba alirudia kama mara 3 akijiita kiongozi yeye na wabunge wenzake)...
  15. JamiiForums Tanzania Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi? Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Unaweza maliza kidato cha nne ukasoma diploma nje ya nchi?

    Wadau nilikuwa nauliza ivi inawezekana mtu kumaliza form four na akaenda kusomea diploma nje ya nchi.. Au ni tanzania pekee ndo inatoa elimu kwa ngazi ya diploma.. Na je mtu akitaka kusoma nje ya nchi baada ya form four anafanyeje.. Mwenye kujua anieleweshe plz
  17. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    Heri ya pasaka wakuu. Nimekua nikiona mara nyingi hapa jukwaani wanaume wakizungumzia mwanamke huyu kuwa mtamu mara yule hakuwa mtamu. Huwa nabaki kujiuliza maswali kama vigezo gani vinatumika kuwa grade wanawake. Na kwa wale waliokutwa watamu inawasadia kudumu kwenye mahusiano au ndoa? Like...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anae fahamu hili swali, an appraisal of handling of exhibits in law enforcement agencies practice: Tanzania police force

    Habari za mda huu, Ikiwa kama kuna regulations, laws au Act zozote zinazoweza kutoa majibu ya hilo swali naomba mnisaidie.
  19. JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…