swala

  1. N

    JamiiForums Tanzania Suala la Ndugai ni over-reaction, watawala jaribuni kuwa na ustahimilivu

    Naomba nitoe nasaha kwa watawala kujitahidi kuwa wastahimilivu kwa viongozi wenzao na wananchi wengine. Na pia wajitahidi kufuata sheria, kanuni na taratibu zinazotoa nafasi pia kwa wangine bila kutumia mabavu. Hili ni muhimu ukichukulia kwamba maisha ya binadamu hayategemei mamlaka pekee au...
  2. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

    Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa. Hili la umeme wa kuunganisha watu wote kwa 27,000 ni yeye amelileta...
  3. Roy Keane

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwenye freelancing upande wa website development

    Nimeunda gig yangu ya kwanza huko fiverr kuhusu website development, sasa ambacho nataka kufahamu wakuu ni je - Website ya mteja nampatia ikiwa hosted tayari ama nampa source codes? -Kama nampatia ikiwa hosted, gharama za domain na hosting inabidi niwe nimezijumuisha kwenye cost ya kazi yangu ...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Watu ambao asili yenu ni mjini, hamkujui kijjini kwenu, mnalichukuliaje hili swala?

    Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 na yote yana asili yake yalipotoka na mkataa kwao ni mtumwa. Kumekuwa na ongezeko la watu siku hizi ambao wanazaliwa mjini na vijijini kwao hawakujui kabisa, mtu unaweza kumuuliza wewe ni mhaya, mnyakyusa, n.k wa wapi, anakwambia yeye ni mngoni, msukuma, n.k...
  5. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mama swala la umeme litakuchafua!

    Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia. Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu wananchi nawasalimu kwa jina la...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

    Rais Samia binafsi nampenda lakini kila nikifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea. Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda. Samia ananipa wakati mgumu, kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lakini swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

    Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu. 1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Suala la kuhama mbona linaonekana Kama ni mateso kwa watumishi wa umma?

    Siku ya Alhamisi Waziri wa tamisemi alitoa kauli ya kuisitisha uhamisho wa watumishi walioko chini ya Wizara yake (TAMISEMI) Ila akasisitiza labda mtu akitaka toka mjini kwenda Kijiji ndiye anayerusiwa kupata kibali Cha kuhama. Swali langu je kuhama si ni haki ya kila mtumishi? Siyo kila mtu...
  10. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba ingilia kati suala la mitandao

    Bandugu kwema? Kama kichwa cha habari kinavosomeka apo juu, naomba mh Rais aingilie kati suala hili otherwise tutasusia ama kuandamana. Wamepunguza MB gharama imebakia ileile ya mwanzo, maana yake nini kutukomoa ama ninii!!! Kana vipi na gharama za kununua vifurushi zipungue. Hii siyo haki...
  11. Dit000

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mazingira yana affect ubongo linapokuja suala la kufanya mapenzi?

    Wanasaikologia ni kweli wanandoa au wapenzi, wakifanya mapenzi sehemu za hadhi ya chini, kama vile msituni, shimoni, chini ya vibanda vya wazi, beach sehemu ya uwazi, vichochoroni, kwenye dari, n.k mwanamke au mwanaume ni ngumu sana kuyasahau hayo mazingira hadi uzeeni kulinganisha na...
  12. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Kwa hili swala la wamachinga, Dar tutapaona pagumu

    Magufuli alitupa uhuru sana. Tukafanya biashara sehemu yeyote. Alituambia hata kama Ikulu kuna sehemu ya wazi tukafanye biashara. Kinachoendelea kwa huyu Mama ni noma! Serikali yake inafanya kinyume na ya Magufuli. Magufuli tutakukumbuka sana baba r.i.p
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kisa cha ndoa ya Mpemba Swala Tano na mwanamke mchaga mkatoliki mwenye msimamo mkali

    Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali... SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA. Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume tupendane, tusiharibiane ndoa

    Leo naomba niongee na wanaume wenzangu. Kwanini sisi wanaume hatupendani? Tunawalaumu wanawake kuwa hawapendani ilihali na sisi pia hatupendani. Nitaeleza kwanini nasema hivi. Unakuta mtu kwa makusudi anafahamu kuwa huyu mwanamke ni mke wa mtu. Mwanaume mwenzangu kamtolea mahari, kajipiga...
  15. 4

    JamiiForums Tanzania Polisi, swala Hamza msitumie nguvu bali akili

    Wakuu najua mpo poa na mapambano ya kila siku, nami nasema mambano yaendelee maana Mungu yupo pamoja NASI Moja kwa moja niwatake jeshi ,namanisha police ,kwenye Jambo la HAmza msitumie nguvu bali akili itokanayo na mafunzo yenu basi Tumeona kwenye mitandao ya kijamii,ndugu na marafiki...
  16. Leak

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hizi chanjo milioni moja hazina muda wa kuharibika (expiry date) hata ikifika mwakani? Kwanini hili suala haliwekwi wazi?

    Ni kweli hizi chanjo zilizo letwa wiki tatu zilizopita hazina muda wa kuharibika? Kati ya mambo ambayo yamewashinda kabisa wizara ya afya kwenye hili chanjo ya COVID ni kuweza kutoa elimu sahihi kwa wanchi kuhusu hii chanjo na katika hili wizara imekuwa ikikimbia maswali ya watu kwa kudhani...
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Suala la Polepole linadhihirisha hata Rais afanye nini ni vigumu kuwavutia team Magufuli

    Niongezee kidogo..... Swala la gazeti la Uhuru kusema Samia hatagombea nazani ndio hisia na takwa halisi la mfumo ulioachwa... Kwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka ni kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu. Nilisikia...
  18. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, wametuuza waumini wao kwa Shetani kwa kuwa hatujaona msimamo wowote wa kiroho madhubuti wa pamoja kuhusu suala la Uviko 19.

    Hakuna shaka yeyote kwamba swala la Uviko 19 au ni la kughushi au lipo lakini si la kiwango kinacho zungumziwa au chanzo si hicho kinachosemwa,ila kinachoitwa Uviko 19, ni kisingizio tu. Ona ukweli huu hapa👇...
  19. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Suala la Mbowe nilifikiri mtaani kutachimbika ila naona watu wamesusa

    Habar zenu ndugu, jamaa na marafiki mliopo humu.. Ndugu zangu baada ya kupokea taarifa ya kukamatwa kwa mwenyekigoda wa chama fulani, wengi wetu tulijua sasa kutachimbika. Mfano mimi binafsi nilijua viongozi wa chama chake wangewaongoza wafuasi wao nchi nzima wafanye mgomo wa kula, kunywa...
  20. hp4510

    JamiiForums Tanzania Serikali toeni kauli suala la Kadi feri Kigamboni

    Kwa kipindi sasa kuna tatizo sana kwenye ishu ya kuvuka Kigamboni. Kuna vijana ambao wanalazimisha watu kununua Kadi au kutumia Kadi kuvuka Kigamboni. Ni Jambo jema Ila the way linaendeshwa ndio tatizo. Sioni sababu yoyote ya kufanya Jambo Hilo kuwa lazima, kiasi kwamba kama hauna Kadi...
Back
Top Bottom