Warning: Epuka kuingia kwenye mahusiano yeyote kwa nia ya kupata ndoa utakuja kuumia

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na wewe hivyo unapoingia ktk mahusiano yoyote yale achana na tabia za kimbelembele kujifanya una malengo ya maisha kuja kuoa au kuolewa unawekeza moyo wako na kila kitu kwake kumbe mwenzio anakuchora kuna mtu anampenda ambaye ndio chaguo lake ww upo tuu ili kutimiza haja zake tuu na shida zake tuu.

Kama ni issue ya ndoa ipoo ipoo tuu Mungu kapanga lakin kama haijapagwa hata ufanye nini au umfanyie nini utaachwaa tuu narudia tena utaachwa na swala la ndoa utabaki kulisikia redioni kwani kuna watu inaonekana ktk hii dunia hamjapangiwa kuoa au kuolewa mpoo katika hii dunia mpoo kama wasindikizaji tuu ndio maana kila mwaka mnaingia mahusiano mapya na kila mnapoingia hamkutani na watu wenye interest ya kuwaoa au kuolewa mnakutana na wazee wa eat and run.

Ushari wangu kwa vijana unapodate na mtu just date funny but stop dating for marriage kama ndoa ipoo, ipoo tuu itajileta yenyewe lakini ukijifanya ndoa unaijua na unaitafuta utakuja kupata stress bure.

1624256166397.png
 
Kuna watu inaonekana ktk hii dunia hamjapangiwa kuoa au kuolewa mpoo katika hii dunia mpoo kama wasindikizaji tuu ndio maana kila mwaka mnaingia mahusiano mapya na kila mnapoingia hamkutani na watu wenye interest ya kuwaoa au kuolewa mnakutana na wazee wa eat and run.

Sina cha kuongeza.
 
Kwa kuwa we umeolewa unawakatisha wenzio tamaa sio? Kwa taarifa yako ma baharia tunanunuliwa playstation sikuhizi😅😅😅 tutaendelea kuoa mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom