swala

  1. G

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati tusaidie sisi baadhi ya wakazi wa kilimanjaro swala la umeme ni kizungumkuti

    Mh Waziri wa nishati tusaidie sisi baadhi ya wakazi wa kilimanjaro swala la umeme ni kizungumkuti ukiuliza swala la umeme wa rea unaambiwa kijiji chetu hakipo kwenye mpango wa rea hapo hapo mtendaji wa kijiji anasema andikeni majina ya watu ambao hawana umeme. Zaidi sana Binafsi nilishafanyiwa...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala la kadi za NHIF vyuoni. Inasikitisha wanapotupeleka

    Nimepokea baadhi ya message inbox zingine zikinitisha nani kakwambia zingine utaratibu unakamilika kuwapatia kadi soon. Na nyingine ikishukuru kwa kufikisha ujumbe hadharani pengine wakubwa walikuwa hawajui. Tunaiomba serikali tukufu ya Mh. Magufuli iingilie kati upatikanaji wa kadi za bima...
  3. EIFFEL

    JamiiForums Tanzania Airtel/ Airtel Money acheni hizi dhuluma, Mamlaka husika liangalieni hili suala

    Habarini za jioni wakuu, Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Binafsi naomba niwasilishe malalamiko yangu kwa hawa AIRTEL TANZANIA kutokana na vitendo vyao hivi ambavyo ni viashiria wazi vya dhuluma kwa wateja wao. Kwa kawaida hua sipendi kununua bundles kwa vocha za kukwangua kwa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tunaposema hakuna ukabila huku tukiendelea kuulizana kabila ni suala la ajabu sana

    Wewe ni kabila gani! Hii ni moja kati ya vitu ambavyo Nyerere alijaribu ku-discourage ili kuua ukabila, intermarriages na system ya uongozi ilifanya kuuweka ukabila mbali na sisi ili tuweze kuishi kama Watanzania na sio kama watu wa kabila fulani hali ambayo ni hatarishi kwa maendeleo ya nchi...
  5. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze suala la kumuongezea Rais muda au sheria?

    Na Elius Ndabila ewndabila@yahoo.com Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na hoja ambayo imeshikiwa bango na baadhi ya Watanzania wakiomba Mh RAIS Dkt John Magufuli aongezewe muda wa kuliongoza taifa hili. Hoja hii mwanzo ilianza kama utani na Mh Juma Nkamia Mbunge wa Chemba. Ninaweza kusema...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Inafaa Kusoma Qur-aan Kwa Kutazama Mus-haf Katika Swalaah Za Sunnah?

    SWALI: Assalaam alaykum. My dear brothers. My question is.is it possible to my Sunnah prayers, while reading the suraz by holding the holly Qur'aan in my hand? I did not memorize those suraz, I would like to know if it is possible. Asslm alekum. Niliuliza suali,kusoma qurani katika sala kwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Du’aa Maalumu Ya Swalaah ya Dhwuhaa?

    SWALI: ASALAM ALAYKUM, SWALI NI HIVI, KWENYE SWALA YA DHUHA KUNA DUA MAALUM INAYOTAKIWA ISOMWE? NAOMBA MSAADA WENU. JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na...
Back
Top Bottom