Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,933
25,268
Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.

#MICHEZO Mahakama Kuu, imepokea kesi ya kupinga uchaguzi wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) na limemuita, Rais wake Wallace Karia, Bodi ya wadhamini ya shirikisho hilo na mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi kesho Ijumaa, saa 3 asubuhi, kujibu hoja za kwanini uchaguzi huo usisimamishwe.

Maombi ya Madai No. 98/2021 yamefunguliwa na Ally Abdullah Ally Saleh dhidi ya Tff Tff Board of Trustees, Imepangwa Kutanjwa Kesho.
 
Ni heri maana nchi hii watu wakipata mwanya wanatunga katiba za kuwalinda!
 
Kumbe Mzanzibar ndo kashitaki?

Huhuhu tumemkosea nini?
 
Huyo mzanzibari asiyeutaka muungano anawashwa nini na tff ya bara? Wao si wana zfa yao huko? Yani anataka kusababisha sie Biashara united mara tusiende kucheza caf confederation cup kwa mara ya kwanza kwa sababu nchi inaweza kufungiwa na fifa, maza fvcker! 👊
 
Process nzima ya uchaguzi ina walakini. Naunga mkono tufungiwe kuliko TFF kuongozwa na wahuni
Hakika Mkuu, na Kilichopelekwa Mahakamani sio Mpira Kilichopelekwa Mahakamani Ni Utaratibu Uliotumika Wakati Wa Mchakato Wa Uchaguzi Wa Kuwapata Wagombea Urais+wajumbe pia. FIFA fifa wanatisha Watu na Fifa tu.
 
Back
Top Bottom