swala

  1. sky soldier

    Tanganyika hatuna chetu kwenye mapato na usimamizi wa utalii Zanzibar, hili swala la Mnaijeria linakuwaje la muungano?

    Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake. Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi...
  2. Lavit

    Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

    Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana. Hii ni Taharifa ya BBC... Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Inashangaza kusikia Nyati na Pundamilia wakidai Katiba Mpya mbugani

    Kwema! Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi; Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya...
  4. Its Pancho

    Wachezaji wa kiafrika na suala la umri Afrika tunakosea wapi? Cheki hapa...

    Nadhani labda sababu ya kutafuta maisha au labda ni kingine ili tucheze soka muda mrefu Sana sijui.. Week iliyopita kulikuwa na mashindano ya soka kwa vijana wa mashule Africa chini ya miaka 16..(u-16).. kituko zaidi kilikuwa ni kwa wachezaji wa congo kwa miili yao nisiongee Sana huyu janja...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

    Huyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
  6. M

    Miaka ya themanini Wazo Hill, Bunju, Boko na Tegeta kulikuwa na swala, digidigi na sungura wengi sana. Sasa hivi hawapo

    Nakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala. Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe...
  7. S

    Humphrey Polepole nakusubiri uongelee suala la Zanzibar kupata mkopo kupita Serikali ya Muungano

    Bwana Humphrey Polepole, sasa tunataka kusikia maoni yako kuhusu huu ukopaji wa mikopo kutoka nje huku Zanzibar ikishirikishwa na kupata mgao. Pamoja na mambo mengine,ulilaumu na kukosoa mawaziri kutosema lolote kuhusu kauli ya Mama kula kwa urefu wa kamba yake, na hapo hapo kumpiga kijembe...
  8. S

    Mikopo ya nje ni suala la Muungano?

    Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano? Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo? Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka...
  9. S

    Ni suala la muda tu kabla Ndugai hajakiri au kutamka hadharani kuwa Katiba ya nchi ni mbovu

    Bnafsi naamini kilichomfanya Ndugai ajiuzulu si mashambulizi(shinikizo) kutoka ndani na nje ya chama chake, bali ni baada ya kugundua Rais hana imani nae huku mhimili anaouongoza Rais ukiwa umejichimbia zaidi. Hivyo, bwana Ndugai akaona hana ubavu wa kupingana nae akaamu kujiuzulu. Kwahiyo...
  10. Midimay

    Kamati Kuu ya CCM(CC) ikutane kujadili swala la Ndugai

    Habari za asubuhi kwa mtakaosoma. Kama kichwa kilivyo hapo juu, nashauri Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kukutana haraka sana iwezekanavyo kujadili hili swala la Ndugai. Vyama vyote vikubwa vyenye itikadi kama ya CCM hufanya maamuzi juu ya wanachama wake wa kawaida , let alone mwanachama...
  11. N

    Suala la Ndugai ni over-reaction, watawala jaribuni kuwa na ustahimilivu

    Naomba nitoe nasaha kwa watawala kujitahidi kuwa wastahimilivu kwa viongozi wenzao na wananchi wengine. Na pia wajitahidi kufuata sheria, kanuni na taratibu zinazotoa nafasi pia kwa wangine bila kutumia mabavu. Hili ni muhimu ukichukulia kwamba maisha ya binadamu hayategemei mamlaka pekee au...
  12. Memento

    Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

    Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa. Hili la umeme wa kuunganisha watu wote kwa 27,000 ni yeye amelileta...
  13. Roy Keane

    Msaada tafadhali kwenye freelancing upande wa website development

    Nimeunda gig yangu ya kwanza huko fiverr kuhusu website development, sasa ambacho nataka kufahamu wakuu ni je - Website ya mteja nampatia ikiwa hosted tayari ama nampa source codes? -Kama nampatia ikiwa hosted, gharama za domain na hosting inabidi niwe nimezijumuisha kwenye cost ya kazi yangu ...
  14. sky soldier

    Watu ambao asili yenu ni mjini, hamkujui kijjini kwenu, mnalichukuliaje hili swala?

    Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 na yote yana asili yake yalipotoka na mkataa kwao ni mtumwa. Kumekuwa na ongezeko la watu siku hizi ambao wanazaliwa mjini na vijijini kwao hawakujui kabisa, mtu unaweza kumuuliza wewe ni mhaya, mnyakyusa, n.k wa wapi, anakwambia yeye ni mngoni, msukuma, n.k...
  15. KENZY

    Mama swala la umeme litakuchafua!

    Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia. Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
  16. Roving Journalist

    Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu wananchi nawasalimu kwa jina la...
  17. O

    Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

    Rais Samia binafsi nampenda lakini kila nikifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea. Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda. Samia ananipa wakati mgumu, kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lakini swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana...
  18. William Mshumbusi

    Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

    Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu. 1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba...
  19. K

    Suala la kuhama mbona linaonekana Kama ni mateso kwa watumishi wa umma?

    Siku ya Alhamisi Waziri wa tamisemi alitoa kauli ya kuisitisha uhamisho wa watumishi walioko chini ya Wizara yake (TAMISEMI) Ila akasisitiza labda mtu akitaka toka mjini kwenda Kijiji ndiye anayerusiwa kupata kibali Cha kuhama. Swali langu je kuhama si ni haki ya kila mtumishi? Siyo kila mtu...
  20. Abu Ubaidah Commando

    Rais Samia tunaomba ingilia kati suala la mitandao

    Bandugu kwema? Kama kichwa cha habari kinavosomeka apo juu, naomba mh Rais aingilie kati suala hili otherwise tutasusia ama kuandamana. Wamepunguza MB gharama imebakia ileile ya mwanzo, maana yake nini kutukomoa ama ninii!!! Kana vipi na gharama za kununua vifurushi zipungue. Hii siyo haki...
Back
Top Bottom