Jongoo akisagwa ni Sumu Inayoua

Dee1044

New Member
Jul 3, 2019
2
1
Habarini wanaJamii Forum. Nimesikia baadhi ya watu wakisema kwamba jongoo anapokufa halafu akakauka, akisagwa na kuwa unga unga, ule unga watu huutumia kama sumu inayoua taratibu, hata miezi mitatu.

Nimepinga hoja hii ila wanaoamini hivyo hawaelewi. Kama inawezekana kuwahusisha wanasayansi kuweza kupata ukweli kwenye hili itanufaisha wengi ili kuondoa imani potofu. Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom