suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nyboma

    JamiiForums Tanzania Hili suala la vitambaa vya unahodha kwenye ligi ya uingereza kuwa na rangi ya Rainbow ni kwamba ligi hii inasimama na mashoga ama imekuaje

    Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo. Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalalishwa tayari ama limekaaje hili suala. Tazama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Maji: Utawala corrupt unatuletea shida, Mchina akamatwa akichepusha maji mto Ruvu kumwagilia mboga

    Nataka niongee kwa hasira kali na leo Mod naomba mnivumilie lugha yangu. Hapa bongo kuna mambo ya kikhanithi yanaendelea sana na matokeo yake wananchi tunapata shida kwa sababu ya ukhanithi wa watu wachache. Leo Nipashe wametoa taarifa kuwa kuna mchina amekamatwa anachepusha maji ya mto ruvu...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Suala la crane kujaza maji bwawa la Nyerere limeonesha ukilaza na ushabiki mbaya

    Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wahindi acheni ubaguzi kwenye suala la ajira, hapa sio India

    Wakuu,kuna tangazo la kazi eti mwajiri anataka mtu anaejua kuzungumza lugha za India tu na wala local languages kama kiswahili sio priority yao kabisa. Huu si ni ubaguzi wa mchana kweupe kabisa? Mamlaka husika ziamke, hatuhitaji upuuzi kama huu nchini kwetu.
  5. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Suala la wamachinga; Nchi imekomaa au upinzani umepata pigo kwenye mfumo wake wa uzazi?

    Kwa kawaida tulitarajia... 1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo. 2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa. UHALISIA 1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo. 2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao. TATIZO NI...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke ana lipi la kumfunza mtoto wa kiume linapokuja suala la urijali?

    Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu urijali wa mwanaume. Ili kumlea mtoto wa kiume awe rijali ni lazima kwa kiasi fulani kuwe na mlezi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais ingilia kati suala la mikopo ya wanafunzi elimu ya juu

    Mh. Rais ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia hongera kwa safari ya Glasgow ambapo uliiwakilisha nchi yetu na kutusemea, pole kwa majukumu ya kulipigania taifa letu. Nikienda moja kwa moja kwenye mada ni kwamba baadhi ya wanachuo ambao wanakila sababu ya kupatiwa mkopo...
  8. Uchumi wa Mifugo

    JamiiForums Tanzania Wanasheria naomba mnieleweshe suala hili

    Kwa mfano nimeshtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi,na jamhuri inajua kesi yangu si ya kuhujumu uchumi Ila wizi wa kawaida,Ila imeamua tu kunikomesha kwa sababu naisumbua tu serikali yao. Hakimu kila akiangalia anaona hakuna mashtaka ya uhujumu uchumi, je mahakama ina mamlaka ya kubadilisha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Suala la machinga, CHADEMA mngefanyaje?

    Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya. CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake. Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la Wamachinga, Rais Samia umevunja ahadi na umewasaliti Wamachinga

    Mheshimiwa rais, Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao nitaeleza. 1. Serikali yenu wewe na Hayati Magufuli mliwatengenezea wamachinga utaratibu wa sasa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Suala la Wamachiga: Hayati Magufuli asitumike kama gold standard

    Habari JF Wiki kadhaa zilizopita Serikali ilianzisha kampeni ya kuhakikisha maeneo yetu yanarejea katika hali nzuri kwa kuhakikisha kuwa wafanyabiashara maarufu kama wamachinga wanawekewa uratatibu mzuri wa kufanya biashara zao huku mazingira yakibaki safi na salama kwa ajili ya matumizi na...
  12. MabatiBeiNafuu

    JamiiForums Tanzania Utumishi mjiongeze kwa hili kwa suala la usaili kufanyika Dodoma pekee

    Habari JF, Naomba Sekretarieti ya Utumishi waweze kusaidia wahitimu weweze kufanya mitihani ya Ajira wakiwa mikoani kwao. Majuzi TRA wametoa nafasi 1097 za Ajira ambazo ni nyingi sana kwa kipindi hiki cha Uchumi wa Kati. Sasa Kikwazo ni hizi interview kufanyika huko Dodoma pekee. Kuna mtu...
  13. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie upya suala la usajili wa meli za kigeni baada ya kusitishwa mwaka 2018

    Usajili wa Meli (Ship registration) hiki ni kitendo Cha kuipa meli uraia katika nchi Fulani na kurusiwa kutumia bendera hiyo iwapo baharini. Meli iliyosajiliwa na Tanzania italazimika kufata Sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mfano endapo meli itakiuka jambo lolote itaadhibiwa...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

    Amani iwe nanyi wanabodi! Wakati Mama Samia anatangaza mkakati wake wa kuwapanga upya machinga kwenye maeneo mbalimbali, nilibarikiwa kuwa mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kutoa ushauri wangu humu! Ushauri huu niliutoa kwenye Thread hii hapa chini...
  15. nyboma

    JamiiForums Tanzania Rafiki yako leo ndio adui yako mkubwa kesho linapokuja suala la maslahi

    Tuwe makini sana na hawa tunaowaita marafiki zetu wa faida, hawa hawa ndio hugeuka kuwa mwiba mkali katika maisha yetu hasa mkipishana kidogo kwenye masuala ya maslahi. Rafiki huyu huyu ndio anaweza kuwa sumu ya kukuondoa hata uhai kisa maslahi, mwisho kabisa tusiwaamini sana hawa tunaowaita...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hili suala la Wamachinga kuondolewa pembezoni mwa barabara linatupa wakati mgumu zaidi. Tumesimama katikati

    Tunashindwa kusema Serikali imekosea na tunashindwa kusema Wamachinga walikosea. Kwa kweli hapa hata wapinzani tunapoulizwa tunajikuta tunajibu swali ambalo halikuulizwa. Muulize tu mpinzani akupe jibu. Je, Serikali kuwaondoa Wamachinga pembezoni mwa barabara ipo sahihi au imekosea. Utasikia...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Suala la wamachinga acheni nature iamue

    1. Kumfukuza machinga ndani ya nchi yake ni unyanyashaji 2. Kutumia nguvu Ni kudharau wasomi na vyuo vikuu vyetu kuwa vimeshindwa kuzalisha wasomi wa kusaidia jamii kutatua Changamoto kama hizi 3. Kuona wamachinga ni tatizo katika jamii ni ubinafsi na kudhani nchi Ni ya baadhi ya watu. Lkn...
  18. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangazie upya suala la Kikokotoo cha Mafao

    Wakuu: ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa hakuna anayeijua kesho yake. ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa kila mtu anazalisha ili ajikwamue kimaisha akiwa bado hai! ✓Ifike mahali tukubaliane vile vile kuwa kuna haja ya kupitia upya suala zima la matumizi ya Kikokotoo kwenye mafao ya wafanyakazi wa nchi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Historia inapiga king’ora kwa suala la Wamachinga duniani, nani anasikia?

    Dunia iko kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda (4th Industrial Revolution) ambapo matumizi ya teknolojia ya kisasa yanachukuwa nafasi kubwa kwenye uzalishaji na ubora wakati hasara ya mapinduzi haya ya nne ni rasilimaliwatu kukosa fursa za ajira ambazo zimechukuliwa na teknolojia (mashine na...
  20. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Suala la Sabaya, CCM imejionesha kuwa ni chama cha Dola

    Lazima wana CCM tuainishe the basic contradiction ya uhusika su kutohusika kwa CCM katika suala la Ole Sabaya. Komredi Abdulrahman Kinana alipokuwa Katibu Mkuu CCM, pamoja na Katibu Mwenezi Nape Nnauye, wakati wao wslidiriki kuinyooshea kidole Serikali kwa mapungufu kila idara iliyokuwa...
Back
Top Bottom