Suala la wamachinga acheni nature iamue

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
1. Kumfukuza machinga ndani ya nchi yake ni unyanyashaji

2. Kutumia nguvu Ni kudharau wasomi na vyuo vikuu vyetu kuwa vimeshindwa kuzalisha wasomi wa kusaidia jamii kutatua Changamoto kama hizi

3. Kuona wamachinga ni tatizo katika jamii ni ubinafsi na kudhani nchi Ni ya baadhi ya watu. Lkn hasa Ni kudharau viongozi wetu wote wa dini wanaohubiri upendo

4. Kuwapiga machinga ni kugeuza ndugu kumpiga ndugu. Hilo ni tatizo Sana kiasili. Tusilijaribu.

5. Kutochukua hatua dhidi ya kukua kwa kundi la machinga ni kujisahaulisha kuwa hatuzai. Mwanao au mjukuu wako au kitukuu wako kesho anaweza kuwa machinga

6. CCM ilibebe suala la wamachinga kwa moyo wa kitikadi na kiimani ya Siasa yake kuwa Watu wote ni sawa na Afrika ni moja.

Tutafakari
 
Yaani Mtanzania ndani ya nchi yake anakuwa kama mkumbizi, hana haki, yeye hastahili kutafta kwa ajiri ya wategemezi wake Daah
emoji1544.png
emoji1544.png
inauma kwa kweli
 
Hili ni bandiko LA kipumabu karne hii lililoandikwa na mpumbavu
 
Back
Top Bottom