story

  1. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

    Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My Story..

    Niite Mimi ndyo jina langu(sio jina langu halisi. Nimezaliwa Miaka 30 iliyopita Kanda ya ziwa.Nina elimu ngazi ya Shahada. Nikiwa nina Miaka 10,siku moja jioni ghafla nikasikia kitu kinatembea machoni kama mtu aliyemwagiwa mchanga.Nikajua ni mchanga umeingia tu,Kumbe!Nikaanza kufikicha na...
  3. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania True story; I killed her (Simulizi ya kweli; Nilimuua)

    The first day we met ilikuwa last week, on Christmas day, tulikutana kama bahati tu bar fulani hapa hapa Dar. We stay at the same table having some drinks and stories. Baada ya kuzoeana kidogo alianza kuniambia vitu ambavyo nilivipuuza na kuhisi alikuwa ameanza kuzidiwa na pombe. Nakumbuka...
  4. Leejay49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupigeni story mbili tatu🤗🤗

    Signed Out
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco na kuhadaa wananchi mara kina cha maji, mara uchakavu wa mitambo. The story will never end

    Hivi kwanini wa TZ ni mazumbukuku. Kila uwongozi ukija TANESCO wanakuja na same story lakini wa TZ wanasahau walichoambiwa nyuma. Ni upole ama ni ujinga. Mvua inanyesha sasa hivi natumaini bwawa limejaa. Lakini bado mgao. Mitambo inatengenezwa kila uwongozi lakini haiponi. TZ bwana !! Mtu...
  6. ninjajr

    JamiiForums Tanzania Huwa mnapiga story gani siku ya kwanza kukutana na ndugu yako ambaye hujaongea nae zaidi ya mwaka

    Za usiku wana JF na poleni na shughuli za kujenga taifa. Nina ndugu yangu wa kiume upande wa maza mkubwa kidogo ila ni kama tunalingana na mimi pia ni kiume tulikuwa close saana kipindi cha nyuma karibia mwaka sasa hivi ule ukaribu ulikufa wote. Kwa mara ya kwanza tulipingana kauli hadi...
  7. Cecil J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True Story: Sikufaidi first love

    .
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Maswali haya je una majibu?

    Masawali haya je una majibu?jibu kisha nitumie majibu(mtihani wa maarifa ya dunia) 1.Kama hela haioti kwenye kwenye miti kwa nini bank zina matawi ? 2.Kwa nini gundi hainati kwenye chupa yake? 3.Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa kwa nini bar kuna parking? 4.Kama neno...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya binti kwa baba yake yalisaidia kumtoa baba gerezani

    Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate. Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila siku. Akifika anampa baba yake maziwa yake anyonye. Baada ya miezi minne walishangaa kumuona mzee...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Story ya Maisha ya MwanaFA akihojiwa na Salama Jabir Isomwe na Single Mother wote na waoaji wa ma single mothers.

    MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake. Tafadhari mwenye video full ya mahojiano aiweke hapa watu waone na wapate hisia za maisha yake. Kisa Kiko hivi...
  11. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania PHOTOS: Uzi wa Wallpapers, Profile pictures , na Stutus story.

    Huu uzi maalumu kwa wale wanaotaka Wallpapers nzuri na Profile picture kali. Kwa wanaopenda kuweka Status na Picture stories pia uzi huu ni maalumu kwa ajili yenu.
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania STORY FUPI: Ni mara ngapi tunakosa zawadi kwa sababu hazikufungwa vile tulivyotarajia?

    Lazima usome... mwanamke mmoja aliyeolewa alikuwa akitarajia zawadi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa mumewe. Kwa miezi mingi alikuwa amevutiwa na pete nzuri ya almasi kwenye chumba cha maonyesho, na akijua mume wake angeweza kumudu, alimwambia kwamba hiyo ndiyo tu alitaka. Siku yake ya kuzaliwa...
  13. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania My true story; Jinsi uongozi wangu shuleni ulivyonifanya niishi maisha ya upweke

    Habari wanajf. Leo nimeona sio mbaya namimi nikishare na nyinyi story yangu fupi nilipokuwa shule. Hatimaye matokeo yakatoka nimefaulu kwenda sekondari. Nilkuwa si mtu wa kujichanganya sana hivyo sikuwa famous kabisa pia nilkuwa mtiifu sana nafanya kila kitu kwa mda. Nikiwa form one bado...
  14. Vincenzo Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Story hii itakusisimua kuliko zote, utatumia dakika 2

    Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita “Bestfriend” nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu, lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo. Baada ya leacture, alikuja kwangu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

    Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga. Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia. " Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na...
  16. Siana Sia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To make a short story long: Hatari ya kuficha mahusiano

    Ni story fupi sana ila nimeirefusha makusudi. Inaweza kuwa ya ukweli au ya kutunga, we isome. Mwaka jana mwezi September nikiwa kwenye shuguri zangu za kikazi Arusha, nilikutana na Side (au Said). Mara ya kwanza tulikutana ATM. Ilikua jmosi mchana, nilipata changamoto ya kadi yangu kumezwa...
  17. Papa Mopao

    JamiiForums Tanzania Mwenye story yoyote ya mambo yanayotokea karibu na kifo ayamwage hapa

    Yeyote mwenye habari zozote zinazohusu NDE au Near Death Experience anaweza kumwaga hapa. Haya maisha tunayoishi ni zaidi ya tunayoyajua. Elimu haina mwisho, tuendelwe kujifunza wajameni.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  19. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Nimepitia mengi toka 2013 kwa kufupisha fupisha story hii mpaka 2023

    Mwaka 2013 nilipata kazi kwenye kampuni moja katika branch yake Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu, sasa basi maisha yalianza kwa kufanya kazi kwa sababu sikua najua chochote ilibidi nijifunze kupitia kwa yule niliyemkuta ndio alinipa uzoefu sababu yeye alikuwa kanitangulia na anajua vingi kuhusu...
  20. FirstClass

    JamiiForums Tanzania Nipe maoni yako juu ya hadithi yangu

    Story inahusisha jamaa wanne na mdada mmoja, kwa pamoja wanakuwa MTU TANO. Jamaa walijihusisha na utoaji wa misaada kwa jamii, si kanisani wala misikitini, kote walialikwa na huko walitoa pesa na vifaa mbalimbali vya thamani hali hiyo ilipelekea makundi mbalimbali ya watu kupanga foleni kwa...
Back
Top Bottom