My Story..

Jan 4, 2024
46
130
Niite Mimi ndyo jina langu(sio jina langu halisi. Nimezaliwa Miaka 30 iliyopita Kanda ya ziwa.Nina elimu ngazi ya Shahada.

Nikiwa nina Miaka 10,siku moja jioni ghafla nikasikia kitu kinatembea machoni kama mtu aliyemwagiwa mchanga.Nikajua ni mchanga umeingia tu,Kumbe!Nikaanza kufikicha na kufikicha..nilinawa na maji pasi na mafanikio.Mchanga haukutoka!

Ikawa Kila nikienda shuleni mchanga unazunguka machoni,nikitoka ni mzma hovyo humalizia mchana na alasiri salama.Machweo itakapofika mchanga unazunguka machoni.Ilikuwa Ikifika saa moja nalala.Hali iliendelea Kwa muda Hadi ikaisha yenyewe.Macho yangu yakaanza kupoteza uwezo wa kuona kidogo kidogo.Tulipoenda hospitali ya mkoa ya .....Nilipimwa nikapewa miwani nikiwa darasa la nne.

Turudi nyuma, Kwa wazazi wangu tumezaliwa sita,Mimi ni mtoto wa pili kuzaliwa.Nilisifika Kwa tabia njema na maadili mtaani nilipoishi na akili za darasani Kwa kipindi hiko.

Hapo mtaani kwetu tupaite Kwembe kulikuwa na babu mmoja ambaye ni jirani yetu.Tumuite Mzee Musa.Mzee Musa na Sisi tulikuwa ni majirani .Hivyo Kila nitokapo shule lazima nipite kwenye uga wa nyumba yake ndyo nifike kwetu.Nipitapo huniita na kiniuliza nilochosoma shuleni.Na Mimi humwambia muda mwingine huomba nimpe madaftari yangu.Nami humpatia na huanza kunisifia mwandiko na Kila kitu!
Itaendelea...
 
ep 2.
Siku moja usiku nikiwa nimelala.Nilisikia mtu ananibeba.Ghafla tukafika koridoni akanilaza.Akaanza kunivua nguo.Chupi akaishusha,hapo Natamani kuamka ila siwezi nasikia kama Kuna nguvu imenishikilia sana.Alipoishusha nikaona ananilalia...akawa anatka kuniingilia Kwa nguvu.Nikapata nguvu za kimuangalia.Lahaula!ni Mzee Musa!Nikasema Yesu!Nikajikuta kitandani!Nasikia kama maumivu Huku chini!Ila si ndani.Natokwa jasho.Mm ni mkatoriki naamka nasali baba yetu na salamu Maria nalala tena nakuuliza hii no ndoto au kweli! Hapo nipo darasa la Tano
 
Niite Mimi ndyo jina langu(sio jina langu halisi. Nimezaliwa Miaka 30 iliyopita Kanda ya ziwa.Nina elimu ngazi ya Shahada.

Nikiwa nina Miaka 10,siku moja jioni ghafla nikasikia kitu kinatembea machoni kama mtu aliyemwagiwa mchanga.Nikajua ni mchanga umeingia tu,Kumbe!Nikaanza kufikicha na kufikicha..nilinawa na maji pasi na mafanikio.Mchanga haukutoka!

Ikawa Kila nikienda shuleni mchanga unazunguka machoni,nikitoka ni mzma hovyo humalizia mchana na alasiri salama.Machweo itakapofika mchanga unazunguka machoni.Ilikuwa Ikifika saa moja nalala.Hali iliendelea Kwa muda Hadi ikaisha yenyewe.Macho yangu yakaanza kupoteza uwezo wa kuona kidogo kidogo.Tulipoenda hospitali ya mkoa ya .....Nilipimwa nikapewa miwani nikiwa darasa la nne.

Turudi nyuma, Kwa wazazi wangu tumezaliwa sita,Mimi ni mtoto wa pili kuzaliwa.Nilisifika Kwa tabia njema na maadili mtaani nilipoishi na akili za darasani Kwa kipindi hiko.

Hapo mtaani kwetu tupaite Kwembe kulikuwa na babu mmoja ambaye ni jirani yetu.Tumuite Mzee Musa.Mzee Musa na Sisi tulikuwa ni majirani .Hivyo Kila nitokapo shule lazima nipite kwenye uga wa nyumba yake ndyo nifike kwetu.Nipitapo huniita na kiniuliza nilochosoma shuleni.Na Mimi humwambia muda mwingine huomba nimpe madaftari yangu.Nami humpatia na huanza kunisifia mwandiko na Kila kitu!
Itaendelea...
joined Jan4 2024 na ushaandka uzi
 
joined Jan4 2024 na ushaandka uzi
emoji23.png
[emoji1
Kuna ubaya?
joined Jan4 2024 na ushaandka uzi
emoji23.png
[emoji11
 
Ep 3.
Nikawa najiuliza kama ni ndoto ama sio.Siku nyingine usiku tukiwa tumelala...Kipindi hiko tuko wanne.Ndugu zangu wengine wawili walikuwa bado hawajazaliwa.Vitanda vyetu vilikuwa ni dabo deka..Wa kwanza alila juu chini walila wengine wawili(walikuwa bado wadogo).Kitanda Cha pembeni nililala Mimi.Nikaanza Sikia mtikiso wa Kitanda..Kitanda kinatikiswa hasa ..Nataka kifumbua macho siwezi ...Nikiwa katika Hali hyo namuona Mzee Musa...Nikapta Nguvu ya kuita Mamaaa....Nikastuka nikitoka chumbani kwetu nikakimbilia Kwa wazazi..Hapo nahema kama nafukuzwa.Wazazi wakasema ni woga nikasali nilale.Visa vya usiku vilikuwa ni vingi vingi.Kuna muda viliisha kabisa.Nikawa sivioni.
Hapo ilikuwa darasa la saba.Nilifanya mtihani vizuri.Nilikuwa sioni tena..Ila naweza Sikia sauti kwachu kwachu...Nasali salamu Maria zangu nalala.Nikiwa nimemaliza darasa la saba nikaanza kinotice mtu akiniita ananiita mara mbili mbili..Nikawa nadharau.Na wazazi hawakulifuatilia.Nikachaguliwa kuingia shule ya Sekondari.
 
Ep4
Maisha ya Sekondari yalikuwa mazuri.Ni shule ya mchanganyiko wasichana na wavulana.Basi nilikuwa na kaboyfriend nimetoka Nako primary yeye hakuchaguliwa shule za serikali akapelekwa shule moja hivi ya kijeshi(Mazingira yanaweza kuwa si sahihi ili kuficha uhalisia wa mhusika).U boyfriend na ugalfriend ambao hamna kujigjig.Enzi hizo hamna simu ni barua tu kuonana ana Kwa ana.Mtaani kulikuwa mkaka mmoja yeye alinizid kidato tumuite Mangi..Na yeye Kila siku annisumbua tuwe wapenzi tufanyane.Hapo sijawahi fanyana malengo yangu niwe Sister.Basi wote wakawa mabff wangu..Huyu wa primary kwao mbali huyu aliyenizidi vidato tunaishi mtaa mmoja.
 
Ep 5
Ule ubff na yule wa primary ulinoga kiasi Cha kwamba wazazi wake wakajua wakajua labda Huwa tunat****kumbe mm nimeka mkazo hakuna kufanyana ..Huyu aliyenizidi alipomaliza kidato Cha nne akachaguliwa chuo kimoja hivi Cha kina jina kinahusika na mambo ya H20.Wazazi wa yule wa Primary walivyoona mtoto wao Yuko mapenzini wakamuamisha shule moja huko Moshi inaitwa Building.Mm matokeo yakatoka nikaenda shule flani hivi ya masister..Huko huko nilikozaliwa.Hapo simu zilikuwa zimeanza kuingia ingia..vimotorola ukibeba ujiandae kula msosi maana si Kwa ukubwa ule na vinokia vijeneza anayenunua simu ile ye tajiri bila kusahau seamen za walalahoi
 
Ep4
Maisha ya Sekondari yalikuwa mazuri.Ni shule ya mchanganyiko wasichana na wavulana.Basi nilikuwa na kaboyfriend nimetoka Nako primary yeye hakuchaguliwa shule za serikali akapelekwa shule moja hivi ya kijeshi(Mazingira yanaweza kuwa si sahihi ili kuficha uhalisia wa mhusika).U boyfriend na ugalfriend ambao hamna kujigjig.Enzi hizo hamna simu ni barua tu kuonana ana Kwa ana.Mtaani kulikuwa mkaka mmoja yeye alinizid kidato tumuite Mangi..Na yeye Kila siku annisumbua tuwe wapenzi tufanyane.Hapo sijawahi fanyana malengo yangu niwe Sister.Basi wote wakawa mabff wangu..Huyu wa primary kwao mbali huyu aliyenizidi vidato tunaishi mtaa mmoja.
Fimbo ya mbali haiui nyoka
 
Ep 6
Yule bff Yuko mbali..nikimpigia simu vinapokea visichana...oohtuachie mpenzi wetu nikaona isiwe shida kwani kanila!Nikaweka moyo wangu Kwa huyo wa maji(tumuite fundi mambomba).
Kama mjuavyo hizi shule za wavaa vilemba.Simu haziruhusiwi...Na barua yenye uwalakini husomwa..Vile mnaweza sachiwa simu mpka Huku Kwa kipochi manyoya.Lakini watu walikuwa nazo.Hivyo Nami nilikuwa najiiba mara Moja moja nachat na fundi mabomba.
Shule ilinifundisha Vyema masomo ya darasani lakini na kama ya Mapenzi niliyakuta hapo.Ilikiwa shule ya wasichana tu..Hivyo baada ya kufua wkend hupumzika.Muda huo ni varangati bwenini...Watu hufundishana Kila style..Nami mapenzi nikayajulia huko.Na ushamba ushamba ukanitoka.Ndoto za usister zilijifia taratibu baada ya kuishi nao na kuona mazingira.Nami nikasema ngoja nijaribu mwakani natima 18years.
likizo hii hapa...Tukifungua tunafanya mtihani wa form six.Nikaja Dar kwa Auntie yangu.Tukapanga na Mangi nimtembelee chuoni kwao.Wanasema mtaka nyingi nasaba hupata Mingi misiba!Ndicho kilichonikuta Kwa Huyu Mangi.Mwanaume niliyempenda mpka namuota.Sijawahi muota mwanaume ndotoni.Hapo nawaza kuolewa na Injinia...Alikuwa anajua kitema yai.Smart ingawa maisha ya kimaskini yalimfubaza.Basi siku ikafika huyo nikatoka Kwa mama mdogo Tabata relini kuelekea eneo la tukio
 
Ep 7
Turudi nyuma kidogo..Kabla sijaenda Dar nikakutana na huyu wa primary likizo ziligongana za mwezi wa 12..Huyu kwao mambo safi sio kama kina Mimi.basi Nikaenda kwao kufika akasema tukatembee...Nikatembezw ghafla tukafika kwenye nyumba nzuri nzuri tukaingia getini.Akasema tuingie ndani.Mm huyo nikavua viatu!!Lahaula naona watu wananicheka.Ndyo nagundua hapo Lodge...Mm sijawahi enda Lodge toka nizaliwe...Afu hakukuwa na kibao..Nikavaa viatu Kwa aibu ...Tukaenda ndani!Mm nikakomaa jamaa ananibembeleza hapo Tulane mm nikakataaa...Hapo Nye***nasikia ila hata sielewi...Kukuru kakara Tukatoka hola ..Jamaa yule hakunila...ndyo ikaishia hapo..Uhusiano ikafa hapo..

Turudi Kwa baharia Mangi.Nikafika chuoni mchana mchana hivi.Kufika pale akazuga anapenda neno la Mungu.Akaaza kusoma zile bible za msaada vile vidogo vya kiinglish.(Anajua mm napenda mambo hayo)baada ya hapo ghafla mtu huyu hapa...vitanda vya chuo vile vidogo kama vya Hall one Udsm kilitufit Vyema ...Nilibembelezwa nikabembelezeka nikajikuta naachia mwenyewe..
Nikipata maumivu makali...Bt baada ya like Tendo Mangi ananiambia Mimi unajua nakupenda sana lakini siwezi kuwa nawe umenizungusha Miaka 5!!Mm Hee!!Be strong utapata mwingine!!!
 
Back
Top Bottom