Story ya Maisha ya MwanaFA akihojiwa na Salama Jabir Isomwe na Single Mother wote na waoaji wa ma single mothers.

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake.

Tafadhari mwenye video full ya mahojiano aiweke hapa watu waone na wapate hisia za maisha yake.

Kisa Kiko hivi baba yake MwanaFA alimpa mimba Mama yake na kumkataa, ila Babu yake mzaa baba akamchukua Mama yake akiwa na mimba aishi kwake hadi akajifungua na huyo Babu wa MwanaFA kipindi hicho alikuwa na mke yaani bibi wa MwanaFA ambae sio mzaa baba yake, alikuwa bibi wa kambo.

Mungu ampe kiti cha enzi bibi wa kambo wa MwanaFA

MwanaFA akiwa na Mchanga Babu yake akamrudisha Shule Mama yake MwanaFA ili asome, MwanaFA akiwa Mchanga akawa analelewa na bibi wa kambo.

Hadithi ni ndefu ila Babu yake alikufa mapema sana, bibi wa kambo nae akafa, Mama yake nae akafa.

MwanaFA maisha yake amekua na kufunzwa na Dunia.

Ni vema kila aitwaye mwanamke na mwanaume atazame na kuisikiliza video ya MwanaFA akihojiwa na Salama Jabir kuna mengi mazuri hasa ukitambua kuna kufa.

Watu tuliopitia maisha magumu ya aina mbalimbali katika Dunia hii na kufunzwa na Dunia tupo wengi.

Inshallah Mungu ni mwema sana

Baba wa mwana fa bado yupo hai nae tusikilize ya upande wake? Tatizo hii migogoro ya masuala ya malezi jamii imeamua kumsikiliza mwanamke tu
 
Kwa alipo Sasa.

Apongezwe na bidii na juhudi zake.

Watu wenye historia ngumu ya maisha huwa wanafight sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom