True story; I killed her (Simulizi ya kweli; Nilimuua)

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
622
1,276
The first day we met ilikuwa last week, on Christmas day, tulikutana kama bahati tu bar fulani hapa hapa Dar. We stay at the same table having some drinks and stories. Baada ya kuzoeana kidogo alianza kuniambia vitu ambavyo nilivipuuza na kuhisi alikuwa ameanza kuzidiwa na pombe. Nakumbuka aliniambia akiniona mimi anaona upendo, mara anaona pepo, anaona nchi ya ahadi, akiniangalia anaona future ya maisha. Nikashangaa sana, she had a game tight, kwani licha ya aibu alionyesha feelings that she couldn't fight, alikuwa tayari hata kunipa game night aliniuliza "Don't you believe love on the first sight?"

Nikamuuliza "mbona unakasi ya jini?" Akacheka kisha akasema "Bro wasiwasi wa nini huku anadeka. "We ni handsome na pia ni mpole, mchizi kama wewe unahitaji manzi kama mimi."

Nikawaza, alikuwa na summer body times two, me machoni nilimtamani ila ni nafsi tu ndio iligoma. Akanishika sikio kisha akanong'ona kwa mahaba akisema "Dude I love you" and then she called me names mara "babe" mara "boo" akiwa anapitisha nails kwenye chuchu mpaka waungwa kwenye meza ya pembeni wakashangaa wakauliza "Damn bro una juju?"

Akataka kunibusu nikakataa kimtindo, akanuna! Akala mingo, akanibusu shingoni nikaguna.

Akaniuliza "We umeoa?"

Nikasema "no!"

"Kwanini hunipendi?"

"Dada nakuonea huruma" akahamaki.

"Huruma ya nini boy? Unavibinti bar, achana navyo ili nikutreat kama minister, hivi jinsi navyokupenda hauhisi raha? Kwanini usikubali tuwe wote what's so difficult? Unaonyesha walakini unanishangaza au pengine una UKIMWI na unahofia kuusambaza?"

Nikamwambia "Sikiliza, najua kunielewa sio simple, me huwa nachinja watu kisha natoa viungo vyao hasa moyo na figo." Akacheka kwa mashauzi ya kinafiki huku akionesha wazi kuwa alidoubt, akasema "Labda bro huna kazi hiyo mioyo na figo ukichinja unauza wapi?"

Nikamwambia "Calls nyingi zinaingia, watu wengi hivi viungo wanavihitaji, nina mtandao mkubwa kila pande za hili jiji isitoshe nia treats mpaka na watu wa India." Akacheka sana mpaka akaniegemea, mimi huku moyoni nikabaki najisemea "Dada angejua kitakacho kwenda kumtokea angebeba pochi yake akaondoka." Nikamwambia "Nenda nyumbani kalale kesho nenda ibadani katoe ushuhuda, nakupa nafasi ya kuishi ipokee ukaujuze umma, nenda kaandike kumbukumbu kuwa umenusurika kufa."

Alionyesha kupuuza.

"Sio mbaya nzi kufia kwenye kidonda, usinikatae mwenzako nitaumia, Nimekupenda sana please niweke moyoni mwako hapo ukiwa muuaji nitafurahi kufia mikononi mwako" she said.

Kiufupi hakutaka kusikia mambo mengi, she was deeply in love yaani kama bidhaa ameshailipia sasa labda anasubili tu change. Alikuwa na macho mlegezo tusema macho sexy, akanikaribia kisha akanikiss passionately alafu akaniuliza "Do you have a car or some brothers?" (translation; aliuliza kama nina gari au nipo na kampani ya marafiki). Nikamkumbusha kuwa mimi ni muuaji lakini aligoma akitaka twende home, mara akanidandia kifuani ghafla akiendelea kunitaka twende home, huku ile nafsi bado inanikemea nikajikuta peke yangu najisemea "Dada angejua kitakacho kwenda kumtokea angebeba pochi yake angetembea akaendazake mbali." Basi bwana, kivivu vivu hao tukazama kwenye Harrier safari kwenda home. Mwendo wa dakika 45, tukafika home and she was like "Baby you got a nice place" but I didn't care. Nikamuandalia mvinyo wa baridi wa kiitalia Barolo red wine, kisha ndani yake nikaweka dawa ya usingizi valium ya kuitwa Diazepam, kisha nikampatia, akapiga fundo moja akaweka glasi mezani, akatabasamu, huku aking'ata midomo yake akanisogelea hadi jirani kisha akaniuliza "Honey hujaniambia unafanya kazi gani?" Sikumjibu kitu, nikaingia chumbani nikatoka na picha za wasichana warembo kama mia moja ambao nilikuwa nimewachora kisha nikamuonyesha, akasema "Wow baby we ni genius" nikamjibu "HAWA WOTE NILIOWACHORA NILISHAWACHINJA, YOU'RE THE NEXT ONE"

Akasema kwa mzaha na wasi wasi "NO BABY, HAUPO SERIOUS"

Basi akaanza kuniimbia wimbo wa mahaba huku taratibu maneno yakikata kinywani ishara kwamba dawa imepanda kichwani. Ndani ya dakika moja alikuwa ameshasinzia hajielewi, nikambeba kisha nikampeleka hadi ndani ya chumba ambacho hakukuwa na kitanda zaidi ya meza tu. Nikamlaza hapo mezani na kama ilivyo ada, nikachukua pencils, markers, karamu na vitendea kazi kadhaa. Nikaanza kumchora akiwa uchi wa mnyama, nilimchora huku moyoni nikiconfess kuwa she was hell of beautiful creature I have ever see, she had figure that Whites may call it summer body, or like an old friend of mine used to call ''english figure'' or as I calls it ''sex body'' alikuwa mrembo.... nilimchora huku nikimeza mate... Kazi ya kumchora ilikamilika. Nikamsogelea huku moyoni nikijisemea ''Unapopenda ukubali majuto'' Nikampiga busu la hisia kwenye paji la uso.

Kisha nikachukua visu vikali, nyembe na mkasi.............

TO BE CONTINUED.....!!!!!

This is a fiction story delivered from the song by Dizasta Vina #CONFESSION OF A MAD MAN AND EDITED TO LOOK LIKE A SHORT STORY BY The Afro Ghost

Happy new year to you all* Naona JF imeshaanza kumeremeta ishara kwamba tunauacha 2023 na kuanza 2024.... Mwaka wetu au tuseme mwaka wa mafanikio kiuchumi. This year we are going to start not a new relationship but a new business na kwa wale wa 9/5 a new job.

Please mtag rafiki yako mmoja kama ishara ya kumuwishi #Happy new year, s/he will feel proud. Mimi nitawag JF member kadhaa hapa chini just to show appreciation and best wishes on 2024.... Sherekea kwa amani na Mungu awabariki.

Maxence Melo Moderator GENTAMYCINE GENTAMYCIME Seif Mselem Joannah Nifah mshamba_hachekwi The ice breaker Smart911 Leejay49 munimuni aggy_20 moneytalk Keygun Gershom africatuni The activist Queen matty ghost03 Depal Luimagdalena DeepPond LuisMkinga JOANNA Intelligent businessman economista masai dada daydreamerTZ @everyone All members
TAG YOUR FRIEND TO WISH HIM HAPPY NEW YEAR 2024.
 
The first day we met ilikuwa last week, on christmas day,tulikutana kama bahati tu bar fulani hapa hapa Dar, We stay at the same table having some drinks and stories. Baada ya kuzoeana kidogo alianza kuniambia vitu ambavyo nilivipuuza na kuhisi alikuwa ameanza kuzidiwa na pombe, Nakumbuka aliniambia akiniona mimi anaona upendo, mara anaona pepo, anaona nchi ya ahadi, akiniangalia anaona future ya maisha. Nikashangaa sana, she had a game tight, kwani licha ya aibu alionyesha feelings that she couldn't fight, alikuwa tayari hata kunipa game night aliniuliza ''DON'T YOU BELIEVE LOVE ON THE FIRST SIGHT?''
Nikamuuliza ''mbona unakasi ya jini?'' akacheka kisha akasema ''bro wasiwasi wa nini huku anadeka. ''WE NI HANDSOME NA PIA NI MPOLE, MCHIZI KAMA WEWE UNAHITAJI MANZI KAMA MIMI''
Nikawaza, alikuwa na summer body times two, me machoni nilimtamani ila ni nafsi tu ndio iligoma. Akanishika sikio kisha akanong'ona kwa mahaba akisema ''DUDE I LOVE YOU'' and then she called me names mara ''babe'' mara ''boo'' akiwa anapitisha nails kwenye chuchu mpaka waungwa kwenye meza ya pembeni wakashangaa wakauliza ''damn bro una juju?''
Akataka kunibusu nikakataa kimtindo, akanuna! Akala mingo, akanibusu shingoni nikaguna.
Akaniuliza '' We umeoa?''
nikasema ''no!''
''Kwanini hunipendi?''
''dada nakuonea huruma'' akahamaki
''Huruma ya nini boy? unavibinti bar, achana navyo ili nikutreat kama minister, hivi jinsi navyokupenda hauhisi raha? kwanini usikubali tuwe wote what's so difficult? unaonyesha walakini unanishangaza au pengine una UKIMWI na unahofia kuusambaza?''
Nikamwambia ''sikiliza, najua kunielewa sio simple, me huwa nachinja watu kisha natoa viungo vyao hasa moyo na figo'' Akacheka kwa mashauzi ya kinafiki huku akionesha wazi kuwa alidoubt, akasema ''labda bro huna kazi hiyo mioyo na figo ukichinja unauza wapi?
nikamwambia ''Calls nyingi zinaingia, watu wengi hivi viungo wanavihitaji, nina mtandao mkubwa kila pande za hili jiji isitoshe nia treats mpaka na watu wa India'' Akacheka sana mpaka akaniegemea, mimi huku moyoni nikabaki najisemea ''dada angejua kitakacho kwenda kumtokea angebeba pochi yake akaondoka'' Nikamwambia ''Nenda nyumbani kalale kesho nenda ibadani katoe ushuhuda, nakupa nafasi ya kuishi ipokee ukaujuze umma, nenda kaandike kumbukumbu kuwa umenusurika kufa''
Alionyesha kupuuza.
''Sio mbaya nzi kufia kwenye kidonda, usinikatae mwenzako nitaumia, Nimekupenda sana please niweke moyoni mwako hapo ukiwa muuaji nitafurahi kufia mikononi mwako'' she said.
Kiufupi hakutaka kusikia mambo mengi, she was deeply in love yaani kama bidhaa ameshailipia sasa labda anasubili tu change. Alikuwa na macho mlegezo tusema macho sexy, akanikaribia kisha akanikiss passionately alafu akaniuliza ''do you have a car or some brothers?'' (tanslation; aliuliza kama nina gari au nipo na kampani ya marafiki). Nikamkumbusha kuwa mimi ni muuaji lakini aligoma akitaka twende home, mara akanidandia kifuani ghafla akiendelea kunitaka twende home, huku ile nafsi bado inanikemea nikajikuta peke yangu najisemea ''dada angejua kitakacho kwenda kumtokea angebeba pochi yake angetembea akaendazake mbali''. Basi bwana, kivivu vivu hao tukazama kwenye Harrier safari kwenda home. Mwendo wa dakika 45, tukafika home and she was like ''baby you got a nice place'' but i didn't care. Nikamuandalia mvinyo wa baridi wa kiitalia Barolo red wine, kisha ndani yake nikaweka dawa ya usingizi valium ya kuitwa Diazepam, kisha nikampatia, akapiga fundo moja akaweka glasi mezani, akatabasamu, huku aking'ata midomo yake akanisogelea hadi jirani kisha akaniuliza ''Honey hujaniambia unafanya kazi gani?'' sikumjibu kitu, nikaingia chumbani nikatoka na picha za wasichana warembo kama mia moja ambao nilikuwa nimewachora kisha nikamuonyesha, akasema ''wow baby we ni genius'' nikamjibu ''HAWA WOTE NILIOWACHORA NILISHAWACHINJA, YOU'RE THE NEXT ONE''
Akasema kwa mzaha na wasi wasi ''NO BABY, HAUPO SERIOUS''
Basi akaanza kuniimbia wimbo wa mahaba huku taratibu maneno yakikata kinywani ishara kwamba dawa imepanda kichwani. Ndani ya dakika moja alikuwa ameshasinzia hajielewi, nikambeba kisha nikampeleka hadi ndani ya chumba ambacho hakukuwa na kitanda zaidi ya meza tu. Nikamlaza hapo mezani na kama ilivyo ada, nikachukua pencils, markers, karamu na vitendea kazi kadhaa. Nikaanza kumchora akiwa uchi wa mnyama, nilimchora huku moyoni nikiconfess kuwa she was hell of beautiful creature I have ever see, she had figure that Whites may call it summer body, or like an old friend of mine used to call ''english figure'' or as I calls it ''sex body'' alikuwa mrembo.... nilimchora huku nikimeza mate... Kazi ya kumchora ilikamilika. Nikamsogelea huku moyoni nikijisemea ''Unapopenda ukubali majuto'' Nikampiga busu la hisia kwenye paji la uso.
Kisha nikachukua visu vikali, nyembe na mkasi.............
TO BE CONTINUED.....!!!!!


This is a fiction story delivered from the song by Dizasta Vina #CONFESSION OF A MAD MAN AND EDITED TO LOOK LIKE A SHORT STORY BY The Afro Ghost
HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL* NAONA JF IMESHAANZA KUMEREMETA ISHARA KWAMBA TUNAUACHA 2023 NA KUANZA 2024.... MWAKA WETU AU TUSEME MWAKA WA MAFANIKIO KIUCHUMI. THIS YEAR WE ARE GOING TO START NOT A NEW RELATIONSHIP BUT A NEW BUSINESS NA KWA WALE WA 9/5 A NEW JOB.

PLEASE MTAG RAFIKI YAKO MMOJA KAMA ISHARA YA KUMUWISHI #HAPPY NEW YEAR, S/HE WILL FEEL PROUD. MIMI NITAWAG JF MEMBER KADHAA HAPA CHINI JUST TO SHOW APPRECIATION AND BEST WISHES ON 2024....SHEREKEA KWA AMANI NA MUNGU AWABARIKI.
Maxence Melo Moderator GENTAMYCINE GENTAMYCIME Seif Mselem Joannah Nifah mshamba_hachekwi The ice breaker Smart911 Leejay49 munimuni aggy_20 moneytalk Keygun Gershom africatuni The activist Queen matty ghost03 Depal Luimagdalena DeepPond LuisMkinga JOANNA Intelligent businessman economista masai dada daydreamerTZ @everyone All members
TAG YOUR FRIEND TO WISH HIM HAPPY NEW YEAR 2024.
Ukiona hutajwi tajwi jua huna Thamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom