Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.
Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa...
Huyu Kambona huyu? alikuwa mjanja mjanja sana. Nani alikuwa anamtuma.
Baadhi ya Mikasa yake
Odinga anamshauri arudi Tz, anakataa
Anaunda tuvikundi huko Msumbiji kuleta mchafukoge Tz
Anaalikwa Nigeria anamponda Mwalimu
Anamleta ndugu yake Kenya kutoka London wanaanzisha kajarida ka udaku...
Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story
Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa...
Niite Mimi ndyo jina langu(sio jina langu halisi. Nimezaliwa Miaka 30 iliyopita Kanda ya ziwa.Nina elimu ngazi ya Shahada.
Nikiwa nina Miaka 10,siku moja jioni ghafla nikasikia kitu kinatembea machoni kama mtu aliyemwagiwa mchanga.Nikajua ni mchanga umeingia tu,Kumbe!Nikaanza kufikicha na...
The first day we met ilikuwa last week, on Christmas day, tulikutana kama bahati tu bar fulani hapa hapa Dar. We stay at the same table having some drinks and stories. Baada ya kuzoeana kidogo alianza kuniambia vitu ambavyo nilivipuuza na kuhisi alikuwa ameanza kuzidiwa na pombe. Nakumbuka...
Hivi kwanini wa TZ ni mazumbukuku. Kila uwongozi ukija TANESCO wanakuja na same story lakini wa TZ wanasahau walichoambiwa nyuma.
Ni upole ama ni ujinga. Mvua inanyesha sasa hivi natumaini bwawa limejaa. Lakini bado mgao. Mitambo inatengenezwa kila uwongozi lakini haiponi.
TZ bwana !! Mtu...
Za usiku wana JF na poleni na shughuli za kujenga taifa.
Nina ndugu yangu wa kiume upande wa maza mkubwa kidogo ila ni kama tunalingana na mimi pia ni kiume tulikuwa close saana kipindi cha nyuma karibia mwaka sasa hivi ule ukaribu ulikufa wote.
Kwa mara ya kwanza tulipingana kauli hadi...
Masawali haya je una majibu?jibu kisha nitumie majibu(mtihani wa maarifa ya dunia)
1.Kama hela haioti kwenye kwenye miti kwa nini bank zina matawi ?
2.Kwa nini gundi hainati kwenye chupa yake?
3.Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa kwa nini bar kuna parking?
4.Kama neno...
Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate.
Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila siku. Akifika anampa baba yake maziwa yake anyonye.
Baada ya miezi minne walishangaa kumuona mzee...
MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake.
Tafadhari mwenye video full ya mahojiano aiweke hapa watu waone na wapate hisia za maisha yake.
Kisa Kiko hivi...
Huu uzi maalumu kwa wale wanaotaka Wallpapers nzuri na Profile picture kali.
Kwa wanaopenda kuweka Status na Picture stories pia uzi huu ni maalumu kwa ajili yenu.
Lazima usome... mwanamke mmoja aliyeolewa alikuwa akitarajia zawadi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa mumewe.
Kwa miezi mingi alikuwa amevutiwa na pete nzuri ya almasi kwenye chumba cha maonyesho, na akijua mume wake angeweza kumudu, alimwambia kwamba hiyo ndiyo tu alitaka. Siku yake ya kuzaliwa...
Habari wanajf.
Leo nimeona sio mbaya namimi nikishare na nyinyi story yangu fupi nilipokuwa shule.
Hatimaye matokeo yakatoka nimefaulu kwenda sekondari.
Nilkuwa si mtu wa kujichanganya sana hivyo sikuwa famous kabisa pia nilkuwa mtiifu sana nafanya kila kitu kwa mda.
Nikiwa form one bado...
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita “Bestfriend” nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu, lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo.
Baada ya leacture, alikuja kwangu...
Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na...
Ni story fupi sana ila nimeirefusha makusudi. Inaweza kuwa ya ukweli au ya kutunga, we isome.
Mwaka jana mwezi September nikiwa kwenye shuguri zangu za kikazi Arusha, nilikutana na Side (au Said). Mara ya kwanza tulikutana ATM. Ilikua jmosi mchana, nilipata changamoto ya kadi yangu kumezwa...
Yeyote mwenye habari zozote zinazohusu NDE au Near Death Experience anaweza kumwaga hapa.
Haya maisha tunayoishi ni zaidi ya tunayoyajua.
Elimu haina mwisho, tuendelwe kujifunza wajameni.
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.