story

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msingi wa mabadiliko

    Watu wengi wanajua wanachopaswa kufanya hapa duniani ili kubadilisha maisha yao na kugusa maisha ya watu wengine katika jamii,lakini changamoto kubwa wanashindwa kuanza kufanya chochote kwa hofu ambayo kimsingi haina mantiki yowote. Hawa ni wale wenye shauku kubwa moyoni mwao kufanya jambo la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Changa moto za kuelekea kwenye mafanikio

    🛣️ CHANGA MOTO ZA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO ✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile. Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto. 🙏🙏 Naomba ni bainishe baadhi ya changamoto ili uzijue na ukabiliane nazo. 1...
  3. mussaamos

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tutokomeze ulawiti kwa watoto

    Suala kubakwa na kuingiliwa kinyume na maumbile kwa watoto limekuwa likijitokeza Mara kwa Mara hapa nchini. Suala hili linatakiwa kuangaliwa kwa umakini na kutafutiwa mwarobaini wake mapema. Chanzo cha tatizo hili:- (a) Malezi (maadili) mabovu kwa watoto. Nilikuwa nikifanya research kwenye...
  4. Youth Worker Tanzania

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nenda Sia, kila nikikumbuka nasimulia na wengine nawasaidia (Stori ya kweli)

    Sia ni binti ambaye wakati Fulani tuliwahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi,Japokuwa ndio kwanza tulikuwa tumetoka masomoni kwa kuhitimu kidato cha sita.Si jina lake halisi ,Lakini naamini litafanikisha kufikisha ujumbe niliokusudia. Hatukudumu sana hasa baada ya matokeo kutoka na kila mmoja...
  5. Sweveboy_tz

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana na Ubunifu, Ujuzi, na Maarifa kwenye Soko la Ajira, Ujasiriamali na Kazi

    Tumekuwa tukilalama kuhusu changamoto ya ajira na kazi inayo wakabili vijana ambao ni kundi kubwa kuliko yote Tanzania. Imethibitishwa kuwa wastani wa umri wa Kijana kwa sasa Tanzania ni miaka 17.7. Wengi wamekua wakihoji kama tumetanabaisha maana ya hizi takwimu na jinsi gani kama taifa...
  6. Sweveboy_tz

    JamiiForums Tanzania Afya sambamba na uchumi

    Afya sambamba na uchumi Changamoto kubwa sana inayotukabiri sisi wa Tanzania pamoja na mataifa mengine yanayoendelea ,ni kwamba tunashindwa kutambua ni jinsi gani afya za wananchi zinaathiri moja kwa moja Uchumi wa Taifa. Iwapo wananchi watakuwa na afya njema basi hata kasi ya kupanda kwa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Anayejua kisa cha Lissa na Rapcha anipe short story, yaani mpaka sasa sijui nini kinaendelea pamoja na kuwa member wa UWABATA

    Habari wakulungwa? Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe. Please help me to understand what's going on? Asanteni . -------- Jibu:
  8. N

    JamiiForums Tanzania Haka kanyimbo si kakusikiliza ukiwa umepitia break up. Wimbo mtamu huu nyie kha

    Intro: Nviiri the Storyteller (Ohh, mmh) Ohh What a waste Oh, Lord The Storyteller, ayy Verse 1: Nviiri the Storyteller What a waste Baby tumejiseti, we on the highway Tukafunga breki, tukaanza bishana Asking, “Who is Diana? Vipi mnajuana?” I swear tumeji-betray, baby tumejiseti ‘Cause love...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Story ya kuuza mechi ya Simba Cairo na mkasa wa Shafii Dauda. Zimbwe jr, Kapombe vs Kaizer Chiefs

    2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia Marahemu james siang'a mkenya aliyekuwa kocha wa simba anasema kuna mtanzania mwenye asili ya kiasia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hatimaye ametiki

    Hatimaye Ametiki(Based on true story) Ilikua mwaka 2014 katika chuo cha elimu ya biashara(CBE) Tawi la Mbeya nilikuwa mwaka wangu wa pili nikichukua stashahada ya usimamizi wa biashara (diploma in Businesses administration). Nikiwa nimeketi kwa pembeni kipindi hicho ndo kuna wanafunzi wapya...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kilichokuwa Nyuma ya Story yangu ya kusaka Utajiri Kongo DRC

    Naona wengi mnanichukia na kuniita majina yote mabaya.Fisadi, Tajiri Mjeuri, Handsome Boy, Billionea Chizi n.k Ile story nlilazimika kuisitisha baada ya wahusika kunifuata na kutaka niisitishe na walitoa sababu zao. Mbaya zaidi mmoja ana connection kubwa sababu ya biznez zake za Madawa. Nami...
  13. sylla

    JamiiForums Tanzania Hellow mi mgeni nahitaji kukaribishwa

    Kuna baadhi ya vitu nahitaji kufundishwa
  14. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

    2018 Siku moja nilikua bored home, nikajiunga BADOO nikakutana nae. Tukawa friends then Fuc* mates. Maisha yakasonga, nilichompenda yeye alikua hapendi hela na ni mrembo kweliii. Kwenye hela na matumizi yake yaani unajiongeza wewe, unapiga show siku kadhaa unalipia siku kadhaa na outing na...
  15. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuhitaji bandika bandua, tunahitaji kuimarisha Taasisi. Hata Mama yetu akitoka madarakani tutakuwa na stori hizi hizi tu

    Wakati nyimbo za maombolezo zikiendelea kupigwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari na mashada ya maua hata hayajanyauka katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Tz, JPM. Kuna mengi yameanza kuibuliwa ambayo ni mapungufu katika Uongozi wake. Hasara ya Shirika la Ndege, Ubadhilifu mkubwa katika...
  16. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Magufuli the story of Africa

    MAGUFULI THE STORY OF AFRICA. Leo 20:30hrs 18/03/2021 Our Father John Pombe Magufuli,You took us on the top of Mount Kilimanjaro and make us shine beyond our borders,You took us to the Center of the World where the white people could respect us,You brought hope in the street of Wanyonge na...
  17. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Siku nitakapokufa

    SIKU NITAKAPOKUFA ..01 AUTHOR: NEXT LEVEL. Katika kila maisha ya binadamu kuna sehemu tunapitia na kukutana na majaribu ya kila aina mbalimbali, lakini kuna kuzaliwa kuishi na kufa, lakini Mimi siku nitakayokufa ...!siku nitakayokufa!.. Asubuhi na mapema jogoo anawika kuashiria kuwa watu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania "My friends always say I'm too chubby & fat trying to make me feel unwanted", Lady's emotional story

    Friendship is a relationship of mutual affection between people. It is a stronger form of interpersonal bond than an association, and has been studied in various academic fields such as communication, sociology, social psychology, anthropology, and philosophy. It's important that why keeping...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

    Mambo vp jamiiforums. Je, shemeji yako wa kiume anaweza kuwa swahiba? Ninaomba kuanza kwa kutangua kusema maneno haya machungu ambayo yatawauma wanaume wengi sana. Hata mimi nilikuwa hivi hivi. Mwanaume wengi sana huwa hawawapendi shemeji zao wa kiume siku za mwanzoni. Just imagine, kwa akili...
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyans on Twitter (KOT) wameforce CNN kuedit their misleading story

    KOT huwa tunapiga CNN sana wakileta ujinga. This time walikuwa wanadanganya kuwa Mzungu fulani ndiye alikuwa mtu wa kwanza kugundua kwamba hump-back wales (aina fulani ya nyangumi) wapo Kenya. KOT iliwaka moto hadi CNN wakaedit story yao. Ikumbukwe kuwa CNN pia waliwahi kuita Kenya "A hotbed of...
Back
Top Bottom