Utakuwa unajifunza kutumia jiko la gesi.Naam, story zilipoisha nikaja kuipua sufuria.
View attachment 1649531
Naam, story zilipoisha nikaja kuipua sufuria.
View attachment 1649531
yaani jamaa analeta utani na gesi ile ni nyoko uzembe kidogo utajutaUko na bahati wewe kaka, unachezea gas?
✌️
Je, hivyo vitu ikiwemo maziwa umevigharimia wewe mwenyewe? Sio rahisi hayo kutokea katika mtu amevuja jasho kupata maziwa, gas na sufuria.Naam, story zilipoisha nikaja kuipua sufuria.
View attachment 1649531
Vp mie naewasha gesi huku feni inawaka kuna madhara??yaani jamaa analeta utani na gesi ile ni nyoko uzembe kidogo utajuta
Hajui huyo, vile visa vya gas kulipuka nimevishuhudia live na wala asingefanya huo utopolo ka anajipenda!yaani jamaa analeta utani na gesi ile ni nyoko uzembe kidogo utajuta