Habari zenu wakuu
Tunaanza weekend sio mbaya nikija story nyepesi nyepesi mimi ninatokea kanda maalumu kwa asili ila nimezaliwa DSM na niko hapa maisha yangu yote sasa tokea tuko wadogo tulikuwa tunaenda likizo baba alikuwa anatupeleka hiyo tabia ninayo mpaka leo nikiwaga likizo naendaga kwetu...
Kuna kauzi kinamzungumzia bwana chedi ambaye kwa sasa ni marehemu alioa single mother, nilikuwa naomba kujua story ya huyu jamaa ili wengine tupate kujifunza
Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu!
Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni http://www.equatorstory.com/
Je umekuwa ukipata tabu kupost story zako hapa?
Hili ndo suluhisho lako.
Mimi nataka nkupe nafasi ya kuwa mmoja wapo wa kwanza kutumia...
Musa Keita I came into power in 1312. When he was crowned, he was given the name Mansa, meaning king. It is said that Mansa Musa had conquered 24 cities, each with surrounding districts containing villages and estates, during his reign.
Mansa Musa was in charge of a lot of land. To put it into...
Kwenye sanaa kuna mambo mengi ikiwa na uandishi na uchezaji wa maneno, lakini kuna hili limeongezeka wanaita muziki biashara,
Kwenye wimbo mpya wa Stamina amecheza karata turufu, tetesi zilizokuwa zikiendelea mtandaoni kuhusu ndoa yake kazitumia kama fursa ya kibiashara kwenye muziki
Siku...
Tanzania imeweka rekodi ya aina yake baada ya vivutio yake vyote vitatu vilivyoingia katika shindano la kutafuta Maajabu Saba ya Asili Barani Afrika kushinda na kuingia katika orodha ya Maajabu Saba ya Asili Barani Afrika.
Aidha hifadhi ya Taifa ya Serengeti kimetajwa kuwa ni kivutio pekee...
yaani kama umesoma kwenye jukwaa la entertainment story ya mwandishi nguli bwana Bishop hilluka iitwayo tax utagundua ka twist majina fulani kwa mfano kwenye story yake ambayo ime base kwenye maeneo ya ukweli ya jiji la dsm kuna Rais aitwaye Yohana funguo, IGP aitwaye solomon zirro halafu kuna...
Walking down the street, a Member of Parliament is hit by a lorry and dies. His soul arrives in Heaven and is met by St. Peter. He says, "
'Welcome to heaven. Before you settle in, it seems there's a problem. We seldom see anyone in such a high office around here, so we're not sure what to do...
Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake.
Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife...
Hatari kuna watu wanaweza wakatunga habari wakakuaminisha
GuDume
GENTAMYCINE
britanicca
Yericko Nyerere
Hawa vijana hatari nawanyoshea mikono asee
Kuna mwingine kasahaulika?
Hichi ni kisa cha kale kinachopatikana katika hekaya za zamani za waigiriki na miungu yao, iliyokuwa ikiabudiwa kipindi hicho kabla ya KRISTO.
Tofauti kubwa kati ya miungu yao na MUNGU anayeabudiwa na wakristo ni kwamba miungu yao nayo ilikuwa na hulka mbalimbali za kibinadamu tofauti ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.