story

  1. W

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwezo unaoweza tishia ulimwengu ni pamoja na system hacking kuanzia mifumo ya si mpaka computer

    Je! Unajua unaweza kudukua Iphones? Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia? Kuna imani kwamba iphones zina strong security ni ngumu kuichezea, inawezekena! Swala la kudukua...
  2. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania COVID-19 is not an epidemiological story, Covid is a crime story

    Covid-19 was not an epidemiological event, it was a money laundering scheme. “Manufactured pandemics are now mammoth investment opportunities that increase the wealth of billionaires and further consolidate their power.” Part 1 “Put simply, Covid-19 was not an epidemiological event, it was a...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wakili Pasco-A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part III-Final

    Wanabodi, Mwendelezo Kwa wasomaji wapya this is a true story of my life, nilitamani kuwa wakili kwa sababu ya Wakili Murtaza Lakha toka mwaka 1976, hatimaye sasa nimekuwa wakili, jee nitakuwa kama Lakha?. Wiki iliyopita, tuliishia Baba Mzee Andrew Mayalla ni miongoni mwa washtakiwa wa Kesi ya...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wakili Pasco Mayalla -A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part II

    Wanabodi, Nipashe ya leo, Story Inaendelea... Kwa Wasomaji wapya, hii ni stori ya safari yangu ya ndoto ya kuwa wakili, iliyonichukua iliyoanzia Mwanza mwaka 1976 takriban miaka 45 iliyopita, hatimaye nimekuwa wakili mwaka huu, hivyo kujiuliza jee sasa, bado naweza kuwa kama Wakili Murtaza...
  5. SIMULIZI RIWAYA

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi na love story kali ndani yake; The Modern War (Vita ya Kisasa)

    𝗧𝗛𝗘 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗥𝗡 𝗪𝗔𝗥 (𝗩𝗶𝘁𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝘀𝗮𝘀𝗮) 𝗠𝘁𝘂𝗻𝘇𝗶:𝘀𝗮𝘂𝗹 𝗱𝗮𝘃𝗶𝗱 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽: 0756862047 𝗨𝗧𝗔𝗡𝗚𝗨𝗟𝗜𝗭𝗜... "Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu kabisa ya uwezo wangu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

    Nyie Nyie Nyie, Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako. Kuna watu wanapendwa jamani. Wanaume igeni mfano kutoka kwake.
  7. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Story yangu ya kweli

    Woudaaa Junior Chalii, maisha niliochezea yalikua ni balaa. Hapa town yalikua ni balaa Nilijifanya mkora kipindi nipo skuli. Wazazi na waalim nkawaletea kiburi. Arusha Sec ndo shule nilioskul. Ndani ya skuli nilikua tofauti chalii kachaa mapigo ya kinyambuleti. Proper uniform juu nimekula...
  8. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowasemea wanawake huko tik-tok muwe mna-balance story

    Kumekuwa na wimbi la video za tik tok ambazo asilimia kubwa wasimuliaji wake ni wanaume, video hizi ukizisikiliza muaudhui yake zimekuwa zikiwananga mno wanaume km watu ambao hawana huruma na kazi yao ni kucheza na hisia za wanawake na kuwaumiza. Na wanaume wenzetu hawa wameenda mbali hadi...
  9. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania A true story of how Canada is treating it's unvaxxed. But could this be the new normal for the unvaxxed worldwide?

    Six million Canadians detained in largest prison in the World.These are voices which need to be heard. Luma Catherine Malone I am one of over 6 million Canadians who are currently forbidden to board an airplane, train, boat or long-haul bus to travel across Canada or leave Canada. The Federal...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Story za Masau Bwire kuhusu uchawi wa taifa stars

    By Masau Bwire More by this Author USHIRIKINA na uchawi katika soka la Tanzania kama siyo Afrika unafanyika karibu timu zote - iwe klabu au timu za Taifa ni kawaida wote wanaamini bila kujishughulisha no ni vigumu kumshinda mpinzani. Imefikia hatua katika klabu za soka uwezo wa wachezaji...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume ndiyo viumbe pekee wanaoweza kukaa pamoja na kupiga ‘story’ kwa saa 6 bila kujuana majina yao

    Wadau wote hamjamboni? Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story" Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako Niwatakie Sabato njema
  12. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Ture story! A very beautiful kid Wawa alinusurika kuuawa na ndugu zake akiwa na miaka 6 tu; sasa hivi ana kiama 22

    Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES
  13. THE SPIRIT THINKER

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Time Travel

    Huu utakuwa ufafanuzi rahisi was kitu ama Muda. Je inawezekana kwenda miaka ya mbele ama kurudi nyuma kwa akina Yesu na Yuda Eskaroti? Sasa hapa utapata ufafanuzi wa time travel. Ipo ama haipo utapata majibu. Hebu anza na hii Mtunzi: Jonas Rututuka Mwandishi: Nelson Ntimba. Time travel...
  14. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

    Nilimwona nikadhani malaika wazam Yuko duniani Nikamtamani kwa uzuri uliopitiliza Nikatongoza - ikagoma Nikatongoza - nikapewa shit Nikatongoza - nikapewa namba Uhusiano - miez 1 na nusu Omba mzigo - kachomoa Omba mzigo - ntakuja kukutembelea. Nikateleza😋 Akakagua simu - akapata presha Nikaomba...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika aina hii ya utapeli?

    Huu utapeli hakufanyika kwa Tamaa kama ilivyozoeleka na ndipo napopata mashaka. Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana, nilimtumia pesa laki 6 anunue laptop kwajili ya chuoni. sasa nikawa nafatilia hio laptop naona ananipiga sana chenga, nikafikisha hii kero kwa mama yake ambae ni mamdogo...
  16. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    Habari, Nini kilikusaidia kufaulu usaili wa ana kwa ana (oral) au ulikosea wapi? Naomba tushare expirience wakuu.
  17. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Story ya kijana mmoja mwenye ndoto kubwa

    Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro. Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro. Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Story kutoka kwa watu, Maisha yana changamoto kweli

    Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi pia...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Story kutoka kwa WATU: Maisha yanachangamoto kweli

    "Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Bongo Fleva zenye stori za kweli

    1. Sitaki Demu - Juma Nature Nature alitoa kibao hiki mara baada ya kugombana na mpenzi wake Sinta 2. Inaniuma Sana - Juma Nature Chanzo cha wimbo huu ni kama ilivyokuwa hapo juu, Nature aliachana na Sinta msichana aliyempenda sana kabla ya kuzinguana. 3. Msela - Bushoke Huu wimbo Bushoke...
Back
Top Bottom