Poleni Mara hii namimi najitumbukiza sijui nitaandika nini! Naenda kukiumanisha huko..🤣Hello JF,
Inauma kuwa close to the finishing line halafu usipate 😊😥
Hongereni washindi, sisi wengine tusubiri shindano lijalo, very sad.
Lile jukwaa ni zuri ila Mara hii watu wamepania kitaumana kule..🤣Jaribu bahati yako mkuu
Umejifunza nini toka awamu hii ya kwanza ilipoisha..?Kitaumana hasa, million 5 sio ndogo eti 😊
😂😂 Majaji wana 60% sisi watu baki tuna 40%..Nimejifunza wajumbe oops majaji wa JF sio watu wazur 😁🏃♀️
najua Mbagga yuko so disappointed hadi mda huu aisee, wajumbe wamemfanya hakunaNimejifunza wajumbe oops majaji wa JF sio watu wazur 😁🏃♀️
Inasikitisha sana, katumia muda mwingi in the end efforts zake hazikua recognized, very sad.
It's not fair kwa shindano ambalo watu wengi wameandika na kupata zero vote mtu anapata vote 1000 usimpe hata nafasi ya tano? Mnhhhh😂😂 Majaji wana 60% sisi watu baki tuna 40%..
Halafu wanapiga vya kimyakimya kinaumana siku yao ya mwisho tu!.
Nilimtongoza hajanijibu mpk Sahivi nasubiri jibu langu..🤣🤣Mkuu Abrianna
Yeah halafu hili itabidi waje walitolee ufafanuzi jamaa alikosea wapi..? Maxence MeloIt's not fair kwa shindano ambalo watu wengi wameandika na kupata zero vote mtu anapata vote 1000 usimpe hata nafasi ya tano? Mnhhhh
Bado wako off mood watakuja tuMbona siwaoni mlioangukia pua au ni mimi peke yangu? Lol