TBC na aliye watuma kuleta story ya siku nyingi ya mstaafu kutapeliwa sio hekima

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Jana TBC wameleta story ya Mwalimu mstaafu kutapeliwa, hii story ya mafao ya huyu mama Kulipwa sio ya leo, kwanini msilete sotry ya hivi karibuni, yote haya mnayaleta kuhadaa watu kwamba wastaafu wanalipwa mafao yao na wanatapeliwa hili ameshalizungumzia Msemaji wa serikali mwezi jana tukamkosoa na kumwambia haimhusu.

Hii isiwatoe wanaotaka kustaafu kwenye reli kwamba wastaafu wamelipwa mafao yao kwa wakati hakuna kitu kama hiki ( Waziri wa Nchi, Waziri wa Mambo ya ndani na IGP Simon sirro mnanisikia).

Hadi tarehe ya leo ni wengi sana hawajalipwa tumeenda Benki kukagua muamala HOLA, Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha achia pesa watu walipwe Mafao yao maana hata hao wanaodai Mafao hawajaanza kulipwa Pensheni, pesa hizo sio za kwako ni za Serikali na wanachi wake walio ajiriwa wewe sio muajiriwa na huna mzazi wala mtoto aliye ajiriwa ndio maana huna uchungu.
 
Back
Top Bottom