story

  1. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Princess kifo na maisha ya ajabu na dada wa beach

    Habariiii members hii ni story moto sana naishusha wala msijali. Hii story nitakuwa kila siku naleta vipande viwili kutokana na muda inaweza kuwa kimoja mchana na kingine usiku. Stay tuned, kesho mapema moto unawaka. Achia comment ili ninapoweka sehemu ya kwanza nikumention 🤪. TAYARI STORY...
  2. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania A story of two successful brothers

    A STORY OF TWO SUCCESSFUL BROTHERS Prepared and written by 𝗣𝗮𝘀𝘁𝗼𝗿𝘆 𝗙𝗲𝗿𝗱𝗶𝗻𝗮𝗻𝗱 𝗞𝗶𝗺𝗮𝗿𝘆𝗼 Contacts: +255767918675 +255785265694 Whatsapp: +255785265694 pastorykim94@gmail.com Two millennial folks were working together in a state-owned Telecom corporation in southern Tanzania, though their...
  3. Cvez

    JamiiForums Tanzania Kufuatilia Story za JF ni zaidi ya darasa la Uvumilivu

    Long story short wanaanza vizuri tu episodes 5 za mwanzo mpaka mwenyewe utapenda. Akishapata kijiji sasa ndio dharula zinaanza, mara mbuzi wangu wameingia kwenye shamba la watu, mara mtoto anaharisha, au baiskeli yangu imeibiwa spokes kila mtu atakuja na dharula yake. Hii tabia ni kama kirusi...
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania Made in Tanzania, simulizi ya kweli

    Nakumbuka nilikuwa mkoa wa Manyara basout nilipokuwa naishi ni kama km 7 ufike Madukani. Sasa baiskel yangu ili kufa msumari tairi la nyuma uzuri Mimi mwenyewe ni fundi basi nikaenda dukani kwa mguu kwa kutembea na mguu maana nilikosa hata baiskeli ya kuazima sababu Mimi sio mwenyeji sana huko...
  5. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia story gani ya Iddi Amini Dada, ikakupa hasira?

    Namuitaga Sheikh Iddi Amini Dada mwamba aliyewatumikisha mpaka wazungu,tulisikia story nyingi mbaya kuhusu yeye za kutunga ili tumchukie. Je, uliwahi kusikia story gani ya Iddy Amini Dada ikakupa hasira?
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba usaidizi kwa mtu ambaye ana article ya investigative story anisaidie

    Naomba msaada kwa mtu ambaye ana article yoyote inahusu investigative story anasadie Nataka kutanabahisha jambo ambalo limekuwa gumu kwangu kulitatua Pia nataka kuongeza ujuzi kwenye kuandika investigative story na kufahamu kwa kina zaidi juu ya structure na format ambayo huwa inatumika...
  7. Lumbi9

    JamiiForums Tanzania Short Love Story

  8. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mbutananga: a sad story to tell kimahusiano

    Waungwana salamu kwanza kama ilivyo desturi yetu. Hii week kwangu ilikuwa hectic kidogo lakini pia nilipata nafasi ya kusafiri hadi kanda ya ziwa ndani ndani huko na kukutana na watu wapya hivyo kupata uzoefu mpya, wabheja sana wanawane. Haya nirudi kwenye mada sasa. Mwanamama anamiliki vitu...
  9. BAK

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    - Seven Pounds Official Movie Trailer HD
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Short story ya Chakula cha Usiku

  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Siku Freeman Mbowe alipotumia ofisi za CCM kuwakwepa polisi

    Nitakuwa naleta mfululizo wa story za madhila ambazo viongozi wa upinzani walikuwa wanapitia enzi za Awamu ya 5. Story hizi zinasimuliwa na aliyekuwa Meya wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob. Je, wajua katika maandamano ya CHADEMA kutoka Mwananyamala kwenda kwa Mkurugenzi wa...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Short Romantic Story: "I Will Always Love You"

    Story #1: Once upon a time, there was a young couple named John and Sarah who fell deeply in love with each other. They met in college and soon became inseparable. They shared everything together, from their favorite foods to their most profound hopes and dreams. One day, John surprised Sarah...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nilianza kwa majaribio nikaishia kuwa teja, Story ya ukweli jinsi nilivyokuwa mtumwa wa kujichua kwa miaka 10

    Ilikuwa ni kipindi nipo darasa la sita nikiwa na miaka 12 kwenye kipindi cha sayansi mwalimu alikuja kufundisha topic ya mitindo ya maisha kama sikosei ilikuwa ni reproduction. Ni topic ambayo wengi iliwafanya wawe wasikivu kama mjuavyo hata watoro walikuwa hawaikosi, sasa katika maswali ya...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tulitishwa sana Story ya Mapank ya Samaki na Utawala wa Mkapa. Sasa Tujadili kwa Uhuru

    Nilienda nchi Fulani ulaya miaka kadhaa ilopita nilipata marafiki wawili wanaosoma ujasusi katika nchi ya ulaya. Mmoja alikuwa mjapani mixer na italiono, mwingine Mjerumani mixer na mfaransa. Hawa watu wanaijua Tanganyika, Zanzibar, na Tanzania na matukio yake yote. Walinipa VCD na DVD matukio...
  15. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania TAJA SHULE ULIYESOMA YA MSINGI,ikiwemo mwaka uliyoanza na kumaliza,ili upate mtu uliyesoma nae hapa jamii mpige story....

    Kama kichwa kinavyojieleza.. Naanza nimesoma shule ya msingi sanawari primary school,shule ipo arusha. Mwaka (1998-2004)..nawakumbuka walimu waliokuwa wanachapa hatari sana,kuna mwalimu mdee,mwalimu mollel,hawa sitawasahau kwa kichapo heavy. Nawakaribisha tukumbushane ya zamani...
  16. Elton Tonny

    JamiiForums Tanzania Simulizi: For You

    Story na Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa Rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★★ "Kulikuwa na demu mmoja aliyekuwa anasumbua kitaa fulani hivi, yaani kwa uzuri, shepu na...
  17. mraniwene

    JamiiForums Tanzania SoC02 Samaki Mkunjeni, Ila Mwanangu Msimguse!

    (Mwanzo) Hadithi Fupi “Mamu, Mamu, we Mariamu si nakuita ina maana hunisikii?”, ilisikika sauti ya Mama Ibra kama ilivyo kila siku mida ya saa kumi na moja na nusu akiwa anamuamsha mwanaye. “Amka haraka jamani tutakosa wateja, na wateja ndio pesa. Au unafikiri hivi vitumbua vitajipeleka vyenyewe...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi na Mazingira

    Mwandishi: RAYMOND NOEL Namba za simu: 0758659963 Asubuhi moja yenye baridi ilinikuta kwenye bonde dogo karibu na mtaa wetu, nilifika katika bonde hilo kwa lengo la kuchota maji katika chemchem maarufu inayopatikana hapo ambayo hutiririsha maji katika bonde kwa mwaka mzima, chemchem hiyo huwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na teknolojia

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA UTANGULIZI Sjui ni Mimi tu au Kuna wenzangu ambao pia hukerwa na baadhi ya tabia mtandaoni kutokana na matumizi mabaya ya mtandao. kupitia maarfa ya Sayansi na Teknolojia tumeona Faida nyingi ambazo zimesaidia mtu mmoja mmoja au kundi la watu kuweza kunufaika na maarfa...
  20. Green Thoughts

    JamiiForums Tanzania No matter how good you are, you will still be evil in someone’s story

    Throughout the journey, as we pass by, we come across hundreds and thousands of people. The way you live with one individual can either be the same or totally different from the way you live with another person, depending on the perception between each other. One can live a very peaceful life...
Back
Top Bottom