Nimeona watu wanatema mapovu mtandaoni kuwa ni vibaya kuwasema watu waliokufa, hata kama walifanya mabaya kiasi gani
Kama watu waliokufa hawasemwi, basi tusingekuwa na somo la historia
Historia ambalo ni somo muhimu zaidi kwenye siasa, msingi wake ni kuyasema mambo yaliyofanywa na wafu, mabaya...