Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 767
- 1,292
Historia inatuambia, imekua ni changamoto kubwa sana kupima ubora wa golikipa, kuliko nafasi yeyote uwanjani kutokana na sababu kadha wa kadha(ambazo nitazieleza japo kidogo hapo mbeleni).
Lakini wengi wetu hatukuona tabu, kwanini tuendelee kuumiza akili zetu? Basi tukachagua njia nyepesi kabisa kufikia kwenye hitimisho ya ubora wa golikipa, ambazo ni;
a. Ameruhusu magoli machache = Goli kipa bora✅
b. Ameruhusu magoli mengi = Golikipa mbovu
Ni rahisi, right?. Ila wataalamu wanakuambia kutumia njia rahisi namna hiyo ni kujidanganya. Inatufanya tushindwe kutofautisha mapungufu ya kiulinzi ya timu husika na mapungufu ya golikipa ya moja kwa moja. Kamwe njia hii haiwezi kukupa ubora au mapungufu ya golikipa.
Wanaendelea na kusema, katika match, nafasi ya golikipa sio leading role, inategemea sana na defence ya timu husika. Pia ni nafasi ambayo mchezaji anahusika kwenye movement na matukio machache zaidi katika mechi.
Katika discussion zao, wakauliza swali ambalo nakupa na wewe pia:
Mlinda mlango akifanya huge save 10 katika shot 15 na kuruhusu goli mbili per game, utamuita golikipa mbovu, kwa kigezo cha kuruhusu hayo magoli katika mchezo?
Wakamaliza na kusema, mara nyingi wingi au uchache wa magoli ya kufungwa unategemea sana na ubora au madhaifu ya timu husika katika ulinzi kiujumla, japo haifuti kuwa kuna wakati madhaifu ya golikipa huchangia.
Sasa tunapima vipi ubora wa mlinda mlango? Wataalamu wengi katika soka walishauri mengi, lakini hivi ni baadhi ya vitu wote walivyokubaliana navyo;
1. Save ratio (Uwezo wa kuokoa hatari)
2. Foot work( both in controlling and distributing ball).
3. Strong mentality(Sio golikipa ana mawenge mawenge).
Hizo ni main, lakini nyingine ni kama height, position awareness, speed, attitude e.t.c.
Twende kwa Jefferson(Mbrazil). Pamoja na kuwa ameruhu magoli mengi ila;
1. Shot saved = 63%
2. Accurate passes (distribution) = 88%
Hizo asilimia upande wa saves zinaweza onekana chache sana, lakini tutumie mfano wa David de gea(Golikipa bora pale Epl), upande wa saves alikua na 70.14%.
Je wewe unatumia vigezo gani kupima ubora wa golikipa?
N.B, Hivi ni vigezo kwa ajili ya scouting na sio vigezo kwa ajili ya utoaji wa tuzo za golikipa bora.