Kwa zaidi ya miaka 20 haijawai kutokea soko la hisa la Dar (DSE) kushindwa kufanya biashara ya hisa kama ilivyotokea tarehe 5, hakuna kuuza wala kunun

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
IMG_20200606_200514.jpg
 
It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
Hakuna rational investor atakayethubutu kuwekeza hata senti ya akiba yake nchi hii. Tunakoelekea soon utasikia yale yale ya mwaka 1967. Utaifishaji wa mali za watu waliofanya kazi kwa bidii wakapata ziada ya kuwekeza kwenye secta mbali mbali kwa kigezo kwamba ziada hiyo wameipata kwa kuwanyonya wanyonge ambao kimsingi ni wazembe, wazururaji, mashabiki wa mpira na vyama vya siasa ambao kutwa wanashinda vijiweni badala ya kufanya kazi wakisubiri waajiriwe. Chezea bongo land wewe !!
 
Mzee Meko ni CHIZI hakuna investor yoyote atakayekubali kufanya biashara kwenye utawala wa huyu Chizi.

Yaani Makonda au Ole Sabaya anaweza kuja kuchukua hela kwa investor muda wowote anavyotaka.

MO Dewji ni shahidi wa haya yote. Pia wale wenye Bureau De Change wanakumbuka sana walivyo nyang'anywa hela zao mchana kweupe.
 
Mtaa gani kenge wewe
Mtaa wa lumumba!! Unadhania kwa kazi wanayoifanya nyumbu fc kwenye mitandao ya kijamii ya kuwaaminisha watu hii ni nyeupe wakati ni nyeusi, ni wa kupewa buku saba kweli?? Na mtu akaridhika licha ya mitusi wanayopolomoshewa?!! Kama hali ingekuwa nzuri mtaani, angalau wangekomalia japo dola 50, kwa siku!!
 
Ndio maana unalalamika hali ngumu?,pathetic
 
Mlizoea vya kunyonga ,pathetic

Vyakunga wapi kaka,watu tunafanya biashara halali kabisa lakini mambo hayaendi kabisa.

Hali ya kibiashara ni mbaya sana Mungu atunusuru tu ila huu utawala siyo kabisa,huyu jamaa hakutakiwa aendelee muhula ulikuwa unatosha sana kwake. Huu utaratibu wa CCM miaka 10 siyo kabisa.
 
Hakuna rational investor atakayethubutu kuwekeza hata senti ya akiba yake nchi hii. Tunakoelekea soon utasikia yale yale ya mwaka 1967. Utaifishaji wa mali za watu waliofanya kazi kwa bidii wakapata ziada ya kuwekeza kwenye secta mbali mbali kwa kigezo kwamba ziada hiyo wameipata kwa kuwanyonya wanyonge ambao kimsingi ni wazembe, wazururaji, mashabiki wa mpira na vyama vya siasa ambao kutwa wanashinda vijiweni badala ya kufanya kazi wakisubiri waajiriwe. Chezea bongo land wewe !!
Kuna kampuni fulan wanakwambia stock yao ikiisha tu. Wanasepa. Wameajir vjana kibao yan
 
Hakuna rational investor atakayethubutu kuwekeza hata senti ya akiba yake nchi hii. Tunakoelekea soon utasikia yale yale ya mwaka 1967. Utaifishaji wa mali za watu waliofanya kazi kwa bidii wakapata ziada ya kuwekeza kwenye secta mbali mbali kwa kigezo kwamba ziada hiyo wameipata kwa kuwanyonya wanyonge ambao kimsingi ni wazembe, wazururaji, mashabiki wa mpira na vyama vya siasa ambao kutwa wanashinda vijiweni badala ya kufanya kazi wakisubiri waajiriwe. Chezea bongo land wewe !!
Hapo ndipo utajua kama Lisu alisema ukweli kuhusu ile mikataba ya kimataifa.
Patakuwa hapatoshi,Kitandula jumla.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom