siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Siri za Kariakoo: Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya jumla bila kupoteza muda

    Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale. Kariakoo ndiyo moyo wa biashara Tanzania — bidhaa zikishafika Kariakoo, unaweza kupata kila kitu kutoka bei ya jumla, hadi bidhaa...
  2. Shakira M. Selemani

    JamiiForums Tanzania Siri ya kweli ya ulimwengu wa Freemasons

    SIRI YA KWELI YA ULIMWENGU WA FREEMASONS: 👉🏿Freemasonry limekuwa ni habari na shirika kubwa ambapo wengi wanahangaika kuhusu Freemasonry. Freemasonry wenyewe hasa speculative Freemasonry (Freemasonry ya kisasa ya hivi karibuni) wanaeleza kuwa chimbuko lake ni kutoka katika zama za kati kutoka...
  3. excel

    JamiiForums Tanzania Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, mfumbua mambo ndiye yeye mwenye kuisoma karatasi nyeupe ya siri 2025?

    Tulipata fununu huko JamiiForums na kuambiwa kama mambo yakiharibika kabisa basi pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili na ndani ya kikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo kachero wa siri ambaye amewahi kuwa katika vyumba vya siri...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania SIRI YAKOO USIMWAMBIE MTU::;;,,

    kama ulikuwa hujui moja ya kipengele cha simba kumchukua souwah wakikutanaaaa na Yanga haruhusiwi hata kukaa bench siriyakoooo..... d ur hmwk
  6. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Polepole na Nape ni wajasiri, wamegoma kufa na siri moyoni, ndio maana wanasema ukweli

    Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini. Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono hamkumwelewa. Akarudi tena kuwa kuna kura halali na haramu ila haramu ndo zinaleta ushindi, ukiupata...
  7. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania "Shukrani ni zaidi ya asante" siri ya mioyo yenye neema na mioyo isiyojua wema

    Kuna zawadi moja ya thamani isiyolipiwa kwa pesa ni neno...... "SHUKRANI" Ni neno dogo lakini lenye uzito mkubwa. Moyo wa shukrani huonyesha tabia ya mtu hata kabla hajazungumza. Nimeandika hii thread baada ya jana kupigiwa simu na mama mmoja akasema mwanangu DR AM 4 REAL Nakushukuru sana...
  8. The only

    JamiiForums Tanzania Kuwalisha njiwa nini siri yake

    Niliona upanga dar magari ya wahindi na waarabu wanaenda pale kwenye njiwa wanarusha mtama wengi sana nikajisemea labda ni mapenzi tu. Wiki ilopita nikaenda zanzibar pale darajan nilikuta watu si chini ya 30+ nilohesabu wakitupa mtama .uwele na mchele wa kabila na rangi zote mbaya zaidi akaja...
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Watumishi acheni kuvujisha siri za Serikali, ni sawa na kujipiga risasi ya kwenye moyo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uislam na mashahidi wa siri

    1. Mashahidi wa kujificha ni nini? Hii inamaanisha watu wanaotoa ushahidi kwa siri bila kujulikana wazi au bila kuwepo hadharani mbele ya kadhi (hakimu) au pande zinazohusika. 2. Msimamo wa Uislamu kuhusu ushahidi Katika Uislamu, ushahidi (shahada) ni jambo lenye masharti na adabu madhubuti...
  12. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa mwili wa Putin ‘hukusanya kinyesi chake anaposafiri nje ya nchi na kukirudisha Urusi pamoja naye’

    realratedred Vladimir Putin anakutana na Donald Trump huko Alaska leo kwa mazungumzo ya amani yenye umuhimu mkubwa kuhusu vita vya Ukraine, na inaripotiwa kwamba ameambatana na moja ya hatua zake za kiusalama za ajabu kabisa. Kulingana na waandishi wa habari wa uchunguzi kutoka Ufaransa, Regis...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Duniani hakuna Siri Exodus 2:14; akamwambia Mussa “ Unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri?” Wanasiasa someni hiyo

    Wakati Mussa anapigana na yule Mmisri walikuwa Wawili tu hadi alipomuua na kumfukia ardhini Kumbe kuna mtu wa tatu alimuona na akahifadhi ule ushuhuda Moyoni akisubiri wakati sahihi ndio auachilie Haya mambo ya Siasa yalianza Enzi za Agano La Kale Ahsanteni sana 🙏
  14. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

    Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja. Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?" Sasa najiuliza, mke wangu...
  15. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Taarifa nyingi za kinabii hususani za kisiasa zinaonesha upo uwezekano wa siri kuvuja mahali na wao kutumika kama njia salama ya uvujishaji

    Kutokana na uzoefu mdogo nilionao wa kufuatilia hoja na kuunganisha nukta zake huku nikijaribu kurudi nyuma ya misukumo iliyopo nyuma ya hoja nimeweza kubaini kuwa nabii nyingi zinazotolewa hususani za kisiasa hasa hasa kipindi hiki cha karibu na uchaguzi zinatusukuma kushuku kama kuna mahali...
  16. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  17. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Jiku Tech Tips | Mambo ya SIRI ya TEHAMA

    Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa nature (universe ) ni kama usiku na mchana. Siku hizi kuna AI Inakupa hata mambo ya sirini, inakutolea...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini chadema imefanya siri majina ya watu waliochanga fedha za tonetone

    Ni vyema vyama vya siasa vikawa na uwazi kuhusu michango wanayopokea. Najiuliza chadema wana hofu gani mpaka wanakusanya fedha kwa siri kubwa sana?
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali apuuzwe kwa kumsingizia Yericko kuwa shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu

    Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea...
  20. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

    Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda. Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi. Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia...
Back
Top Bottom