Hakikisha unabakisha pesa,Hii siri mtanishukuru.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,750
Reaction score
37,401
Kuna mambo mengine unaweza kulalamika ngekewa ya pesa inakupita kumbe umesahau hii mbinu.

Pesa ni kama mvuto na sumaku ya kuvuta bahati na pesa nyengine.

Unapoweka pesa mfukoni hakikisha usiitumie hata kama aina matumizi we bakisha hiyo pesa ndio nguvu ya kulinda na kuvutia.

Wahindi wengi wanafanya hii siri ndio maana wanafanikiwa.
 
Kwanzia shingapi mkuu!
 
Noted mkuu ,ngoja nibakize masilesile mezani.
 
Upo sahihi. Pesa huongezeka kwa makumi. Hii siri nilipewa na Babu yangu.

Mfano ili uwe milionea, hakikisha akaunti zako hazikosi mamilioni ambayo hayana matumizi. Ikiwa una akaunti CRDB, NMB na NBC. Basi ili sikumoja uwe milionea unatakiwa kuwa na akiba za mamilioni yasiyo na matumizi kwenye hizo akauti 3.

Unaweza kuanza kuwa na minimum ya 1M kwenye kila akaunti yako. Kisha njoo kwenye kila line unayomiliki kuwe na 1M isiyo na matumizi. Kama una M-Pesa, Yas. Kila moja iwe na 1M.

Baada ya hapo inafuata liquid cash. Uwe na 1M cash ndani kwako ambayo haina matumizi.

Hapo automatically unaanza kuwa milionea. Hizo zinavuta 10× na unakuwa na fikra za kupata zaidi. Utashangaa kila sehemu una 10M kama akiba Kisha ukizoea 10M kila sehemu unahamia kwenye 100M Kisha 1B. Na mawazo yako yanakuwa yanaendana na hicho kiasi.

Ila kama akaunti zako benki, simu, cash zinasoma 0, 100k,au chini ya 1M kamwe huwezi kuvuta pesa zaidi.

Hiyo ndio siri.
 
Imani potofu za UTT hizi
 
Back
Top Bottom