Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

Unapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe umekaa kitandani!....baada ya kuisoma nenda!,
#Goodluck.
#Sunday gift
Sawa

USSR
 
Daudi wakati anaandika tungo hii wala kulikua hakuna interview, kwaio kama ulifanikiw sio kwa sababu ya tungo za bwana Daudi, mana hata ww ungewez kuund ngonjera zako kama Daudi, simple ulifanikiw kwa juhudi na maarifa na sio kwa sababu ya tungo za Daudi especially alikua akiwambia wana wa Israel sio ww mtanzania wa manyoni
 
Mambo Muhimu Katika Zaburi Hii

Mungu Anayejibu Sala:
Mungu anasifiwa kama msikiaji wa maombi na msamehevu wa dhambi.

Utunzaji wa Mazingira: Inaonyesha nguvu za Mungu katika kuweka milima imara na kutuliza dhoruba za bahari

.Baraka za Mavuno:
Inashukuru kwa ajili ya mvua na ustawi wa mashamba.
 
Interview zilikuwepo soma habari ya Yakobo na Laban
 
Mambo Muhimu Katika Zaburi Hii

Mungu Anayejibu Sala:
Mungu anasifiwa kama msikiaji wa maombi na msamehevu wa dhambi.

Utunzaji wa Mazingira: Inaonyesha nguvu za Mungu katika kuweka milima imara na kutuliza dhoruba za bahari

.Baraka za Mavuno:
Inashukuru kwa ajili ya mvua na ustawi wa mashamba.
Je Daudi alikua akimwimbia mashairi haya mungu wa kristo au mungu wa Islam?
 
Unapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe umekaa kitandani!....baada ya kuisoma nenda!,
#Goodluck.
#Sunday gift
Zaburi 65
1 Ee Mungu, sifa zakulaiki katika Sayuni, Na kwako Wewe itaondolewa nadhiri.

2 Wewe usikiaye kuomba, Wote wenye mwili watakujia.

3 Ingawa maovu mengi yanamshinda, Wewe utayafunika maasi yetu.

4 Heri mtu yule umchaguaye, Na kumkaribisha akae nyuani mwako. Na tushibe wema wa nyumba yako, Patakatifu pa hekalu lako.

5 Kwa mambo ya kutisha utatujibu, Katika haki, Ee Mungu wa wokovu wetu. Wewe uliye tumaini la miisho yote ya dunia, Na la bahari iliyo mbali sana,

6 Milima waiweka imara kwa nguvu zako, Huku ukijifunga uweza kama mshipi.

7 Wautuliza uvumi wa bahari, Uvumi wa mawimbi yake, Na ghasia ya mataifa;

8 Kwa hiyo wakaao mbali kabisa huogopa ishara zako; Milango ya asubuhi na jioni waifurahisha.

9 Umeijilia nchi na kuisitawisha, Umeitajirisha sana; Mto wa Mungu umejaa maji; Wawaruzuku watu nafaka Maana ndiwe uitengenezaye ardhi.

10 Matuta yake wayajaza maji; Wapasawazisha palipoinuka, Wailainisha nchi kwa manyunyu; Waibariki mimea yake.

11 Umeuvika mwaka taji ya wema wako; Mapito yako yadondoza unono.

12 Huyadondokea malisho ya nyikani, Na vilima vyajifunga furaha.

13 Na malisho yamevikwa kondoo, Na mabonde yamepambwa nafaka, Yanashangilia, naam, yanaimba
 
^^ uisikilize sala yangu, niombapo
niombapo, ooh....

^^ eeh mfalme wangu, mfalme naaam...... mwamba wangu!!

^^ katika amani nitajiliza aah,, usingizii iiih
Ndiwe unijaliae, kupaa salama

Eeh Mungu wa haki yangu,

Uniitikie, uniitikie nikuitapo,

Umenifanyizia nafasi, wakati wa shida,

Unifadhili na kuiskiliza sana sala yangu!

cc secretarybird Poor Brain mbamizwa katumeni cc BICHWA KOMWE -
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom