siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Siri ya utitiri wa wanaCCM kujazana kugombea majimboni yatajwa

    Nimedokezwa na Mnec kutoka Zanzibar, kumbe Siri ya watu wengi CCM kurundikana kugombea majimboni ni wanataka au wametarget kupozwa na teuzi like Rc, Dc, DED, DAS na wadhifa wa mashirika mbalimbali ya umma. Ni kana kwamba wameshamjua huyu Rais kuchukua makada wa CCM kuwapa teuzi so wengi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha siri cha WanaCCM "asilia" Jana usiku cha pale Dodoma huenda kikasaidia kupambana na wagombea "wa kupandikizwa"

    Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa". Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili. Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala...
  4. JamiiForums Tanzania Siri kwa mabaharia wote wanaojitambua, mwanaume mwenye 35+ ana nafasi kubwa sana ya kukubalika

    Mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35+ akawa smart, akawa na afya njema, akawa sio mtu wa makundi, huku uchumi wake ukiwa wa wastani n.k ana nafasi kubwa sana ya kukubalika kwa mwanamke yeyote yule; na kwa asilimia kubwa wanaume (mabaharia) hawa wenye hizi sifa wanasumbuliwa sana. Unaweza...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiswahili: Siri ya Tanzania kushinda Corona

    Nimekaa na kutafakari kwa kina tunu ya lugha yetu hii ya Kiswahili. Kiswahili kilitumika katika kuleta uhuru wa Tanganyika na Zanzibar. Kiswahili kilitumika kuunganisha makabila zaidi ya 120 yaliyopo Tanzania. Kiswahili kilitumika kumng'oa Nduli Idd Amini Dadaa, alipojaribu kuivamia Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Kuchelewa kurudi kwa Tundu Lisu kunaweza kumponza, wenye Tamaa za fedha washaanza vikao vya Siri kumweka Membe

    Wana Jf, Kwa uhalisia wa sasa upepo unapoelekea mtia nia ya urais Membe ashaanza vikao vya siri tangu Jana alipoamua kujivua uanachama. Kuna fununu kuwa anakutana na viongozi wakuu kukubaliana nini kifanyike ili aweze kujiunga na chama ili atimize dhamila yake. Kiukweli membe ni mkamilifu...
  7. JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kufuata, unapotaka kumuoa Afisa Usalama(Mwanamke)? Anaruhusiwa kukueleza siri za nchi?

    Jamani, nasikia Usalama wa Taifa ni watu makini sana na nadhifu,na wana siri kuu za dunia. Sasa ikiwa unataka kumuoa, anaruhusiwa kukueleza siri za nchi kwakuwa mmekuwa mwili mmoja na unampataje? Kwani wanaishi kama digidigi hawaonekani? Nisaidieni kwa hili.
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania kuingia Uchumi wa Kati maana yake nini?

    Jumatano tarehe 1 Julai, 2020 Benki ya Dunia iliitangaza rasmi nchi ya Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 Hakika hii ni jambo la kufurahiwa na kila mtanzania kama alivyosema Rais wa Jamhuri...
  9. JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema kuwa angekuwa serikalini wangeingia dili la siri na Laizer kuna kitu cha kujiifunza, lakini pia tumpongeze Rais Magufuli kwa uwazi

    Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8. Hakika nimesikitishwa na kauli ya Lema kuwa angekuwa Serikalini wangeingia dili la siri na...
  10. JamiiForums Tanzania Utitiri wa watiania kiti cha Urais Zanzibar

    Wadau, Mpaka leo 19/06/2020 wanachama 13 wa CCM wamechukua fomu kuwania kuteuliwa ili kugombea nafasi ya Urais katika visiwa vya Zanzibar. Idadi hii sio haba, je ni kukua kwa demokrasia au kudhoofika? Je, hatma yake ni shwari au sharii? Yajayo yanfurahisha. CCM oyee === ---
  11. JamiiForums Tanzania Siri ya China ya kufanikiwa haraka kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona

    Baada ya kesi mpya za Corona kuripotiwa tena mjini Beijing, Tianjin, mji uliopo umbali wa kilomita 100 nje ya Beijing pia ilishuhudia kesi moja mpya. Cha kushangaza ni kuwa majibu ya vipimo vya nucleic acid kwa watu na vitu vyote alivyovigusa mgonjwa huyu vilikuwa ni hasi. Je, aliambukizwa vipi...
  12. JamiiForums Tanzania Siri ya dada wa kazi na mume wa boss wake ni nzito

    Fanta Baba yake alikuwa balozi, makazi yake yote alisoma kwenye shule za kimataifa. Kwa kuwa alikuwa na uwezo mkubwa darasani chuo kikuu alipata ufadhili Harvard Marekani kwa utaratibu wa shule yao. Alihitimu shahada ya Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa. Alipata ajira Umoja wa Mataifa kama...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ijue Siri: Kwanini Njia ya Kigoma - Dar haina mabasi mengi ya ( luxury )

    Njia ya Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga Ni miongoni mwa njia chache Sana ambazo ukiomba kibari Cha njia (TLB ) Kutoka SUMATRA hutasumbuka hata kidogo! Hii inatokana na dhana ya uhaba wa mabasi kwenda maeneo hayo! Swali hapa je, kwanini Ni machache? Wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto kukutana na Balozi wa Uingereza; Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze

    Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze. Kulingana na barua hiyo,Msajili...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Siri ya mafanikio yetu katika hii vita

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Kwa mwendelezo wa updates kuhusiana na huu ugonjwa hapa nchini Tanzania, watake wasitake (wakiwamo mabeberu) wanacho cha kujifunza tokea katika mafanikio yetu. Maeneo matatu muhimu kwenye mafanikio hayo wakiyadharau itakuwa imekula kwao vilivyo: 1...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani iliyofichika kati ya kusema ukweli au kudanganya unapokuwa 'Unamtongoza' Mwanamke wa Kitanzania?

    Ni kwamba 99% ya Wanawake Wanaotongozwa kwa Kudanganywa na Wanaume huwa wanawakubali haraka sana lakini pia 99% ya Wanaume ambao huwa wakiamua kuwa Wakweli kwa Wanawake pale wakiwa Wanawatongoza huwa wanawakosa japo wao (Wanaume) hudhani kuwa Mkweli ni 'Tiketi' ya moja kwa moja Kuuona Ufalme wa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

    Lijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums) Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela, adai alimlipa milioni 20 Lijuakali - Amsifia Lissu anapokuwa anafanya kazi zake za uwakili Lijuakali...
  18. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha sheria ya afya ya mimea. Faini ya milioni 500 kutolewa kwa watakaoikiuka

    SHERIA ya Afya ya Mimea 2020 imepitishwa pamoja na mambo mengine imetoa adhabu kwa Bodi ya Shirika itakalovunja sheria hiyo kupigwa faini isiyopungua Sh milioni 10 na isiyozidi Sh milioni 500. Vile vile kwa mtu atakayevunja sheria hiyo atatozwa faini isiyopungua Sh 50,000 na isiyozidi sh...
  19. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inamuandaa mgombea wao wa urais kwa siri kubwa

    Taarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM. Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020. Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito. Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao. Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara. ======...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…