single

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
  2. Bacteriophage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ongeza Testosterone zako kwaajili ya nguvu na mamlaka ya uanaume wako

    ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini. 2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
  4. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa mzuri, ukisema upo single watu hawaamini kabisa

    Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa. Yani kutokana na muonekano wangu, ni ngumu sana kueleweka kua niko single na sina mtu, kumbe hawajui kuna wati mtu unaamua kua busy na mambo yako na kutulia...
  5. Lambo jini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa single kupita kiasi

    Kwema wakuu Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi mtanashati now nna miaka 27 nahisi ni kama nimelogwa wakuu mwenye msaada wowote kimawazo au tiba atakuwa...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi awe single mother

    Sharti uwe na watoto kuanzia 3 kwenda mbeleeeeée. Ooh my god njoo pM
  7. G

    JamiiForums Tanzania Burna Boy and Sporty Group unveils new single "For Everybody".

    Burna Boy and Sporty Group Unveil New Single “For Everybody” and Visual Tribute Celebrating Africa’s Vibrant Sports Heritage and Cultural Excellence Dave Meyers-directed music video showcases top African athletes, fashion, and choreography in a poignant tribute to the continent. January 17...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Burna Boy and Sporty Group unveil new single "For Everybody"

    Burna Boy and Sporty Group Unveil New Single “For Everybody” and Visual Tribute Celebrating Africa’s Vibrant Sports Heritage and Cultural Excellence Dave Meyers-directed music video showcases top African athletes, fashion, and choreography in a poignant tribute to the continent. January 17...
  9. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kwanini wimbi la Single Mothers linazidi kuongezeka?

    Habarini wanajamii Ni ukweli usiopingika kuwa Single mothers wanazidi kuongezeka katika jamii, tatizo ni nini hasa kinasababisha hali hii? -Je ni ugumu wa maisha unaosababisha wanaume kuogopa kuingia kwenye ndoa? -Au kubeba mimba bahati mbaya Tatizo ni nini hasa? Huko mtaani kila kona...
  10. RaiaMbishi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
  11. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ubaamedi ni kwa ajiri ya single mothers?

    Nimegundua hii trend. Viwanja vyangu vyote vya kumwagilia moyo kila baamedi ninaepiga nae story ananiambia ana mtoto. Ukimuuliza baba mtoto yuko wapi analeta story za hapa na pale. Hii kazi ya ubaamedi ndio tayari ishakua maalumu kwa ajiri ya single mazas au vipi.
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwamba wanaume 3-6 wanaweza kusaidiana kwa hali na mali ili kuhakikisha unakuwa single mother

    Leo Tena. Tukiwa bado na maombelezo ya vijana wenzetu nimeona si mbaya tupate vinywaji baridi kidogo. Dada yangu sisi wanaume tunapokuwa na jambo letu huwa tunasaidiana kwa hali na mali na kwa umoja uaminifu na ushirikiano mkubwa mno! Hii wewe hujiona kupendwa sana pale unapoona kuwa mshikaji...
  13. afrogbedu10

    JamiiForums Tanzania JISOO and ZAYN Team Up for Emotional New Single “EYES CLOSED”

    JISOO and ZAYN Team Up for Emotional New Single “EYES CLOSED” K-pop and pop music fans have a reason to celebrate: JISOO and ZAYN have finally teamed up for their first-ever collaboration, “EYES CLOSED.” Both stars share a few things in common. JISOO became a global sensation as part of...
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimeamka na uchovu wa hatari baada kupelekwa mputa mputa na single mother

    Back to the topic, ile kauli ya usishindane na ulikotoka yamenikuta wakuu. Jana niliingia lodge na single mother mmoja. Huyu huwa nishawahi mlaga kama mara mbili hivi huko nyuma, najua huwa anashoo ya kibabe. Sasa jana ilizidi wakuu. Yaani huyu demu ni wale wanawake wembamba ambao huwa...
  15. Mwachiluwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kupewa ushauri gani na mtu aliye single wakati unamhadithia hali ya mahusiano yako?

    Hell Kuna wale watu wapo single mda mrefu sana wana kuwa na kaushauri fulani hivi wa kimbea na unafiki utasikia Wewe utulii na mwanamke mmoja kuna Ukimwi , gono, UTI au una hisi mimi sina upwiru nimeamua kuacha sitaki wanq wake Jamaa una endelea kumuambia af mimi situmii kinga naenda kavu...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaopoteza muda wenu kutwa Kuniuliza nipo Single, haya hapa majibu yenu

  18. Mwanamke wa mithali 31

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    No reform No election Miaka niliyoingia mwaka huu inaniogopesha kuliko last year Am 28 years old Sina ninachomiliki Age goo Mit 4:23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Tanzania 2025 tunatiki kwa MISHANGAZI NA MIBABAZI? AU NI SINGLE MAZA NA SINGO DADY?🤣😆😀 awa waweza kuwa pandikizi kweli.

    Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera, Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio. Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu wagombea ni masingo maza na masingo Dady? Sijaona mume au mke aliyembatana na mwenza hapo hata kwa...
  20. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni Single member company ?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza kwa sheria za kampuni hapa tanzania kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni single member company, kwa maana ya kuwa Director ndo huyo huyo share holder? Kuna tafiti zinaonyesha kuwa kulingana na mabadiliko ya sheria hili swala linawezekana, ila nimeona...
Back
Top Bottom