Habari Wana JF
Mwanangu usiniletee single maza🙏
Hii nikauli iliyotoka kwenye kunywa Cha baba yangu nilipomueleza kua nataka kuoaa.
Ipo hivi nilipata kazi mwanza miaka miwili iliyopita na katika harakati za kazi nilikutana na bint aliezalishwa mtoto mmoja,tulikua marafiki na meishowe tuliingia kwenye mahusiano
Mpaka kufikia Sasa tuna mwaka mmoja kwenye mahusiano na tumeafikiana kufunga ndoaa.
Siku ya Jana nilipata wasaa wakuongea na baba kumueleza mipango yangu na huyo mwanamke pamoja na jinsi alivyo lakini alipojua kua ni single maza alimkataa katukatuu.
Roho iliniumaa ila nikasema ngoja nimsikie mama nayeye anasemaje inshort naye alipita mulemule alipopita baba😭
Sikukata tamaa Leo hasubuhi nilimpigia tena baba simu nakumweleza sifaa za huyu mwanamke ila alikataa nakuniambia "wewe nimwanangu wakiume ulietoka kwenye kiuno changu na katika ufalmewangu Nina uzao wakwanza kwenye tumbo la mama Yako hii nibaraka katika ufalme wangu na himaya yangu ,mama Yako ameheshimisha ukoo wetu na wazazi wangu pamoja na wazee wa ukoo wanalifahamu hiloo .
Wewe pekee ndiokijana unaetaka kutuletea malkia kutoka ufalmee mwingine asiekua na sifa yakua na uzao wako wa Kwanzaa .
Mwanangu hatakama umempendasana muachee uzao wa kwanza kutoka kwa mwanamke ni aganoo tena agano lisiloweza kufutikaa sina chakukueleza sana ila tafuta muda usomee maandiko juu ya mzaliwa wa Kwanzaa.
Tunajua unampenda ila kwenye familia yetu hatumtaki na kwanza umenizarau sana kwakutaka kutuletea mkee wa mtuu tema mate chini nauombee msamahaa kwa zarau ulizonionesha natamani ufalmee wako usiwenamtuu wakuuteteresha vizazi na vizazi kama umeshindwa kupata mwanamke nitakutafutia wapo wengi wazuri.
Naskuzote usitumie hisia kufanya maamuzi wanaume hatupo hivyo 😭😭
Aseee haya ndiomaneno niliyoambiwa ila nachotaka kujua naombeni anaejua umuhimu wa mzaliwa wa Kwanza 🙏