A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.
Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya
Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura?
Au ndio ile ku adapt na mazingira?
Mtandaoni kila mtu anadai hawezi date single mama, mwanaume mfupi, asiye na hela, au mchafu. Ila gizani nje ya mtandao single mama wengi wanaolewa kuliko hata wasio na watoto. Wanaume wafupi wenye sura personal wanang'oa pisi kali kuliko masharobaro. Kuna wale wanasema "I cannot date a broke...
Kazi kwishaaa....mtu Mmoja ajitokeze akamfute machozi huu single mama
Haya wadau nimewarahisishia badala ya kwenda huko fb issue ishie hapa tu wenzetu swala Tano mnahitajika.
Ila single mother kwa mashart mmezidi haya mashart ni ngumu sana kuambiwa na Binti asiye used. Anyway kimfaacho mtu ni...
Single mother anaweza kupanga sehemu ya kuishi au kufanya biashara (chumba, frame au apartment) na watu wanaomzunguka wasijue kuwa ana mtoto. Mtoto anaweza kuwa anaishi kwa ndugu au sehemu nyingine kwa muda.
Baadaye akikutana na mwanaume ambaye anaonekana smart, anajiheshimu, anavutia na yuko...
Nimebadilisha matumizi ya umeme kutoka Single phase system kwenda 3 phase system, kwenye remote meter ya single phase system nilibakiza units kama 700 hivi, naweza kuziamishia kwenda single phase nyingine ya jengo jingine?
Maana naambiwa Unit za single phase haziwezi kutumika kwenye 3 phase na...
Habari wanajf
Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza...
Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui"
Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua...
Kama sio mwathirika wa ukimwi uyo basi umri umeenda sana yupo 30 na kuendelea na pia ana watoto kuanzia wawili na ametelekezwa anatafuta wa kumtulia shida zake
Uwezi kumkuta mwanamke yupo chini ya 30 hana changamoto ya feza na hana ukimwi akatafuta mwanaume mtandaoni
Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu.
Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno
Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba).
Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini.
2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa.
Yani kutokana na muonekano wangu, ni ngumu sana kueleweka kua niko single na sina mtu, kumbe hawajui kuna wati mtu unaamua kua busy na mambo yako na kutulia...
Kwema wakuu
Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi mtanashati now nna miaka 27 nahisi ni kama nimelogwa wakuu mwenye msaada wowote kimawazo au tiba atakuwa...
Burna Boy and Sporty Group Unveil New Single “For Everybody” and Visual Tribute Celebrating Africa’s Vibrant Sports Heritage and Cultural Excellence
Dave Meyers-directed music video showcases top African athletes, fashion, and choreography in a poignant tribute to the continent.
January 17...
Burna Boy and Sporty Group Unveil New Single “For Everybody” and Visual Tribute Celebrating Africa’s Vibrant Sports Heritage and Cultural Excellence
Dave Meyers-directed music video showcases top African athletes, fashion, and choreography in a poignant tribute to the continent.
January 17...
Habarini wanajamii
Ni ukweli usiopingika kuwa Single mothers wanazidi kuongezeka katika jamii, tatizo ni nini hasa kinasababisha hali hii?
-Je ni ugumu wa maisha unaosababisha wanaume kuogopa kuingia kwenye ndoa?
-Au kubeba mimba bahati mbaya
Tatizo ni nini hasa?
Huko mtaani kila kona...
Nimegundua hii trend. Viwanja vyangu vyote vya kumwagilia moyo kila baamedi ninaepiga nae story ananiambia ana mtoto. Ukimuuliza baba mtoto yuko wapi analeta story za hapa na pale.
Hii kazi ya ubaamedi ndio tayari ishakua maalumu kwa ajiri ya single mazas au vipi.
Leo Tena. Tukiwa bado na maombelezo ya vijana wenzetu nimeona si mbaya tupate vinywaji baridi kidogo.
Dada yangu sisi wanaume tunapokuwa na jambo letu huwa tunasaidiana kwa hali na mali na kwa umoja uaminifu na ushirikiano mkubwa mno!
Hii wewe hujiona kupendwa sana pale unapoona kuwa mshikaji...
JISOO and ZAYN Team Up for Emotional New Single “EYES CLOSED”
K-pop and pop music fans have a reason to celebrate: JISOO and ZAYN have finally teamed up for their first-ever collaboration, “EYES CLOSED.”
Both stars share a few things in common. JISOO became a global sensation as part of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.