Nonji
Member
- Nov 22, 2017
- 29
- 26
Habari wana jamii,
Mimi ni mume wa mke mmoja na kutokana mambo ya kazi Sikai na familia yangu mkoa mmoja hapo ni mikoa ya jirani kidogo kama mwendo wa masaa manne kwenda.
Maisha haya nimeyaanza muda kidogo tangu 2022 lakini nimekuwa nikijaribu kujicontrol kuepuka vishawishi vya kuingia kwenye mahusiano na wanawake wengine. Ila mwaka jana wakati nafanya shopping ya familia kwa ajili ya Christmas nilikutana na binti mmoja miaka kama 28 ana mtoto mmoja wa kiume wa miaka tisa.
Aliniuzia nguo akiwa ananichagulia kwa kuangalia picha za wahusika na kunishauri nguo za kuchukua.
Sasa tukajikuta tumebadilishana namba za simu na mawasiliano yakaanza na sasa naona anataka mahusiano ya kimapenzi na anasumbua kwelikweli. Anadai alipewa mimba 2016 na mwalimu wake na akamkataa.
Wakuu mimi kama mwanaume mnavyojua kuna kaudhaifu ketu ila sasa nafsi mbili zinapata vita kali sana kwangu moja unataka nyingine inapinga na sababu kubwa ni kwamba simfahamu vizuri na katika maelezo yake kuna mengine yananitia shaka lakini bado hatujaanza mahusiano ya kimapenzi bado tuliwahi kuongea kuhusu kwenda kupima ndipo tuanze lakini kila kukicha napata mgogoro wa nafsi inayopinga kesho yake napata mgogoro wa nafsi inayotaka kuingia kwenye haya mahusiano.
Ebu kwa uzoefu wenu nipeni ushauri hapa ili niamue kusuka au kunyoa ninyi mnajua mengi na mnaona mbali pia maisha kusaidiana.