single

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona mapema nitashindwana na huyu Single Mother

    Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga. Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka...
  2. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za single mother

    1. Single mother mjane. Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

    IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu! Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema...
  4. Anastasia21

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finally nimekua spinster!

    Sasa nijikite kujenga taifa ....... Mambo mengi mda mchache.......:cool:
  5. Fatuma yuso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mothers tunapambana na ku-risk maisha kwa ajili ya damu ya mtu asiyejali wala kuwaza majukumu yake

    Ndugu zangu, Naongea kwa uchungu hadi nahisi kupiga kelele... Nilikuwa na mahusiano na mkaka mmoja hivi. Mahusiano yakanoga, nikashika ujauzito. Akakubali fresh tu, tukawa tunaishi pamoja. Baadaye ujauzito ukaanza kunisumbua naumwaumwa ikabidi nirudi nyumbani nikiwa na ujauzito wa miezi miwili...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Wadau salaam, Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute. Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa...
  7. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Najaribu kuwa single ila nashindwa, wenzangu mnawezaje.??

    Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo. Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake nahangaika mno. Nikiona mtu yuko na mpenzi wake Naona wivu najihisi mpweke mno. Kifupi najihisi...
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana mnafeli wapi mpaka binti kama huyu anafika 29 yupo single ?

  9. Friji la mtumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini watu huonekana kuwa na furaha zaidi wakiwa ‘single’ kuliko wakiwa kwenye mahusiano?”

    Wapo watu ambao baada ya kuachana na wapenzi wao huanza kung'aa, kuwa huru, na hata kujiendeleza zaidi. Je, ni kwamba mahusiano yao yalikuwa kikwazo? Au kuna kitu watu hukosea wanapokuwa kwenye mahusiano? Tujadiliane kwa uhuru — labda kuna funzo kwa wote.
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama

    Kama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo...
  11. BabaMorgan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Reaction ya Mzee wangu baada ya kusikia naishi na single mother.

    Nimekuwa inspired na Jesca Magufuli jinsi alivyoshare moments za baba yake enzi za uhai wake kwangu imenipa fundisho kuwa uwepo wa baba una maana kubwa kwenye ukuaji regardless financial status ana pesa ama hana ila guidance yake ni muhimu. Reaction ya marehemu mzee wangu alipopata taarifa kuwa...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna raha yoyote ya kuwa single

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri. Ewe Kijana amka ukamtafute wa kufanana naye.
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

    Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business. let's chat via pm. regards. Prisha.
  14. Nusratt

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Mlio Ndoani, Msibweteke, Single Ladies Tunawapa Salamu

    Dear Ladies mlio kwenye ndoa zenu, nawasalimu Sio kila mwanamke utakayemuona single huko mtaani kwenu basi unamchukulia poa kwa kumuona kama kakosa bahati kwa kuwa hajaolewa kama wewe. Wapo wanawake wengi wamekimbia miji yao na kuacha majumba na magari ya kifahari ili tu waweze kunusuru roho...
  15. kadiri kasimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JE single Father nae anaruhusiwa kuowa Binti kigoli ambaye ni mgeni kwenye ntansinia ya mapenzi?

    Salam kwenu wakuu! Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae...
  16. Knock life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto waliolelewa na single ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.

    Watoto waliolelewa na single maz ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo. Kijana usioe singo maza
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaodharau single mothers wakati mama yenu ni Single mother mnaemsifu ni shujaa wenu, mna uzima kichwani ?

    Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu. Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai. Hii tunaiitaje ? Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
  18. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi sera za wakurya basi ndio wanaweza kuwa kabila ambalo ni more favourable kwa ajili ya single moms.

    Unaambiwa mkurya akitaka kuoa hajali wewe una watoto atakuchukua tu na pia atahakikisha hao watoto wako wanakuwa wa kwake kama yeye ndio aliotwaa na hadi kuwapatia majina ya ukoo wake na na hadi mali za nyumbani wanaweza kurithi, sasa aanze kusikia unamuongelea baba yao sijui nani au baba yao...
  19. Mr dollar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta single mother wa kuingia naye kwenye mahusiano

    Kama kisemavyo kichwa cha habari Awe ana-ishi dar ambaye yuko tayari anakaribishwa
  20. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la "Single Mothers" sio tatizo la Mwafrika ni tatizo la Wamagharibi. Kiasili Waafrika hatunaga kitu kinaitwa "Single mothers"

    Afrika ya mababu zetu haikuwa kitu kinaitwa " Single mothers". Kwa sababu 👇👇👇👇👇👇 1.( a) All women belonged to the community. ( b) All mothers belonged to the community. ( c) All children belonged to the community. ( watoto wangu watoto wangu watoto wako watoto wangu. But now tumeiga uzungu...
Back
Top Bottom