Siamini Mwanaume wa 30+ and succesful kama yupo single

Joined
Dec 9, 2025
Posts
87
Reaction score
208
Wakuu habari,

Nimekuwa nikijadili hili jambo na rafiki yangu mmoja hadi akaniita 'Toxic' kwamba sifai
Wakati nipo kwenye umri wa 20+ ilikuwa nikitongozwa na mwanaume wa umri wa 30+ na ameshafanikiwa yaani ka-settle tayari ana kila kitu kinachoitajika kwenye maisha ikiwa ni nyumba, gari, biashara na ana kazi ya kueleweka, kiufupi kwangu niliichukua kama red-flag

Sikuweza kuamini kama mtu ambaye tayari ana maisha anifate mimi ambaye sina mwelekeo wowote wa maisha ndo kwanza nimemaliza shule nafanya kazi za muda as 'Part-time' na kipato ninachopata kinatosha chakula, nauli na kujipatia mavazi. Yaani kwa status na financially sisi ni watu wawili tofauti

Sababu kubwa sijawai kutaka kuwa kama back-up plan ya mahusiano ya mtu na huu ndio umekua msimamo waku, lakini rafiki yangu aliniuliza

"Unadhani utapata mwanaume wa kwako peke yako?, Kwaiyo unataka mwanaume masikini? au hao masikii ndo wako loyal?

"Kuna watu wako kwenye mahusiano yasiyo sahihi kwao hivyo anapokufata ameona kitu kwako, na wewe unatakiwa ku-respond positive la sivyo unataka kuwa single milele"-Alisema rafiki yangu

Tulizungumza kwa muda mrefu lakini bado sijapata kuamini kama wanaume wa hali hiyo wanaweza kuwa peke yao na loyal kwenye mahusiano

Jambo lingine huwa nahisi kwa age-difference iliyopo kati yetu kuna wakati naweza hisi ananionea au yeye akahisi namdharau kumbe ni jambo tu la kawaida au hata anaweza kuwa anapima uwezo wa fikra zangu

Nimewahi kujaribu kudate mwanaume wa hivyo ila nilikimbia 😂, jamaa alikuwa ananiambia ukitaka chochote nambie muda huo mimi nasubiri aone hali yangu kuwa nahitaji kitu fulani then aniletee hata kama suprise bila kumwambia nikiogopa kuonekana ombaomba ila hakuwai kufanya hivyo. Alipenda sana kutaka niende kwake kitu ambacho pia nilichukulia kama red-flag ya kufanya hayo kisha nakuwa dampo.

Kingine kilichofanya nikimbie, alikuwa anaweza kukaa wiki nzima hajapiga simu na akipiga anataka uende kwake, ukimwambia mkutane sehemu anasingiza hataki kuonekana na wafanyakazi wenzie akiwa na demu, hii ilinifanya niamini sipo peke yangu nikaanza kuweka distance na yeye hakujali hata ukimya ukazidi ndo ikaishia hivyo hakuna aliyewahi kumtafuta mwenzie

Natamani tu kujua kama mawazo yangu hayana afya au ndo niko Toxic kama rafiki yangu alivyonambia
 
Unless umekujajini recently or huna circle kubwa ya hao watu. Until then you will get suprised
 
Una haki ya ku generalize, lakini, ume generalize.
 
Wapo wengi sana Amin ivo wanaume wamekua waoga sana kwenye mahusiano ndo maana kule kwenye madanguro wamekua wateja wazur sana
Bei nafuu elewa bei nafuu halafu kipapilo ni kile kile issue sio uoga issue bei nafuu unakua ushamaliza nyege na ukishamaliza hapo huna muda wa kupandisha Cortisol till next time call for delivery package ambazo kuna mchumba angekuzungusha mwezi mpaka miezi huku anachokonoa wallet na mwisho wa siku akakuletea vagi na chupi hata hujamvua hela kala unafanyaje safari uelekeo kwenda kujipoza maeneo
 
Tofaut na hiyo ila wanaume hawapend sana majibizano na kerokero za hapa na pale
 
Back
Top Bottom