Yaani serious kabisa Watanzania hamumjui anayewakamata na kuwateka Wafanyabishara wakubwa wa Singida?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,574
108,930
Na nyie Wafanyabishara wa Singida kwanini hata kama mnataka Kugombea Ubunge ( wa Jimbo Moja ) msiwe Wasiri ( Wakimya ) na badala yake Mnapayuka hadi mnayemtishia Ubunge wake anajua na anaanza nae Kuwakomoeni Kimafia kama hivi?

Hata Mimi GENTAMYCINE nataka Kugombea Urais wa Tanzania lakini mmeshasikia nikisema ni mwaka gani au lini?

Niko njiani sasa kwenda Burundi kuishi huko kwani Tanzania naona maisha ni Magumu na kila Siku hali inazidi tu kuwa mbaya.

Hata hivyo kwakuwa naipenda Tanzania na hasa wana Mkoa wa Singida nikiwa huko nchini Burundi nitajitahidi niwe naitafutia Mechi za Kirafiki Klabu yetu ya Singida Big Star Fedha Fountain Gate na Vilabu vya Burundi na ninaamini wakiwa wanakuja Bujumbura watatumia Mabasi mazuri, mengi na ya Kisasa ya Esther.
 
Acha kumsingizia Singida Big Star
 
Kumbe Singida ndio teka teka wenzake.....apite bila kupingwa ? Ana hati miliki ? Hayaa tuone watamuwahi wenzake ipo siku
 
Na nyie Wafanyabishara wa Singida kwanini hata kama mnataka Kugombea Ubunge ( wa Jimbo Moja ) msiwe Wasiri ( Wakimya ) na badala yake Mnapayuka hadi mnayemtishia Ubunge wake anajua na anaanza nae Kuwakomoeni Kimafia kama hivi?

Hata Mimi GENTAMYCINE nataka Kugombea Urais wa Tanzania lakini mmeshasikia nikisema ni mwaka gani au lini?

Niko njiani sasa kwenda Burundi kuishi huko kwani Tanzania naona maisha ni Magumu na kila Siku hali inazidi tu kuwa mbaya.

Hata hivyo kwakuwa naipenda Tanzania na hasa wana Mkoa wa Singida nikiwa huko nchini Burundi nitajitahidi niwe naitafutia Mechi za Kirafiki Klabu yetu ya Singida Big Star Fedha Fountain Gate na Vilabu vya Burundi na ninaamini wakiwa wanakuja Bujumbura watatumia Mabasi mazuri, mengi na ya Kisasa ya Esther.
Sio Mwendazake kweli?
 
Urais fomu ni 1,wewe kagombee Kupitia ACT
 
Siasa za singida sasa hivi ni za moto kwa wanaotaka kujitosa kwa huku wakijua kabisa majimbo yana wenyewe. Kuna mmoja jimbo keshajimilikisha kumng'oa ni shughuli pevu watakaokwenda kujaribu kuomba kuchaguliwa jimboni kwake wanajisumbua bure, bora watafute majimbo majimbo mengine bwerere yapo hayana mfalme
 
Kwa hiyo Madelu hajawahi kuachana na ugaidi?
 
Okay, ndio maana hata Mimi nilishangaa. Watu gani hao wenye Landcruiser Nyeupe waje kuwateka hawa Wafanyabiashara huku Mwenge hapa Singida, kumbe ni huyu Bwana!!!!!!
Okay, Tunaingia Machimboni soon tutarudi.
 
Dah ila siku hizi utekaji umekuwa kama fashion
Mtu akiona unamzingua anakuteka
Kuna mzee mmoja nlimsikia akihojiwa
Mtoto wake na mme wake wamepotea tokea tar 6 na mpaka sasa hawajapatikana
Duh kuna yule sijui mziba wa mikocheni naye jiii

Ova
 
Na nyie Wafanyabishara wa Singida kwanini hata kama mnataka Kugombea Ubunge ( wa Jimbo Moja ) msiwe Wasiri ( Wakimya ) na badala yake Mnapayuka hadi mnayemtishia Ubunge wake anajua na anaanza nae Kuwakomoeni Kimafia kama hivi?

Hata Mimi GENTAMYCINE nataka Kugombea Urais wa Tanzania lakini mmeshasikia nikisema ni mwaka gani au lini?

Niko njiani sasa kwenda Burundi kuishi huko kwani Tanzania naona maisha ni Magumu na kila Siku hali inazidi tu kuwa mbaya.

Hata hivyo kwakuwa naipenda Tanzania na hasa wana Mkoa wa Singida nikiwa huko nchini Burundi nitajitahidi niwe naitafutia Mechi za Kirafiki Klabu yetu ya Singida Big Star Fedha Fountain Gate na Vilabu vya Burundi na ninaamini wakiwa wanakuja Bujumbura watatumia Mabasi mazuri, mengi na ya Kisasa ya Esther.
mwigu kinyau
 
Siasa za singida sasa hivi ni za moto kwa wanaotaka kujitosa kwa huku wakijua kabisa majimbo yana wenyewe. Kuna mmoja jimbo keshajimilikisha kumng'oa ni shughuli pevu watakaokwenda kujaribu kuomba kuchaguliwa jimboni kwake wanajisumbua bure, bora watafute majimbo majimbo mengine bwerere yapo hayana mfalme
I think jimbo la Iramba magharibi
 
Dah ila siku hizi utekaji umekuwa kama fashion
Mtu akiona unamzingua anakuteka
Kuna mzee mmoja nlimsikia akihojiwa
Mtoto wake na mme wake wamepotea tokea tar 6 na mpaka sasa hawajapatikana
Duh kuna yule sijui mziba wa mikocheni naye jiii

Ova
Wale wanafiki wamekaa kimya. Ingekuwa awamu ile wangesema ni bwana yule. Na bado laana itawafuna milele.
 
Kwani tumefikia kuteka hadi wafanyabiashara wakubwa? hao si ndo walipa kodi wakubwa wanatakiwa kupewa ulinzi.........au ulinzi unaishia kwa wale wanaojipimia kwa urefu wa kamba.
TRA iingilie kati wateja wake kutekwa siyo? Ukizingatia imejipongeza kwa kuvuka lengo la maokoto kwa kukusanya 3 bil. kwa mwezi kati ya July -Dec,2023.
 
Back
Top Bottom