Simulizi: Nusu Ya Uhai
Mwandishi: Akaliza
Tuanze.
2017, KASANGA-KIGOMA.
Majira ya usiku shughuli za uvuvi zilikuwa zikiendelea kama kawaida, boti nyingi na mitumbwi zilikuwa na idadi kubwa ya wavuvi waliokuwa wakielekea katika sehemu ambako waliamini kungelikuwa na samaki. Sehemu ya Kasanga...