Umewahi kunusurika janga lolote au umekwepa kutapeliwa au kuibiwa kwa bahati au uwezo wa Mungu? Toa simulizi yako hapa

Mchanya

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
974
1,525
Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo, hata nilipomwomba ajitambulishe na wapi alipopata simu yangu akakataa akidai "yote tutayajua tukikutana".

Nikamsisitizia kwamba kama asiposema amepata wapi simu yangu sitaweza kuonana naye hata iweje, alinibembeleza sana tuonane lakini nami nikakomaa, akapotea na hadi leo hatujaonana.

Nikawasimulia marafiki zangu wachache wakanionya kwamba nisikubali kuingia kwenye mtego kama huo. Kwamba kama ningekubali angejilengesha kimapemzi na tukiwa chumbani kuna watu watatuvamia mmoja akidai kwamba ni 'mume wake', na watanipiga picha na kudai kuzisambaza picha hizo mitandaoni hadi niwalipe fedha.

Je, nawe umewahi kukumbana na kisa chochote ambacho umenusurika? Labda umekwepa kutapeliwa? Umeepuka kuibiwa au umenusurika janga lolote? Tiririka hapa ili nasi tujifunze kutokana na kisa chako.
 
Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo, hata nilipomwomba ajitambulishe na wapi alipopata simu yangu akakataa akidai "yote tutayajua tukikutana". Nikamsisitizia kwamba kama asiposema amepata wapi simu yangu sitaweza kuonana naye hata iweje, alinibembeleza sana tuonane lakini nami nikakomaa, akapotea na hadi leo hatujaonana. Nikawasimulia marafiki zangu wachache wakanionya kwamba nisikubali kuingia kwenye mtego kama huo. Kwamba kama ningekubali angejilengesha kimapemzi na tukiwa chumbani kuna watu watatuvamia mmoja akidai kwamba ni 'mume wake', na watanipiga picha na kudai kuzisambaza picha hizo mitandaoni hadi niwalipe fedha.

Je, nawe umewahi kukumbana na kisa chochote ambacho umenusurika? Labda umekwepa kutapeliwa? Umeepuka kuibiwa au umenusurika janga lolote? Tiririka hapa ili nasi tujifunze kutokana na kisa chako.
Hawa matapeli wana PhD ya uchawi

Imagine nimetoka kuongea na faza house Kuhusu kumtumia Kodi yake ya miezi mitano
Then baada ya dk 10 inaingia text "mwanangu ile pesa tuliyokubaliana nitumie kupitia no *****"
Fala Sana Hawa matapeli wa cm
 
Ukatuma?!
 
Iliwahi nikuta mimi, mdada wangu wa kazi alitoka kuongea na wazaz wake wakasema wanatutumia namba ya kutuma pesa ya shemej ake na huyu mdada wangu baada na nusu saa zikaingia msg moja ya matapeli na moja ya mzazi wa mdada sema nikshaghilishwa mda nataka kutuma ndo ikabidi niwapigie tena wazaz wa binti waseme jina la shemeji ni lipi, lkn kama matapeli wangetuma mda ule ule ile msg basi tungeliwa
 
Hao jamaa kipindi wanaanza walijenga na kununua sana magari

Sahiv watu wamejanjaruka
 
Jamaa moja fara likaja kazini kwangu likanambia hivi kuna jama anaumwa ukimwi ametokea south Africa yuko Bondeni guest house magomeni sasa tunaomba ukamtibu

halafu utatwambia gharama ni kiasi gani nikasema sawa! tukakutana kwenye kihotel kichafu chafu sana pale Morocco jamaa mwenyewe nikamchekiiii anamakengeza kaungua na jua aaa!!

walicho fanya wakaniomba simu ili padre aje anilipe! nikampa simu ime fungwa na Raba Bendi hiyooo ni utachoka! yaania alipoiona tu hivi kachoka aaaa!!!! akanambia Pdre anaye toa hela kasafiri ghafla !!!
 
Jana nimestuka usiku kuna kibaka anapambana kufungua dirisha nikamwacha ile kaingiza mkono nikakataaa na shoka kiganja kikabaki ndani
Hapa namtafuta mwenye kingaja anilipe garama za kutengeneza dirisha
 
Jamaa moja fara likaja kazini kwangu likanambia hivi kuna jama anaumwa ukimwi ametokea south Africa yuko Bondeni guest house magomeni sasa tunaomba ukamtibu

halafu utatwambia gharama ni kiasi gani nikasema sawa! tukakutana kwenye kihotel kichafu chafu sana pale Morocco jamaa mwenyewe nikamchekiiii anamakengeza kaungua na jua aaa!!

walicho fanya wakaniomba simu ili padre aje anilipe! nikampa simu ime fungwa na Raba Bendi hiyooo ni utachoka! yaania alipoiona tu hivi kachoka aaaa!!!! akanambia Pdre anaye toa hela kasafiri ghafla !!!
Kasafiri ghafla... hahahaha
 
Iliwahi nikuta mimi, mdada wangu wa kazi alitoka kuongea na wazaz wake wakasema wanatutumia namba ya kutuma pesa ya shemej ake na huyu mdada wangu baada na nusu saa zikaingia msg moja ya matapeli na moja ya mzazi wa mdada sema nikshaghilishwa mda nataka kutuma ndo ikabidi niwapigie tena wazaz wa binti waseme jina la shemeji ni lipi, lkn kama matapeli wangetuma mda ule ule ile msg basi tungeliwa
Kuna uwezekano mkubwa kabisa hiki ni kitengo maalum kabisa kimeajiriwa ama na makampuni ya simu au serikali kupitia tcra na kinatrack mazungumzo yote yanayohusu miamala na kazi yao ni moja tu, "ile pesa tuma kwenye namba hii." Ndio maana pamoja na usajili wa alama za vidole na vitambulisho vya nida bado watu wana ujasiri wa kufanya yao.
 
Aiseee! Kuna wale mateja wanauza simu mitaa ya agrey,congo,uhuru, na mingineyo walinipiga 40k kwa mche wa sabuni wameuchonga vizuri sio rahisi kushtuka enzi hizo Huawei y360 Zipo motoo!
Unauziwaje mche wa sabun? Inamaana hata hauiwashi?
 
Tulia weye bado kuingia mjini!! usije kwanza utaumia!! kaa huko huko…... hivi betrii za redio ndogo hazitoshi kwenye kipande kirefu cha sabuni???! zile ndo ukibonyeza tu Bulb chini inawaka! taaa!
Muache mkuu bado hajakaribishwa mjini uyoo mda wake bado atakuja kutukumbuka hapa
 
Back
Top Bottom