simu

  1. Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)? Kuna siku moja mwaka juzi rafiki zangu waliwahi...
  2. Tanzania mbioni kuwakabidhi mgodi Waaustralia wachimbe madini yanayounda vifaa vya computer na simu. Huku watanzania wakiwa hawana ujuzi wowote

    Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources. The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company...
  3. M

    TCRA na Kampuni za Simu zirudishe vifurushi vya data za Wateja baada ya Mitandao kuzimwa

    Makampuni ya mawasiliano nchini yamezima data takriban wiki moja sasa. Wakati yakizima, hayakuwatangazia wateja juu ya uzimaji huo, na hivyo wateja wengi wakajikuta vifurushi walivyokuwa wameweka kwenda bure! Lakini pia, kwa wale ambao hawakujua kuwa kuna kuzimwa kwa makusudi kwa mtandao...
  4. Msaada wa mawasiliano ya simu na gazeti lolote la Tanzania

    Wakuu, poleni na Lockdown ya mtandao hope watarudisha baada ya wanachokitaka kutimia. Ninataka kuweka tangazo katika moja ya gazeti hapa nchini, hii ikiwa ni hatua ya pili katika jambo ninalolifuatilia, ni hatua ya lazima kwamba tangazo lazima liwepo kwenye gazeti then utaratibu mwingine...
  5. GE2020 Fanya hivi kwenye simu yako kujua kituo chako cha kupigia kura

    JE WAJUA? SIMU YAKO INAWEZA KUKUJULISHA KITUO CHAKO CHA KUPIGIA KURA? Kwa simu yako bofya namba *152*00# kisha chagua namba 9(Uchaguzi Mkuu), kisha chagua namba 1(Uhakikiwa Taarifa za Mpiga Kura) Ingiza namba ya kadi ya mpiga kura bila kuweka herufi ‘T’ wala alama ‘-‘ Utapokea ujumbe...
  6. B

    TBC kumhoji Mtumishi wa Tume bila kuruhusu Wananchi kupiga simu kumuuliza maswali ni ushamba

    Muda huu huyu Mtumishi yuko live, TBC hawataki kuruhusu simu kupigwa studio ili ajibu maswali waliyonayo Wananchi, ina maana gani kupiga porojo tu, nadhani kuna haja ya kuleta mabadiliko makubwa sana
  7. Safaricom inasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bure

    Safaricom ina miaka ishirini sasa. Ili kusherehekea, Safaricom itaruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bila malipo. Safaricom ina takriban 33 million customers hapa Kenya. Kila customer atapata hii fursa...
  8. Sekta ya mawasiliano ya simu ilivyo nguzo muhimu kuleta mabadiliko ya kiuchumi Tanzania

    Dunia inaendelea kushuhudia maabadiliko makubwa ya kiteknolojia sehemu mbali mbali kwa kasi ya ajabu. Sehemu kubwa ya matunda ya teknolojia mfano matumizi ya simu mkononi ambayo yapo sasa, yasingeweza hata kufikirika mwanzoni mwa karne ya 21. Ukweli usiopingika ni kwamba, kadiri maendeleo ya...
  9. Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

    Baada ya kuona twitter nikajaribu binafisi kituma sms ni kweli ukitma sms yenye Tundu Lisu haiendi, Sikutarajia kama hizi kampuni zitafikie levo hii aiseee, hii ni too far sana, wameingia rasimi kwenye siasa.
  10. Msako/ukaguzi wa ghafla kufanyika kwenye simu yako. Cha kwanza kufuta ni nini

    Mara pap imetokea msako au ukaguzi tu wa kushtukiza katika simu yako..na ukapata sekunde chache kabla hujapokonywa simu yako kwa ajili ya huo ukaguzi... Ili kulinda status yako/siri zako utafuta vitu gani kwa fasta fasta? Meseji? Xvideo? Picha? Namba za simu? Social networks? Betting apps? Au...
  11. B

    Biashara ya simu

    Habari zenu wadau. Mimi nahitaji kufanya biashara ya simu pamoja na ear phones, cover za simu, chaja za simu. Naomba ushaur wa hii biashara wapi naweza kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla, pia na changamoto za hii biashara, nipo kusini huku mwa tanzania
  12. Hivi kweli simu za HUAWEI bado zinatumia google playstore?

    Kwa sababu kama mnavyojua jinsi serikali ya Marekani ilivyoweka sheria zake katika makampuni ya china , napenda uliza swali tajwa hapo juu.
  13. Vodacom nani aliyewaruhusu kuwapa CCM namba yangu ya simu?

    Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu...
  14. Makampuni ya Simu yapora Watanzania kwa kuongeza gharama za Bando mara mbili ya kawaida, hakuna anayejali

    Tuna makampuni ya simu mengi hapa Tanzania. Kwa bahati mbaya, karibu yote ni ya kigeni baada yale ya wazawa kufilisika. Kuanzia 30-07-2020 Mkampuni haya ya simu yameanza kidogo kidogo kupandisha gharama za vifurushi, wanapandisha alafu wansikilizia kama wanyonge watashtuka, sasa wamefika mahali...
  15. Jinsi ya ku connect Simu Android kudisplay kwenye Laptop (Hasa Azam TV)

    Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam. Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia kwenye Simu.nikapata wazo la ku connect na laptop iwe ndo display ili niwe naangalia kwa ukubwa zaidi...
  16. TCRA huu wizi wa Makampuni ya simu mbona mmeufumbia macho? Angalieni Airtel

    Wananchi tumekuwa tukilalamika sana kuhusiana na wizi unaofanywa na mitandano ya simu. Mmeziba masikio yenu kwa Vigondo. Hamsikii.Na macho yenu mmeyavalisha miwani ya Mbao. Hamuoni. Airtel kwanza wana utaratibu ambao mimi nmeshindwa uelewa.napotaka kuangalia data bundle iliyobaki sipewi majibu...
  17. Dalili aliyemtafutia nyumba Kipanya amezima simu!

  18. Baba mwenye nyumba kanizimia simu toka asubuhi. Nakusanya tu ushahidi

    Hii nyumba nlipokuja siku ya kwanza nilimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani. Nikamuuliza kwa mara ya tatu akanijibu hapa ni shwari kabisa, leo hii naandika hii text maji yamejaa ndani vyombo vinaelea tunapambana...
  19. Simu yangu inasumbua Wifi

    Wakuu habari za jioni nitangulize shukrani zangu kwenu kwa sababu najua mtanisaidia katika hili Simu yangu TECNO W5 ina matatizo yafuatayo =Haiwashi WI-FI =Haiwashi BLUETOOTH =Haiwashi RADIO =GPS location yake inaniambia niko manyara au wkati mwingine inanipeleka zanzibari na mimi niko Bagamoyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…