simu

  1. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ikitoa taarifa zetu kwa vyombo vya ulinzi huwa wanapata idhini ya Mahakama?

    Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini. Vyombo vya dola vikiingilia bila ruhusa ya mahakama, basi ushahidi huo hauwezi kutumika mahakamani na jambo hilo huwa siri yao. Sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Nasikia si kweli kuwa simu za mkononi zinaongeza uwezekano wa kupigwa na radi

    Tz na sehemu nyingi kuna imani imeenea kuwa kutumia simu wakati wa radi kunaongeza uwezekano wa kupigwa na radi. Lakini katika kuangalia mitandaoni nimeona zinasema kuwa huu ni uzushi. Wanasema simu haina umeme wa kufanya ivutie radi. Lakini wamesema kuwa simu za mezani ni hatari wakati wa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tozo za kwenye vifurushi vya simu ziangaliwe upya

    Kila ukinunua vocha na kuingiza kwenye simu ili usajili kifurushi unakumbana na tozo/makato ambayo ukija sasa kusajili kifurushi Mtandao unakwambia huna salio la kutosha kusajili kifurushi. Nafikiri tarrifs za kusajili vifurushi ziangaliwe upya, mfano, vocha ikiwa na thamani ya Tshs.2000...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Hii alama ya duara katika line yangu ya simu inamaanisha kitu gani?

    Kama picha inavyojieleza hapo wakuu unaweza kuona hako kaalama ka duara katika hiyo line ya simu.Wajuzi wa masuala ya tech nijuzeni tafadhali hako ka alama kanamaanisha nini? Kuna saa kanatokea halafu baada ya muda kanapotea.
  5. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuanzia tarehe 1 November WhatsApp kuacha kutumika kwenye baadhi ya simu za iPhone na Android

    They are doing it again! WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android. Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu Itel A30 kwa Tsh. 150,000/-

    Specifications: Android version 9.0.0 Ram 1gb Storage 16gb Nipo Morogoro natuma mikoa yote. 0672037238.
  7. JamiiForums Tanzania Natamani simu kali zisiwekwe kioo mbele na nyuma

    Siku hizi simu zote za ghali utakuta zina material ya kioo nyuma (battery cover). Hii ni kwa simu zote kuanzia iphone 8, samsung s8 kwenda mbele zote mfuniko wa nyuma ni kioo. Kwangu mimi naona kuweka kioo nyuma ya simu ni wazo la hovyo kwa sababu zifuatazo; 1. Kioo kinateleza. Simu yenye kioo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Mkurugenzi wa BRELA: Naomba kujua namba za simu za customer care staff wako zinazofanya kazi

    Mheshimiwa Mkurugenzi wa BRELA, Hizi ni zama za kidijitali, na tuko fourth industrial revolution. Lakini hapo kwako BRELA kuna tatizo. NImeingia mfumo wa ORS nimekwama, na hakuna namna ya kupata msaada wa haraka kutoka customer care office ya BRELA. Nimechukua namba za customer care staff...
  9. JamiiForums Tanzania Orodha ya Simu ambazo ifikapo mwezi Novemba 2021 hazitaweza kuingia WhatsApp

    MAELFU Ya watu duniani wanatumia mtandao maarufu wa WhatsApp kuwasiliana na ndugu, jamaa na watu wao wa karibu kwa meseji na video lakini watu wengi watashindwa kuitumia huduma hiyo kutokana na mifumo ya simu zao kuanzia mwezi Novemba mwaka huu. Kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa na chapisho la...
  10. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Vodacom aeleza alivyochunguza Simu za Sabaya

    MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam, James Wawenje (39), ameieleza mahakama jijini hapa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Arusha ilimuagiza achunguze namba za simu ya kiganjani za washitakiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kampuni/toleo gani la simu ni nzuri kwa badget ya 300k?

    Nahitaji simu angalau yenye unafuu kwa ajili ya dogo. Badget ni kama inavyosomeka hapo juu.
  12. JamiiForums Tanzania Doreen Kabareebe: Marufuku mwanaume yeyote asiye na gari kunipigia simu

    Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye wanaume wake ni wenye magari tu. Picha ya pili. Baada ya kumaliza kipindi redioni akanaswa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutambua ikiwa simu ya Apple iphone 12 (mini, pro, promax) ni feki au orijino

    ...am editing
  14. JamiiForums Tanzania Simu zilizotumika Korea, Japan, UK, au USA

    Wadau, Mwenye connection ya kununua simu ncbi tajwa hapo juu, anipe maujuzi tafadhali. Nawasilisha.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kulipia leseni ya Udereva TRA kwa njia ya simu?

    Habari! Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew). Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number. Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu? Thanks
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuonana au kuwasiliana na Waziri Ummy Mwalimu

    Ndugu wana-Jamiiforums wenzangu nahitaji kuonana au kuwasiliana tu na mhe. Ummy Mwalimu Waziri TAMISEMI naamini nikionana nae jambo letu kwenye kuinua elimu yetu tunaamini litakwenda hasa katika kipindi hiki cha utandawazi. Nimefanya jitihada nyingi ila nimeshindwa wakuu vizingiti ni vingi...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa Password katika simu ya tecno F1 bila kutumia computer

  18. JamiiForums Tanzania Hii Mitandao ya simu inatutakia nini wanateknolojia Tanzania?

    Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk. Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
  19. JamiiForums Tanzania Simu ya Pixel 2 xl 128 Gb inauzwa kwa 350k mpya kabisa..

    Ina 128 Gb , Android version 11, battery Ina 3520 mAh ya ndani kwa ndani , Ina fingerprint ,ram 4 Gb na Ina rangi nyeusi... Haina tatizo lolote na mpya kabisa haijawahi kutumika imetoka turkey inauzwa kwa laki 3 tu(300k). Napatikana tandika sokoni wilaya ya temeke Dar es salaam... 0754273820...
  20. JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa serikali mnatia huruma mno, ni katikati ya mwezi ila nimepokea zaidi ya simu 10 mkiomba msaada wa pesa

    Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi. Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali? Niwaase...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…