donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,132
Salam wakuu,
Straght to the point. Juzi tarehe 8 kuna simu imekuwa launched inaitwa Realme GT2 Pro. inasemekana ni moja ya simu bora kabisa kwa mwaka huu wa twende twende tu. I could actually go to gsmarena kusoma specs zake ila naomba manguli waliobobea kwenye hizi mambo kama kina Chief-Mkwawa
Kwa layman's language waje kutuelezea hapa ubora wa hii simu interms of everything (pia kama inafaa as a gaming phone) tuweze kupata maarifa wote. natanguliza shukrani zangu za dhati.