simu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nalinganisha Vyama vya SIASA Nchini Tanzania na Mitandao ya Simu

    Chama cha Mapinduzi wanafanana sana na Vodacom, wanaweza kukuibia kifurushi chako hivihivi ukiangalia. Hakika wao ni chama kubwa, wenye sera nzuri lakini zilizopo kwenye makaratasi, ambazo hawajaweza zitekeleza hata kwa asilimia 10 toka tupate Uhuru. CCM wamejisahau, ila wajifunze kwa Nokia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu simu ya Infinix

    Habari wadau wa humu jukwaani. Nina swali kuhusu simu ya Infinix. Kuna mdau anatumia simu ya Infinix sina uhakika sana kama ni note 8 au ila ni toleo la zamani kidogo. Aliniambia kwenye Gallery yake kuna Private folder la picha,anadai amesahau Password na akitaka pia kulifuta hawezi. Sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Matapeli wa Simu wanazidi, licha ya simu kusajiliwa! Nani alaumiwe, Makampuni ya simu, TCRA, Polisi au Raia?

    Wakuu hizi sms Mzee flani ni mganga maarufu, atakupa utajiri wa freemason, mara utajiri wa ndagu nk. sasa zimetawala sana, na hizi zingine za umeshinda milioni 700000000, piga Simu 0000 ili upate zawadi zako. Au unapigiwa simu na litapeli likisema Kuna Hela imetumwa kwako kimakosa. Simu zote...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza simu ali express

    Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
  5. JamiiForums Tanzania Uliwahi kuona nini? Kwenye simu ya mtu, mke au ndugu cha ajabu

    Moja ya faragha kubwa y mtu ni simu, inavitu vingi ambavyo ni personal zaidi lakini kwa namna flani unaweza kuta ume access simu ya mtu anaweza kuwa mke jirani,rafiki, je uliwahi kuona nni cha kushangaza Mm kipind nipo o level kuna mdada wa chuo alikuwa analeta kisimu( tecno button)nmchajie...
  6. JamiiForums Tanzania Wenye LINE nyingi za simu mnakera sana..!

    Binafsi nakerwa sana na watu wenye "line" lukuki za simu. Unakuta mtu ana line ya voda, tigo, airtel, zantel nk. Zote izo za kazi gani?? Matokeo yake kila ukimtafuta mtu utasikia mara.. "Nicheki kwenye airtel hiyo Voda haina chaji.." "Nipigie namba ya tiGo, airtel nimeacha nyumbani" "Hela...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na simu aina ya Sony Exeria XZS

    Mwenye Uelewa na simu aina ya Sony Xperia Xzs Atupe review yake
  8. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa simu na mwanamke leo asubuhi

    Huyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni. Mimi nikamwambia kwa muda huu huwezi kupata gari. Akaonekana kuwa mnyonge sana. Kama mnavojua...
  9. JamiiForums Tanzania Mafundi simu msaada wa kisheria

    Wakuu habar za uzima najua tupo kwenye pilika pilika kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu. Nilikua naombeni msaada wa kisheria kwenye ufundi simu upande wa software je kuremove password kwenye simu ni kosa kisheria? Na kipi ukifanya ni kosa na kipi so kosa wakuu. Ngoja niwape kisa...
  10. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??

    Habarini magreat thinkers Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??
  11. JamiiForums Tanzania Kuhusu line za uwakala wa miamala ya simu

    Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba na namba ya nida? .....Naomba kuwasilisha.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane offer nzuri za simu kipindi hiki cha sikukuu (Samsung Only)

    HABAR WADAU Mambo ni mengi mda ni mchache ni ngumu kwa binadamu mmoja kupata taarifa zote so usishangae kuna offer tamu sana yenye discount ya kutisha ikakupitia hvhv ndio mana nimefungua uzi huu ili wadau tupeane habar simu gan kali zina discount nzuri za samsung kipind hiki cha sikukuu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kazi za House Keeping Hotelini Lahe Mwanza. Simu 0754290084

    Wafanya kazi wa usafi wa vyumba wanatakiwa kwenye Hoteli ya Lahe.Maombi kuanzia tarehe 21.12.2021 hadi 15.1.2022. Tafadhali omba kwa namba 0754290084 au 0655290084.
  14. JamiiForums Tanzania nina kifurushi cha data (MBs) na dakika nyingi kwenye simu yangu, jinsi ya kuvitumia kuniingizia pesa

    wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
  15. JamiiForums Tanzania DROP YOUR FARITE PICS, Ulizopiga kwa kutumia camera ya simu yako...!!

    Habari wana JF! Hizo ni baadhi ya picha nilizopiga mimi mwenyewe katika mikoa mbali mbali hapa Tanzania na ninazozipenda wakati wote na zinafaa kwa wallpepar nasuburi uzi wenu wana JF Thank you🙏 photography17
  16. R

    JamiiForums Tanzania Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

    Habar wadau najua humu kuna watu BIGGER THINKER mtanishauri vyema jana ndo nimeamini dunian hakuna haki dunia hii ione hvhv tambala bovu duh !!!! namshukuru mungu sikuumia sana japo nilipata uvimbe sehemu ya taya kwa nje kwenye shavu hii ni baada ya kupigwa na chupa nne za kichwa duh haya maisha...
  17. JamiiForums Tanzania Tigo mnatuibia mia mia zetu tunaotumia simu banking.

    Ukiweka menu ya simu banking utashangaa unasearch halafu inaandika transaction failed(inashindwa kukuunga na mfumoi wa benki). Ukija kuangalia salionunakuta mia yako imefyekwa. Utasema labda mtandao ulikuwa mbovu nijaribu tena, mia nyingine inaenda. Kwanini mnakata pesa bila kutoa huduma? Huo...
  18. JamiiForums Tanzania Tunao penda simu za windows tukutane.

    mimi binafsi nazipenda na niinayo ila ndo ivyoo hazina ishu kwasasa nimenunua android tu ila daaah microsoft watufikirie tu
  19. JamiiForums Tanzania Je niko sahihi? simu yangu haina Security Lock yoyote.

    Habari za muda huu Tech Gurus? natumia simu aina ya Camon 16. Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password ama Fingerprint. Ina SWIPE tu. Je, niko sahihi kiusalama? Je, siku ikipotea naweza kuipata?
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka Simu za 'Madili' na za Bei 'Nafuu' subirini baada ya haya 'Matamasha' ya leo ya EFM na Clouds FM mtazipata kwa Wingi tu

    Nimepishana na 'Coasters' mbili za 'Masela' na Wazee wa 'Ndole' tupu zikielekea Tanganyika Packers Kawe walipo EFM na Tamasha lao na nyingine ikielekea Leaders Club Kinondoni waliko Clouds FM na Tamasha lao, na kwa zile 'Sura' au 'Nyago' nilizoziona nina uhakika kuanzia Kesho Asubuhi huenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…